dr slaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa KAZI ya Serikali ni kulinda raia, Kwanini Dr Slaa asipewe dhamana na kulindwa?

    Hellow Tanganyika, Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia? Kwamba korokoroni ndio Mahali salama? Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni? Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali 🙏 Karibuni!
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Tundu Lissu, lianzisheni sasa kumkomboa Dr Slaa, maana mnadai kuwa Mbowe siyo "aggressive"

    Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera. Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani. Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akijiengua au kubanduliwa CHADEMA, Willbroad Slaa atarejea rasmi na kupewa fursa ya kugombea urais kupitia CHADEMA 2025.

    Hautapita muda mrefu, mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015. Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025. Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart...
  4. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Bora Dkt. Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa Mbunge - Dr Kikwete 2010

    Hii ni kauli isiyosahaulika toka Kwa Mwenyekiti wa 4 wa CCM na Rais wa awamu ya 4 wa Tanzania Dr Jakaya Mwisho Kikwete aliyoitoa mwaka 2010 kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huo. Alitoa kauli hiyo kuonyesha Jinsi ilivyo ngumu kudeal na Tundu Lissu kama kiongozi mpinzani kuliko yeyote akiwemo Dr...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kudhoofishwa kwa Dkt. Slaa, Mbatia, Zitto Kabwe, Kafulila na wakina Mdee kumedhoofisha sana upinzani

    Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito. Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana. Sasa hivi...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Injury to reputation iliyowakuta Dkt. Slaa na Zitto Kabwe mpaka sasa wanaonekana wasaliti wasiofaa nani alaumiwe?

    Zitto kabwe na Dkt. Slaa ni moja kati ya wanasiasa ambao hadhi zao zilipotea kwa sababu ya Propaganda ndani ya CHADEMA ambazo zinaweza kuwa za kweli au uongo. Baada ya kutumia zaidi ya miaka 15 kujenga majina yao kisiasa wanasiasa hawa walijikuta katika migogoro ya kisiasa na CHADEMA...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu atamtikisa Rais Samia, CHADEMA mpeni kijiti tena Lissu

    Haya ni maoni yangu na upepo ninavyouona unavyovuma! Lisu is the right presidential candidate from Chadema! Give him a second chance. ATAMTIKISA SAMIA, TENA SANA!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA, Mrudisheni Dkt. Slaa chamani kuongeza morali ya ushindi

    Salaam, Shalom!! Ndugu Mnyika anafanya vizuri, lakini Bado hajafikia viwango vya Dr Slaa, Mnyika anaweza kupewa nafasi nyeti kuelekea uchaguzi huku Dr Slaa akifanikisha njia nyeupe Kwa chama. ZIFUATAZO, ni sababu kwanini CHADEMA inamuhitaji zaidi Dr Slaa. 1. KUFAIL KWA MARIDHIANO. Jambo hili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: RC Chalamila anaropoka hovyo kama na kujipendekeza kwa Rais Samia

  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Je, ni kuongeza kura ,wabunge ili kupata Ruzuku kubwa? Au kulikuwa hakuna mgombea anaefaa Chamani . Kama ni ruzuku, je kama hili lilikuwa linatosha kuhalalisha tuhuma zote za ufisadi zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya EL na kumfanya awe msafi? Je, aliletwa kwa maslahi ya Wananchi au...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Hivi 'single' ya Dkt. Slaa kuhusu DP World imeishia wapi?

    Alikuja na single yake ya bandari kwa speed sana. Katika kujaribu kuhakikisha inabamba vema masikioni mwa Watanzania akawashirikisha rapa kadhaa. Hata hivyo single imebuma mazima; haisikiki wala haitakiwi. Hivi shida ni nini wadau single ile kubuma kibudu namna ile? Karibuni.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

    Salaam , Shalom! Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi. Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio. Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa...
  13. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema. Ni hivi.. inasemekana baada ya Dkt. Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya...
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya viongozi wetu kujali maslahi ya umma na si kujali maslahi yao na koo zao baada ya kustaafu uongozi!

    Wakuu Kama Dp world imeyeyuka rasmi baada ya tamko la Tec na wanaharakati mbali mbali kupiga kelele it's obvious kwamba mhanga wa hayo yote ni Dr slaa KWA KUWA msemaji mkuu wa kelele hizi nchini!! Gubu la mfaidikaji mkuu wa kandarasi hiyo limeamua kumtafuna Ili kupoza machungu ya kukosa ugali...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

    DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023. Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter. Hayati Rais John Pombe Magufuli alimteua Dkt. Willibroad Slaa ambaya ni Katibu Mkuu wa zamani wa chama cha Upinzani, CHADEMA kuwa Balozi...
  16. Victoire

    JamiiForums Tanzania Jamani yupo wapi "First Lady" Josephine Mushumbushi (Mrs Dr Slaa)

    Jamani huyu Mama ,nimeshangaa sijamuona katika kipindi hiki mme wake alipata misukosuko. Somo: Nyie wababa msiache wake wa ujana wenu. Mjue fainali uzeeni. Ninakumbuka kipindi kile Mama Rose Kamili na watoto wake.
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

    Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na kupewa wito wa mahakama (Summons) ili kuwaita wajibu maombi yetu . Mimi nilisafiri kurudi Dar kwa ndege...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Masahibu yalowakumba Dkt. Slaa na Mwabukusi ni moja ya hatua muhimu za udhibiti, kwa kiingereza huitwa "Purge"

    Awali napenda kusema mimi si chawa wala mshabiki wa chawa wa DP world na si mfuasi wa Dr Slaa au Mwabukusi bali natoa maoni yangu kama nilivyochambua masuala yalojitokeza hususan suala la kukamatwa Dr Slaa na Mwabukusi na wenzao na kisha kubadilishiwa makosa kutoka kuwa ya uchochezi hadi kuwa ya...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa, Mdude, Madereka na Mwabukusi kujumuishwa kwenye tume ya mipango?

    Kichwa cha habari kinajieleza. Wakati Rais Samia akipokea ripoti ya Tume ya Haki Jinai aliagiza kuwa watu wote wanaokosoa kwa hoja wajumuishwe kwenye tume ya mipango. Badala ya kutekeleza agizo la rais, polisi wamewakamata watanzania hawa na kuwafungulia mashitaka ya uhaini. Tume ya Haki za...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

    Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani ...
Back
Top Bottom