Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,383
- 3,023
Zitto kabwe na Dkt. Slaa ni moja kati ya wanasiasa ambao hadhi zao zilipotea kwa sababu ya Propaganda ndani ya CHADEMA ambazo zinaweza kuwa za kweli au uongo.
Baada ya kutumia zaidi ya miaka 15 kujenga majina yao kisiasa wanasiasa hawa walijikuta katika migogoro ya kisiasa na CHADEMA iliyopelekea kupoteza hadhi na mvuto mbele ya Jamii.
Hakuna asiye mjua Dr Slaa kipindi cha Mwembeyanga, hakuna asiyemjua zitto kabwe pia , Je walistahili kilichowakuta au nani alaumiwe?