dodoma

  1. Ngamba

    JamiiForums Tanzania Msaada: Radio Advert Rate kwa Dodoma

    rejea na kichwa cha habari hapo juu naomba mwenye details ya advert rate kwa radio zilizopo mkoa wa dodoma
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu aagiza Mwanajeshi, maarufu kama HK akamatwe kwa udhalilishaji

    Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana alipokuwa akizungumza na wananchi wa Nzuguni katika maadhimisho ya miradi iliyozinduliwa katika kilele cha sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kikiwamo kituo cha Zimamoto na Uokoaji. Kijana huyo alitoa tuhuma hizo, baada ya Waziri Mkuu...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi waua majambazi wanne Dodoma

    Majambazi wanne wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35, wameuawa na polisi wakiwa katika harakati za kufanya tukio la unyang’anyi kwa kutumia silaha eneo la Kisasa jijini hapa. Majambazi hao walivamia nyumba ya Edina Joseph (41) jana saa tatu usiku kwa kuruka uzio wa nyumba yake wakiwa...
  4. King Rabbit

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Udereva magari Makubwa/Madogo

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira. Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato umefikia kiwango cha asilimia 18.5

    Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato upo Kilometa 10 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma, ulianza Aprili 20, 2022 baada ya mkataba kusainiwa Septemba 2021. Mhandisi wa Miradi wa TANROADS Dodoma, Colman Gaston anasema mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na...
  7. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mradi wa Barabara ya Mzunguko umezalisha ajira kwa watu zaidi ya 1,000

    Mradi wa Barabara ya Mzunguko Mkoani Dodoma una urefu wa Kilometa 112.3 na umegawanyika katika sehemu mbili. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu anasema sehemu ya kwanza ya Mradi huo inaanzia Nala – Veyula - Mtumba hadi Bandari Kavu ya Ihumwa na urefu wake ni Kilometa...
  8. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za printing na sales managing systems Dodoma

    wakuu, karibuni MR Business, tupo Dodoma, mile 2 mnada wa zamani tuna print T-shirts, mabango , card za harusi , calendar,picha mbao na stickers za aina zote lakini pia tuna sales managing sysytem ya Excel na ya kawaida TUNATUMA KAZI MPAKA MIKOA MINGINE, MALIPO NI BAADA YA KAZI unaweza...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyowakuta Mambuzi Dodoma, yamkuta Kagame

    Huu utamaduni wa kualika wageni kwenye mikutano ya vyama haikosi kuja na yake: Kama mambuzi Dodoma yamemkuta Tolu mwamba wa Kigali. Kwa mwendo huu pana siku yanaweza kuwa makubwa zaidi ya haya.
  10. nguvumali

    JamiiForums Tanzania Vibaka kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma

    Naandika thread hii kwa huzuni Sana. Leo Alfajiri nimeamka katika Mji wa Dodoma. Nilipofika kituo Kikuu cha Mabasi kabla sijaingia getini nimeshuhudia kundi la Vijana wakivamia abiria wanaotembea kwa miguu au abiria wanaoshuka Kwenye daladala na kuingia kituoni kwa miguu. Mamlaka za usimamizi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Dodoma 30k ndo bajeti

    Wakuu naomba mniambie logde nzuri safi hapo Dodoma mjini kati.bajeti 30k.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua Wanandoa Dodoma, kichanga wao anusurika

    Watu wawili mke na mume wamefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha gari ndogo na treni katika makutano ya reli, Kata ya Tambukareli, Dodoma. Akizungumzia marehemu hao Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Ibenzi Ernest amesema walipokea mwili wa mwanamke Furaha Rashid huku...
  13. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais tuokoe Wananchi wako wa Dodoma Jiji juu ya dhuluma hii ya Mkurugenzi Jiji. Mkuu wa wilaya kashindwa

    Kichwa cha habari cha jitosheleza. Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ngorongoro: OCD Peter Lusesa, awaweka ndani Wananch 17 wa kisangiro kwa siku 8 na kuwatesa, kwa kosa la kwenda Dodoma kuonana na Waziri Mabula

    Kijiji chetu Kinaitwa Kijiji Cha kisangiro kata ya kirangi tarafa ya sale Wilaya ya Ngoro Ngoro. Kijiji chetu upande wa mashariki kinapakana na Kijiji Cha jema, kusini kinapakana na Kijiji Cha Oldonyo sambu, Magharibi kinapakana na Kijiji Cha Mgholo na Tinaga, kaskazini kinapakana na mpaka wa...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ifanywe mji mkuu msaidizi, Dodoma itaanza kupokea ugeni mkubwa lini?

    Tangu awamu ya tano na sasa ya sita wageni wakubwa wa nchi wamekuwa wanapokelewa Dar na matukio makubwa yanafanyikia magogoni japo mjii mkuu ulishamishiwa Dodoma na serikali yote ikahamia huko. Hii ni kusema kwamba Dodoma na miondombinu ya mji huo huenda bado haikidhi kupokea wageni wakubwa...
  16. JackisonDubai

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda: Kuna Mawaziri walikuwa wanapinga Serikali kuhamia Dodoma, bila Hayati Magufuli isingewezekana

    Spika wa bunge msitaafu Mh Anna Makinda ambaye pia amehudumu serikalini Kwa zaidi ya miaka 40, akiwa kwenye Misa ya kumbukizi ya hayati Magufuli ametoa sifa nyingi kuhusu Rais huyo wa awamu ya tano, na akatoa Siri kwamba Kuna viongozi wengi walikuwa hawataki serikali kuhamia Dodoma na walikuwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ditopile afuturisha Dodoma, wamuombea Rais Samia

    Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameaandaa Iftari na Dua Maalum ya Watoto Yatima na Wajane kuiombea Nchi na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hiyo ya Iftari imefanyika...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kuhamia Dodoma

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Tozo Bisanda, ametanabaisha ya kwamba makao makuu ya OUT yanatarajiwa kuhamia jijini Dodoma baada ya kupata eneo na fedha kutoka serikalini kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Prof. Bisanda, ametanabaisha...
  19. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Tanzania donor country huku wanafunzi Dodoma wakichota maji taka!

    Wakuu mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya siasa ila nilichokiona asubuhi wakati naelekea kwenye mihangaiko yangu hapa jijini Dodoma mitaa ya Chang’ombe B, wanafunzi niliowaona ni wa Shule ya Msingi Chang’ombe B wakiwa wanachota maji ya mvua yaliyotuama barabarani yanatakribani wiki moja au mbili...
  20. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Nimestaajabishwa na kufungwa kwa restaurants za Chief Asili & Mwambao Jijini Dodoma

    Leo nimeenda kupata chakula hapa Dodoma katika Restaurant ya Chief Asili nimeshangaa kuambiwa imefungwa, nikasogea mbele pale Mwambao nayo imefungwa. Kuulizia nikaambiwa wamiliki ni Muslims-kwa kweli Mimi nimestaajabishwa sana, nikajiuliza ina maana kwenye Nchi za kiarabu napo Restaurants zao...
Back
Top Bottom