dodoma

  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura kitongoji cha Sokoine. Asema amehamia Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Rais Magufuli amejitokeza katika kitongoji cha Sokoine jijini Dodoma kwa ajili ya kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Baada ya kujiandikisha, amewaambia wakazi wa eneo hilo kuwa kwa sasa yeye ni mwenzao na ameshahamia rasmi kwenye Ikulu ya Chamwino. Hivyo yeye ni mwenzao...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mh. Kangi Lugola asema hakuna Mtanzania ambaye atafungiwa laini yake ya simu kwa sababu ya kutosajili kwa alama za vidole

    SERIKALI imesema, hakuna Mtanzania amabaye laini yake ya simu itafungwa kwasababu ya kutosajiliwa kwa alama za vidole. Kauli hiyo ameitoa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, alipozungumza bungeni jijini Dodoma leo tarehe 13 Septemba 2019. Amesema, ni maelekezo ya Rais John Magufuli kwamba...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

    Wanabodi, Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda. Andamana nami...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yataja mikoa vinara uvutaji bangi

    Serikali imesema matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi bado ni tatizo nchini, huku yakishika kasi katika mikoa ya Mara, Tanga, Morogoro, Arusha, Kagera na Ruvuma. Wabunge Jumanne Kishimba (Kahama), Joseph Msukuma (Geita Vijijini), Ali Keisy (Nkasi Kaskazini) na aliyekuwa Mbunge wa Arumeru...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dodoma tutahamia au tusahau?

    Iliposemekana kuwa serikali itahamia Dodoma watu walitoa sababu nyingi za msingi za uzuri wa kuhamia Dodoma, kiusalama na kiuchumi. Lakini naona ni baadhi tu ya Wizara zimehamia Dodoma huku wakubwa wakibaki Dar. Na nakumbuka kipindi kile kulikwa na kasi sana ya kuhamia kule, je zilikuwa nguvu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kununuliwa kwa ndege, Reli na kuhamia Dodoma ni kilimo cha kurudisha Siasa za Wazee!?

    Tumekuwa tukishuhudia watu mbalimbali wakitumia MAISHA ya mazingira kuwafundisha watu MAISHA ya Siasa, uchumi, utamaduni, sanaa n.k Mambo makubwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya Tano ni ishara kubwa kuwa nyumba ya ikulu ilikuwa inanuka na maandalizi ya kufikia uchumi wa Kati Kwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

    Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake. Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife...
  8. diana chumbikino

    JamiiForums Tanzania Barabara za mzunguko Dodoma kujengwa kwa miezi 36

    Ujenzi wa barabara za mzunguko katika Jiji la Dodoma zenye urefu wa kilomita 112.3 utafanyika kwa miezi 36 huku Sh17 bilioni zikitengwa kuwalipa wananchi fidia. Kiasi cha Sh494 bilioni za ujenzi wa barabara hizo kitatolewa na Benki ya Maendeleo ya Afrika na Serikali ya Tanzania. Akizindua...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Askari Polisi aliyemnywesha sumu mtoto wa dada yake, apandishwa Kizimbani

    Mjomba wa Mtoto Aliyenyweshwa Sumu, Kizimbani. Ashitakiwa Kwa Jaribio la Kuua, RCO Aomba Asidhaminiwe. Christopher Charles (23) ambaye alikuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) cha Mkoa wa Dodoma, jana Oktoba 24, 2019 amefikishwa mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mkoa huo, Lucas Jang’andu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Shirika la Nyumba Nchini(NHC) kujenga nyumba 1000 za kuuza,kupangisha Dodoma

    SHIRIKA la Nyumba nchini (NHC) linakusudia kujenga nyumba 1,000 mkoani Dodoma za kuuza na kupangisha kwa lengo la kutumia fursa ya Serikali kuhamia mkoani hapo. Akizungumza jana, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Maulid Banyani mbele ya Kamati ya Hesabu za Serikali alisema hivi sasa wapo kwenye...
  11. Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM kumenoga, Nabii Tito ndani ya sare ya Chama

  12. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya Rais yako Dar es Salaam au Dodoma?

    Juzi nilimsikia Mheshimiwa Rais Magufuli akisema amehamia rasmi jiji la vumbi Dodoma na kujiandikisha mtaa wa jirani na ofisi yake na makazi yake yalipo Ikulu ya Chamwino. Lakini kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikimuona Mheshimiwa akiapisha watu Ikulu ya Dar es Salaaam, na leo amepokea...
  13. Gama

    JamiiForums Tanzania Upangaji na upimaji wa viwanja vya makazi jiji la Dodoma ni maslah ya nani?

    Ninatazama jinsi mji wa Dodoma ulivyopangwa na namna viwanja vya makazi vinavyopimwa kwa masikitiko makubwa. Viwanja vingi vinavyopimwa ni vidogo mno kwa mahitaji ya makazi ya kizazi cha sasa. Ninachojiuliza: uchafu huu unafanywa kwa maslah ya nani?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam laongoza kwa kukusanya mapato kipindi cha robo mwaka na Jiji la Dodoma limeshika nafasi ya mwisho

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema Jiji la Dsm limeongoza kwa ukusanyaji mapato kwa upande wa majiji kwa kukusanya wastani wa 38% ya lengo lake la mwaka. Jiji la Dodoma limeshika nafasi ya mwisho kwa kukusanya wastani wa 18% ya lengo lake la mwaka. Upimaji huu ni kwa kipindi cha robo ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubalozi hata mmoja umeanza kujenga ofisi za ubalozi Dodoma?

    Tangu serikali itangaze kuhamia Dodoma na baadae kuwagawaia bure viwanja mabozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini,kuna nchi hata moja imeonyesha ni ya kujenga ubalozi kue mkoani Dodoma? Ni kweli kila nchi ina taratibu zake za kutekeleza jambo kama hili, ila kwa muda wote huu, nilitarajia...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo ekari 3.77 linauzwa ndani ya jiji la Dodoma, liko barabarani

    Eneo liko Msalato almaarufu kwa mwinyi (Arusha Road) kunakojengwa Dodoma International Airport. Eneo liko barabarani linapakana na hotel ya kitalii ya FANTANCY.....lina ukubwa wa ekari 3.77, Eneo limepimwa na limeingizwa kama lilivyo kwenye master plan ya jiji la Dodoma kama ilivyo onekana...
  17. Changes boy

    JamiiForums Tanzania Bei ya mbogamboga veg kwa kg

    Naitaji kujua bei ya kg 1 ya mboga mboga kama mchicha, spinach, Chinese , majani ya maboga na figili kwa uliokatwakatwa
  18. Changes boy

    JamiiForums Tanzania Dodoma city photo

    Picha Kali za dodoma. Makao makuu na jiji
  19. Jackson94

    JamiiForums Tanzania Stendi kuu ya mabasi Dodoma kwenda Ihumwa

    Wakuu naomba kufahamu nauli ya Kutoka Stendi kuu ya Mabasi Dodoma kwenda Ihumwa (Mji Mpya) Ni shilingi ngapi? Na pia nahitaji kujua Umbali wake. Tafadhali sana nahitaji msaada wenu wakuu.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameshatimiza ndoto mbili za mwalimu Nyerere, kuhamia Dodoma na Stiegler's Gorge. Bado ndoto moja!

    Mwalimu Nyerere kama kiongozi alikuwa na ndoto zake na miongoni mwa ndoto hizo ni pamoja na Kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma, pili kumiliki njia kuu za uchumi na tatu kuwa na bwawa kubwa la kuzalisha umeme Stieglers Gorge. Katika uongozi wake kama Rais, Dr Magufuli ameweza kuhamishia...
Back
Top Bottom