TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

Terrible Teen

JF-Expert Member
May 1, 2017
700
1,000
TANZIA

Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo mkoa wa Dodoma Dkt. Kinabo amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo UDOM Dodoma. Sababu ya kifo Bado haijaelezwa

Tunatoa pole kwa familia na wakazi wa Dodoma. Dkt. Kinabo pia alikuwa ana hospitali yake maeneo ya uhindini ambapo alikuwa akitoa huduma bora sana za moyo.
 
Gef

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
330
250
TANZIA

Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
pole japo hujasema changamoto gani
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,707
2,000
TANZIA

Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
Bora uhamie kijijini kwenu vinginevyo utaoteza muda na kuhangaikia kwako huko nawe utakumbwa njiani.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,603
2,000
TANZIA

Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
Cc. Ndugai
 
nipekidogo

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
1,601
1,980
Sasa kama unailalamikia serikali kwa huyo dactari itakuwaje kwa sisi watu wa kawaida? Kama dactari anaemiliki dispensary kashindwa kuchukua hatua na sasa unalalamika hivi mwananchi wa kawaida asie na uwezo wa kununua barakoa wala sanitizer au kuweka hata chakula cha wiki moja ndani itakuwaje? Any way poleni sana

Sent using kidole gumba
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,603
2,000
Nitue babu!
"LyricDownPresserMan
Downpresser man
Where you gonna run to
All along that day
()
You gonna run to the sea
But the sea will be boiling
When you run to the sea
The sea will be boilingAll along that day
You gonna run to the rocks
The rocks will be melting
When you run to the rocks
The rocks will be melitngAll that day
So I said
You drink your big champagne and laughAll along that day
I wouldn't like to be a flea
Under your collar man
All along that day
You can run but you can't hideTelling you all along that day
You gonna run to the Lord
Beggin' to hide you
You gonna run to Jah
Beggin' to hide you
All, all along that day
And I said Downpresser Man
Where you gonna run to
Where you gonna run to Downpresser man
Where you gonna run to
I said all along
All along, along that day Downpresser manWait, Downpresser man
Where you gonna run to
Downpresser man
I don't know where you gonna run to
All along that day
Downpresser man
You can't run, you can't bribe Jah-Jah
Can't call him in a bar
Fe can drink some
Devil soup
Can't bribe him to run a car now
Can't test him faith
Downpresser manWhere you gonna run to
Downpresser man
You can't bribe no one
Them no want no money
Them run'f money
That money get funny
Downpresser Man...
S here"
Source: Musixmatch
Songwriters: Peter Tosh
 
fungi6

JF-Expert Member
Nov 24, 2017
292
250
TANZIA

Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
Jamani mniombee maana naona matajiri na watu wakubwa tunakufa sana
 
  • Thanks
Reactions: amu

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
6,492
2,000
Kwani huyo Dr na yeye alishindwa kuchukua hatua?!
Mna udhi samutimes mjue!!!
Mamlaka za juu zilishasema Corona sio tishio, vipimo vyetu ni fake, na kila mtu achape kazi kwa kwenda mbele. Nahisi Daktari asingeweza kuikwepa COVID.

Kumbuka tu, hata kama utachukua hatua zote za kujikinga kwa 100%, bila jamii inayokuzunguka na mamlaka husika kuchukua hatua, bado COVID itakupata.
 
Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
6,492
2,000
Kwa maelezo hayo ya Tanzia, kuna kila sababu kufikiri na kuamini kuwa huyo Daktari bingwa huenda amepigwa na COVID mpaka mauti kumfika!

Poleni wafiwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom