Siasa na Dini zinafanya kazi moja tu ya kuwaunganisha binadamu kwa njia ya kuwatawala ili kuwaletea maendeleo ya kimwili na ya kiroho.
Kiongozi wa dini siyo lazima awe anamuamini Mungu ndio maana kuna dini ya shetani.
Hivyo hakuna tatizo lolote endapo viongozi wa dini wataamua kuungana na...
Kwa namna nilivyoushuhudia mtanange wa Tundu Lisu na Lazaro Nyalandu pale Mlimani City jana nashawishika kusema hata 2015 CHADEMA ingefanya kura za maoni Dkt. Slaa angeibuka kidedea.
Nilichogundua wajumbe wa CHADEMA wanapenda watu wenye sauti ngumu ngumu na kali kali.
Nyalandu alijisahau...
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa...
Kimsingi Johnthebaptist na mzee Mgaya tumekubaliana kumchukulia fomu ya kugombea ubunge wa Kawe mpambanaji wa ufisadi Dr Slaa.
Kwa sasa Dr Slaa ni balozi wetu pale Sweden lakini tutamrejesha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Dr Pius Ngwandu aliyeachia ubalozi wa Japan na kuja kugombea ubunge huko...
Mwenye macho haambiwi tazama......hatimaye swali la Dr Slaa He Lowassa no asset au liability limepata majibu. Tunakoelekea Chadema itabaki na Mbowe na wale binti wa Ndesamburo basi!
Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.
Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe.
Nitoe mifano michache ya...
Najikumbusha tu historia ya shuleni na namna watu mnavyoweza kufanana kitabia kutokana na mazingira mliyosomea.
Mbowe na Ndugai ni zao la Kibaha secondary
Lowassa na Dr Mwakyembe ni zao la Milambo secondary
Dr Slaa na Membe wao ni Itaga seminary
Polepole na Bashe zao la Benjamin Mkapa...
Mbunge wa Momba mh David Silinde yuko mubashara Star tv katika kipindi cha medani za siasa akizungumzia sintofahamu ya uanachama wake ndani ya Chadema.
Up dates;
Silinde amesema yeye siyo mwanaharakati hata Mbowe analijua hilo na kwamba yeye na Zitto ni marafiki lakini baadhi ya viongozi...
Ni jambo la kushangaza lakini siyo la kulidharau.
Uchaguzi mkuu 2010 Mbowe alimlazimisha Dr Slaa agombee ubunge huku akijua wazi Slaa ana uhakika wa 99% kushinda ubunge wa karatu na 1% kushinda urais.
Mwaka 2015 Wakati Dr Slaa ameshajiimarisha kwenye kinyang'anyiro cha urais kupitia UKAWA...
Balozi wetu huko Sweden amesema bunge la bajeti ni takwa la kikatiba hivyo haliwezi kuahirishwa kwa sababu zozote.
Katiba inatamka wazi kuwa bunge la kbajeti litakaa kwa siku zisizozidi 45 ukiondoa week end na sikukuu hivyo hakuna namna unaweza kuahirisha na wabunge wanalijua hilo.
Pili Dr...
Jana nilimsoma pahala humu JF mkuu Douglas Sallu akiwa ametoa tangazo la benki fulani likiwataja kwa majina na picha wadaiwa sugu wa benki hiyo.
Miongoni mwa wadaiwa hao yumo Dr. Mashinji.
Dr. Slaa alipoondoka Chadema naye alikuwa na deni na nyumba yake kule mbweni almanusura ipigwe mnada sema...
(Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma)
UPDATE:
Kuna watu wanaulizia jinsi ya kupata nakala ya kitabu cha "Nyuma ya Pazia" cha Balozi Dkt. Wilbrod Slaa. Sasa kinaweza kupatikana baadhi ya mikoa:
Mbeya Piga Simu: 0759829015
Arusha Piga Simu: 0716505921
Dodoma Piga Simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.