dubai

  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

    Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali. NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
  2. maboga47

    JamiiForums Tanzania Msaada wa connection kupata accessories za simu Dubai

    Habarini wakuu Nahitaji kwenda Dubai kununua accessories za simu hivyo ninaomba Kwa mtu mwenye uzoefu aweze kunipa mwongozo na connection kufanikisha Hilo Natanguliza shukurani:-
  3. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu hizi simu za Oppo ,A57 hebu tujuzane, nimezikuta Dubai nataka nizizowe ila sina ufahamu nazo.

    Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dubai na Uturuki yanufaika kwa wimbi la mamilionea wa Kirusi kutoroka nchini mwao

    Mzuka wanajamvi! Hali ya kiuchumi Urusi ni mbaya. Zaidi ya mamilionea elfu 15 pamoja na wafanyabiashara wanatoroka Urusi nakuhamia Dubai na Uturuki. Dubai na Uturuki zimefaidika sana kwa wimbi la hawa mamilionea wa kirusi ambao wamehamishia hela zao huko. Mamilionea hao wanatoroka Urusi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania “Mgahawa wa Mbwa" huko Dubai

    Tarehe 30 mwezi Mei, 2022, huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kuna mgahawa ambao hutoa vitafunio, keki na vyakula vingine kwa mbwa wanaofugwa. Wamiliki wa mbwa hupeleka wanyama wao vipenzi na kufurahia chai ya alasiri.
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Msiba (mkubwa) Dubai!

    Sheikh Khalifa raisi wa Emirates amewatoka, huyo ndiyo aliyeijenga Dubai kama ijulikanavyo leo hii!
  7. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Dada wa DRC amegeuzwa kuwa mbwa huko Dubai

    Inasikitisha sana wakuu
  8. Billionaire wa Betting

    JamiiForums Tanzania Why in Dubai

    Karungi Monic a.k.a Mona kizz katika mitandao ya kijamii amejiua kwa kujirusha kutoka ghorofani huko Dubai. Wiki hii Dubai imetrend sana 🙄 R.I.P
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana! Rasilimali za taifa zimetoroshwa, ruby ya bil 276 imetoroshewa Dubai Mkuu wa nchi yupo kimya kama vile ni jambo dogo

    Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum. Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo. Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu. Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Dubai walifanya Royal Tour lini? Wapi?

    Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16. SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?. Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

    Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia. ===== Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

    Mbona hii ajabu sasa, madini ya pesa ndefu kama hii yalichimbwa hapa nchini kwetu na kusafirishwa Dubai bila mamlaka za serikali kufahamu? Utata rubi ya Tanzania inayopigwa mnada Dubai Utata rubi ya Tanzania inayopigwa mnada Dubai ====== Rare 8,400 carat rough ruby lands in Dubai for auction...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tathmini ushiriki wetu Dubai Expo 2020

    Maonyesho tajwa yameisha (yalianza Oktoba 2021 mpaka Machi 2022) je Kama nchi tumevutia wawekezaji kiasi gani? Tulipata audience na wawekezaji serious? Mikataba gani tulisaini? Kuna ambalo tumejifunza huko? Tunaweza kuanza kufikiria Dar Expo 2090?
  15. The Boss

    JamiiForums Tanzania Dubai na Tanzania zilikuwa chini ya mtawala mmoja? Ilikuwa nchi moja?

    History ya nchi zetu inashangaza sana. Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri. Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam. Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia...
  16. Memento

    JamiiForums Tanzania Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato. Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa? Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha Tajiri wa Simba Dewji awepo Dubai katika Mkutano Mkuu wa Uwekezaji, ila Gharib wa Yanga hata kwa Tochi tu hajaonekana?

    Naona Tajiri Kijana Afrika anang'aa tu Kimataifa kama Klabu yake huko Shirikisho huku Tajiri Uchwara mwingine Yeye akibung'aa bung'aa zake tu Posta, Kigamboni, Turiani na sasa yuko zake Mkolani Buhongwa Mkoani Mwanza akiitafuta Geita. Yaani Wewe Pesa zako za Magumashi ( Janja Janja ) mpaka Uuze...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia arejea kutoka Dubai na makubaliano 36 yaliyobeba trilioni 17.1 zenye ajira 204,575

    Na Bwanku M Bwanku Leo Jumanne kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan kule Falme za Kiarabu (UAE) ambapo Jana Jumatatu Februari 28, 2022 alirejea nchini kutoka kwenye ziara hiyo ambayo pamoja na mambo mengine alishiriki matukio mawili...
  19. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

    Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa. Fedha hii kwa nchi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania

    Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa pale Dubai muda huu limenakshiwa kwa Bendera ya Tanzania mwanzo mpaka mwisho lote. Dunia nzima sasa inatazama maajabu haya kwenye Jengo hilo refu zaidi Duniani huku Utalii wa Taifa letu ukizidi kutangazwa. Yote hii ni matunda ya ziara ya siku 3 ya Rais...
Back
Top Bottom