dodoma

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC

    Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo pamoja na mgombea mwenza Profesa Omar Hamad leo Agosti 7, 2020, wamechukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ofisi za NEC Jijini Dodoma. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst)...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

    WanaJF Dodoma Inazizima.Ndivyo tunavyoweza kusema kwa Sasa. Mapokezi kabambe yanamsubiri mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Antipass Lissu ambaye atachukua rasmi fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kesho siku ya Nane Nane. Inatarajiwa mgombea huyo kusindikizwa na umati mkubwa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Tundu Lissu hivi kule Dodoma 'uliposhambuliwa' hukuweza 'Kumkariri' hata 'Muuaji' Mmoja pekee?

    "Namshukuru sana Rais aliponiamini na kuniteua kuwa Mkuu wa DSM, mpaka leo hii nakabidhi ofisi kwa RC mpya,...nitaamka hata saa tisa za usiku katika mapambano ya kumlinda Rais,..sio vizuri kumchezea Dkt. Magufuli mkahisi Makonda hatamtetea kwa kuwa hayuko kwenye kiti cha ukuu wa mkoa,..ingekuwa...
  4. JamiiForums Tanzania UHITAJI WA FUNDI WA COMPUTER DODOMA MJINI

    Ninawasalimka ndugu wajumbe. Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza kuwasiliana PM, ikiwa kuna mtu anamfahamu fundi mikini nitashukuru kupata mwongozo tafadhali!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dodoma kwenda Kigoma

    Napenda kufahamu mabasi mazuri ya kutoka Dodoma asubuhi kwenda Kigoma. Nawasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Kwa haya matukio mfululizo kumhusu Tundu Lissu, bado wananchi tushindwe kutengua kitendawili ya nani alihusika na kumpiga risasi mjini Dodoma?

    Tundu Lissu ni mzalendo wa Tanzania, ambaye takribani miaka 3 iliyopita, baadhi ya wananchi ambao Polisi wameendelea kutuaminisha watanzania kama ni "watu wasiojulikana" walihusika na tukio baya kabisa lililofanywa na watu hao la kutaka kumwua Tundu Lissu, kwa kumminia risasi mfululizo kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Naona kama kupata hati pengine ni suala la wachache hapa nchini

    Wadau Naombeni msaada kidogo pengine hapa naweza kusaidiwa hata mawazo, hili jambo limenitesa sana nimekuwa nikifuatilia kupata hati ya eneo langu ambalo limepimwa na nimelipia kila kitu na risiti ninazo ila changamoto nilizokutana nazo mpaka nafanikiwa kupata invoice ya kwenda kulipia na kupata...
  8. JamiiForums Tanzania Wazo: Eneo la Makaburi ya Viongozi na Mashujaa ya Kitaifa Haliko Tayari Dodoma?

    Watanzania wenzangu poleni kwa msiba wa Mzee Mkapa. Tunapoendelea kuijenga Dodoma Kama Makao Makuu, ule mpango wa kuwa na eneo la Makaburi ya viongozi na Mashujaa wa Kitaifa ulifikia wapi? Sidhani Kama mfumo wa kuwazika Viongozi/Mashujaa kila mtu kijijini ni endelevu kwani watasahaulika na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mkapa hakuwa mbaguzi alinichangia fedha kwenda Dodoma kuanza safari yangu ya Siasa

    Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dsm ndugu Paul Makonda amefika nyumbani kwa mzee Mkapa rip na kusaini kitabu cha maombolezo. Makonda amemuelezea mzee Mkapa kama mtu aliyeuchukia ubaguzi na akatoa ushuhuda wa yeye kupewa fedha na Mkapa wakati anaanza safari yake ya kisiasa. Makonda anasema mzee Mkapa...
  10. JamiiForums Tanzania Wabunge 8 Dodoma, Pwani waangushwa kura za maoni CCM

    MCHAKATO wa kura za maoni kupata wagombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu ulimalizika jana na sasa walioongoza wanasubiri uamuzi wa vikao vya juu vya chama hicho vifanye uamuzi. Kwenye Mkoa wa Dodoma wabunge watano waliomaliza mda wao...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ninaomba kujuzwa wanajf wenzangu, je ni nafaka aina gani zinaweza kuwa na soko zuri hapa mjini Dar? Na je ni mtaji kiasi gani naweza kuanzia nao? Natanguliza thanks. WADAU WANAOHITAJI MIONGOZO KUHUSU BIASHARA HII IFAHAMU BIASHARA YA MAZAO YA CHAKULA Haijalishi watu ni masikini kiasi...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, mchujo wa washindi wa kura za maoni CCM kugubikwa na sintofahamu nyingi?

    Tumemsikia mwenyekiti wa CCM Kinondoni akisema majina yote yanakwenda Dodoma na watawachunguza washindi wa kura za maoni kuhoji ushindi wao wameupataje pataje? Kwa maana nyingine wanatumia vyote vya uchunguzi kupata taarifa, kwa maana hiyo mshindi wa kwanza ikitokea akawa na chuki na wachunguzi...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

    Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini? Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kudumu au ya muda Dodoma nina uzoefu kwenye Sales & marketing, consultation, supervisory roles

    Natafuta kazi ya muda au ya kudumu Dodoma My experience ni kuanzia kwenye Sales & marketing,consultation, supervisory roles kama sales supervisor, property manager, Team leader Nina uzoefu wa miaka 4, na pia nina very valuable skills kama Hardworking, Multitasking, Teamwork, na Fast learning...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Calvin Maimu afariki dunia

    Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Ndugu Calvin Maimu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Tarehe 17/07/2020 katika Hospital ya Hindu Mandal Jijini Dar e Salaam. Mfanyabiashara huyo mkubwa alikuwa akijishughulisha na mradi wa kuuza Matrekta maarufu Dodoma kama Kilimo kwanza maeneo ya Ndejengwa na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Na CCM yangu tulivyofanya kufuru Dodoma kuanzia Tar 09 hadi 12 Julai, 2020

    Ndugu yangu aliyeshiriki vikao vya Chama changu Dodoma akitokea Shinyanga ametamba kwa majidai ya KiSukuma kuwa CCM walifanya kweli Dodoma. Walianza na kuwaita wafanyabisahara wote wa Hoteli na Loji wakaamrisha kuwa kuanzia Tarehe 10 hadi 12 Julai vyumba vyote vya Hoteli na Loji zao wasipokee...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma

    11 Julai 2020 Dodoma, Tanzania Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma Imewekwa Tarehe: July 10th, 2020 Serikali leo imetia saini mikataba miwili ya kuanza rasmi kwa ujenzi wa Barabara ya lami ya njia nne ya Mzunguko (Outer Ring Road) ndani ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha siri cha WanaCCM "asilia" Jana usiku cha pale Dodoma huenda kikasaidia kupambana na wagombea "wa kupandikizwa"

    Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa". Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili. Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kuhamasisha watu wavae Barakoa kujikinga na Corona wakati wewe huvai si sahihi

    Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na sio mjinga kwani mjinga ni yule mtu asiye na uelewa juu ya jambo fulani lakini akieleweshwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

    Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi. Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi. Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…