dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma. Moja ya mkoa huo ni Shinyanga. Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%. Kinachoshangaza ni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nauza rice thresher machine ziko Dodoma

    Kwa wadau wa kilimo nchini tafadhari karibuni Mashine ni Diesel Engine HP 16 2200 RPM Uzito wa body na Engine jumla ni Kg 165 Inauwezo wa kupiga Kg 1000 kwa saa inafaa kwa kupigia Alizeti ,Mpunga, Mtama na Uwele mashine mpya inapatikana kwa tsh 7.5M badala 9.5M na used iliyotumika mwaka mmoja...
  3. JamiiForums Tanzania Soko la Machinga Dodoma, tumpe Rais Samia maua yake

    Wengi watashangazwa na huu uzi. Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita. Tembea uone. Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la...
  4. JamiiForums Tanzania Mkataba Barabara ya Mafinga - Mgololo (KM 81) Kusainiwa Kesho Dodoma

    BARABARA YA MAFINGA - MGOLOLO (KM 81) MKABATA KUSAINIWA KESHO DODOMA Mikataba ya ujenzi wa barabara saba (07) ambazo zimekuwa zikiongelewa kwa muda mrefu katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakwenda kusainiwa hapo kesho Juni 16, 2023 tukio...
  5. JamiiForums Tanzania Kikao cha baraza la taifa la chama cha Walimu Tanzania tarehe 18/6/2023 jijini Dodoma ni mwarobaini wa mtikisiko ndani ya chama

    Tangu kuasisiwa kwake Tarehe 1 novemba 1993 chama cha walimu Tanzania kimekua kikiongozwa kwa kutumia katiba na kanuni zake. Katiba imekua ikibadilika ili kuendana na mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na mengineyo. Hadi kufikia 2014, CWT ilipata katiba ya toleo la 6 ambayo ndio inatumika hadi...
  6. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?

    Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa. Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na ulikwenda sambamba na utiaji wa saini wa mikataba zaidi ya 10 (ambayo hatukuambia kwa kina kila mkataba...
  7. JamiiForums Tanzania Utiaji Saini Mikataba ya Miradi ya Maji Mkoa wa Dodoma

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MIRADI YA MAJI KWA HALMASHAURI ZA MKOA WA DODOMA Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara (Mb) Mh Dkt Ashatu Kijaji tarehe 12 Juni, 2023 alishuhudia tukio la utiaji saini Mikataba ya Miradi ya Maji katika Mkoa wa Dodoma. Tukio hili la...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, mambo yote yataanikwa na Wahusika wote watatajwa

    Taarifa iliyosambazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo inaeleza kwamba, Chama hicho kinatarajia kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma 14/6/2023. Bila shaka jambo kubwa linalozungumzwa Dunia nzima la Mauzo ya Bandari litaenda KUHITIMISHWA RASMI , taarifa za chini kwa chini zinadokeza...
  9. JamiiForums Tanzania Fiber ISP kwa Dodoma

    Habari zenu wakuu? Naomba kufahamu ISP wa fiber internet kwa Dodoma. Nafahamu TTCL pekee ila ningependa kufahamu options nyingine zilizopo.
  10. JamiiForums Tanzania Muonekano wa Stendi ya Mabasi Kondoa (Dodoma) unatia aibu

    Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa. Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri. Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
  11. JamiiForums Tanzania Watanganyika wanaohitaji kwenda Dodoma tar 10.6.2023 kushuhudia bunge likipisha Mkataba wa Bandari tukutane hapa !

    Karibuni mikoa yote Tanzania bara. 1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni 2. Kundi na watumishi wa TPA 3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali 3. Kundi la wafanyabiashara 4. Wananchi wote Tanganyika Karibuni Dodoma Bungeni tarehe 10.6.2023 bila kukosa
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge na hadaa kwa Watanganyika kwa Cement na Bati huku wanapitisha kila kitu pale Dodoma

    Ni bahati mbaya sana Tanzania ujinga ni mkubwa sana, Wabunge hawapimwi kwa michango yao kwa Taifa bali kwa uwezo wa kununua Cement, Bati na Misumari na kwenda kugawa Jimboni siku za weekend. Pale Dodoma wanapitisha kila kitu kinacho jadiliwa pale na wengine hawaongei kabisa ila wanajua Jimboni...
  13. JamiiForums Tanzania Ndejembi Hajaridhishwa na Usimamizi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Chemba - Dodoma

    NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMIZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA – DODOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deo J. Ndejembi (Mb) hajaridhishwa na hali ya usimamizi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa na Ofisi katika halmashauri ya wilaya...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Hali ya huduma ya Maji Safi Dodoma

    Hali ya huduma ya Maji safi Dodoma. Kufuatia ongezeko la watu katika jiji la Dodoma lililosababishwa na Serikali kuhamia Dodoma, mahitaji ya maji yaliongezeka kutoka Lita Milion 44 kwa siku mwaka 2017 hadi Lita Milion 133 kwa siku mwaka 2023. Vyanzo vyote vya maji vilivyopo Dodoma vina uwezo wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Dodoma ndio hakuna maji namna hii?

    Nimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji. Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa. Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu. ==== UFAFANUZI KUTOKA DUWASA ====
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mwamba alirudia Form II mara 8 katika shule nne tofauti na zote akafeli

    Huyu mwamba alikuwa anafahamika sana kwa kupata mitihani ya form two iliyovuja na alikuwa anaipata ile yenyewe, alikuwa na moyo wa kuwapiga pindi wenzake na kuwakaririsha majibu, akiingia kwenye chumba cha mtihani anafeli kwa kishindo, yaani F zote, wenzake wanafaulu. Alikuwa ni mtoto wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Kwanza Cha Baraza la Mawaziri Ikulu Mpya ya Chamwino Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 24 Mei, 2023 ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tangu kuzinduliwa kwa Jengo hilo Jumamosi tarehe 20 Mei, 2023.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma wapewe maua yao

    Nilikwenda hapo hospitali ya Benjamin Mkapa siku ya Alhamis wiki iliyopita, nikiwa na tatizo ambalo lilihitaji wabobezi. Mimi ninaishi Dodoma, baada ya kutafakari sana, nikakata shauri kuwa niende tu. Mwanzoni niliwaza labda niombe ruhusa kazini, nifunge safari Dar niende hospitali kubwa kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Natamani kuhamia Dodoma

    Habari wanajamvi, Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa?
  20. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mpira Dodoma umeyeyuka? Hayati Magufuli angekuwepo ingekuwaje?

    Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani? Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco. Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…