dini

  1. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Matumizi ya Lugha Fasaha katika Majukwaa ya Dini

    Lugha ndio nyenzo kuu inayotumika kufikisha ujumbe kwa walengwa. Ingawa kuna nyenzo zingine kama picha, michoro, ishara, alama nk zinazotumika katika kufikisha ujumbe lakini lugha ndio nyenzo pekee yenye kueleweka kwa haraka na isiyo na ubaguzi. Lugha hii inapotamkwa kwa ufasaha na mpangilio...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Taasisi za dini hasa za Kikristo zipo kibiashara zaidi

    Imani ni jambo ambalo hupaswi kuigiza au kuingiza siasa ndani yake. Zaidi ni ukweli wa kiimani unajengwa ndani ya roho kwakuamini bila kuwekwa ushahidi wa dhahiri juu ya Hilo. Ukienda kanisani siku ya Jumapili, utakutana na msululu wa michango kwa mwanajumuiya na harambee ambazo wengine...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula na Shehe Ponda watalazimika kuamua ama kutumikia dini zao au kuitumikia CHADEMA

    Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
  5. kidereko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali inazitoza kodi taasisi za dini zinazotoa huduma za afya na elimu kwa sababu baadhi zinafanya biashara na si kutoa huduma. Rais Samia ameeleza hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 wakatia akifungua mkutano mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo...
  6. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini: Mkosoeni Samia muonesheni na njia nini kifanyike

    Dar es Salaam. Viongozi wa dini nchini wamewaasa Watanzania watakaomkosoa Rais Samia Suluhu Hassan wawe tayari kutoa ushauri wa nini kifanyike ili aendelee kuliongoza vyema Taifa na kufikia maendeleo katika utawala wake. Wito huo umetolewa Jumamosi, Juni 26, 2021 na viongozi wa dini katika...
  7. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Tulipomchagua Magufuli kuwa Rais; tulimchagua Rais mtarajiwa mhe.Samia kwa mujibu wa Katiba !

    YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA Kongamano lilianzia kwa maneno ya salamu za viongozi mbalimbali wa dini sawa na kusudi la kongamanona sambamba na...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) leo Juni 25, 2021 Rais atakutana nao katika Makao Makuu ya TEC, Kurasini ========== 5:30 Asubuhi: Rais Samia Suluhu ameshafika na kuimbwa wimbo wa Taifa, kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa na uelewa mdogo wa masuala ya dini, asilaumiwe

    HAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE. Na, Robert Heriel. Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOA, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayati Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa viongozi wetu: Msisahau kuwaomba Viongozi wa Dini na Watanzania kwa ujumla kumwomba Mungu aendelee kuiponya nchi yetu dhidi ya Corona

    Nawasihi sana viongozi wetu kumtanguliza Mungu mbele katika vita dhidi ya corona. Msimwonee Mungu haya katika jambo hili. Usalama tulionao tofauti na mataifa mengine siri yake ni kwamba Rais wetu wa wakati huo alikuwa anaitisha maombi na kuhamasisha watu kumwomba na kumtanguliza Mungu mbele...
  11. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Nautafuta wimbo huu wa dini

    Salaam wakuu. Jana nilikuwa msibani, kuna wimbo niliusikia melody na mashairi yake yalinivutia. Bahati mbaya nimeufuta kimakosa baada ya kurekodi. Baadhi ya maneno yake ni 'Mwamini Mungu ewe mwandamu kwa roho na moyo mmoja Usijigambeee, usijitapee'. Ni wimbo wa kwaya na si mtu mmoja na lead...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

    Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi la burudani na pia mafundisho. Ni mambo ambayo hayajawahi kutokea kuhalisia. Ukitafakari kwa kina utagundua sehemu kubwa ya dini nyingi zimejengwa katika msingi huu. Story gani ujawahi kuiamini kama ni ya kweli na halisi katika kitabu cha dini yako?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maswali yanayohusu kabila na dini kwenye vyombo vya dola yanaashiria ubaguzi

    Maswali unapoenda polisi una shida labda umepoteza vitambulisho au shida nyingine tu, unaulizwa eti kabila gani, dini gani maswali hayo ameyatilia shaka kuwa yana viashiria vya ubaguzi. Hata Mimi sioni kama yana tija badala yake naona wangehoji eneo analotoka mteja wao ili kuweka takwimu...
  14. x - mas

    JamiiForums Tanzania "Malkia wa Ubembe" ni miongoni mwa dini za kiafrika kabla ya ukoloni na hadi leo, nahitaji kuifahamu dini hii kiundani zaidi

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Inasemekana "Malkia Wa Ubembe" ni moja ya dini zetu za asili za kiafrica hata kabla ya ujio wa dini za kisasa za wazungu na waarabu. Dini hii wafuasi wake ni watu kutoka kigoma Tanzania na watu wa mashariki mwa congo. Ningependa kujuzwa mambo yafuatayo kuhusu...
  15. rr4

    JamiiForums Tanzania Si uungwana kubaguana kwa tofauti za dini

    Kwa ufupi mno Unajua mtu unaenda ofisi fulani na anayehusika kutoa huduma hapo ni dini fulani, basi akishaona tu jina lako haliendani na dini yake, utazungushwa kupata huduma hadi ukereke. Na hii dini inafahamika fika kabisa, ni wabaguzi mno. Sijui huko kwenye nyumba za ibada huwa...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Moja ya visima vya kwanza vya ubatizo vilivyojengwa na Warumi baada ya kupokea dini ya Kikristo

    Kisima hiki kiko Byzantine ambayo ni Uturuki ya sasa.
  17. Hero

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Watanzania tuwaangalie wateule wa Rais kwa weledi wao

    Kumekuwa na manung'uniko kila mara rais Samia anapofanya teuzi kuwa zina muelekeo wa kuingia kuswali au kusali! Niwaombe watz, tutulize munkari! Teuzi za Ally H. Mwinyi zilileta matokeo kwa kiasi kile cha serikali ya awamu ya pili! Uteuzi wa Mkapa ulitufikidha pale alipoishia! Uteuzi wa JK nao...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwa manufaa ya Taifa, Serikali izihamishie pengine zile taasisi za kidini Kurasini kupisha Bandari

    Pale ilipo TEC na Pentecost pale kurasini zinatatiza sana kazi za bandari ya Dar es salaam. Kuna ubaya gani serikali ikafanya mazungumzo kama ikivyofanya na wakazi wengine kuzihamisha zile taasisi pale zilipo kwa manufaa ya bandari? Malori ya mzigo yanakosa maegesho kwakuwa hakuna nafasi ya...
  19. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Naomba kutajiwa faida za dini

    Mpaka sasa nafikisha miaka 43,nimeijua moja tu,nayo ni kusaidia kwenye elimu, nje ya hapo sijaona. Hapa nazungumzia UKRISTO NA UISLAMU.
  20. M

    JamiiForums Tanzania DED monduli na tanesco wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katika kijiji cha Makuyuni mkoani Arusha tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni...
Back
Top Bottom