Watu wa dini wanaamini wasichokijua

Watu wa dini wanaamini wasichokijua

Jeremiah Stephin

Senior Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
129
Reaction score
166
Labda na wewe utaongeza kitu hapo chini.

1. Binafsi siwezi kuamini kitu ambacho sikielewi.

Watu wa Sayansi walikataa kuamini wakachagua kuelewa na ndio wameleta ustaarabu duniani. Hii ni tofauti na watu wa dini.

2. Dini ni Chombo cha kijamii(social agency) Chenye kazi ya kuhimiza Maadili, na Ushirikiano kwenye jamii. Kuhusu kumpata Mungu kupitia hizi dini zetu hizi napata wasiwasi maana hata dini zenyewe bado hazimjui Mungu, zinakinzana kuhusu Mungu.

Kila dini inamuelezea Mungu kwa njia tofauti. Hata amri na sheria za dini ni tofauti. Kila dini imechagua mungu wa kumuabudu.

3. Imani ya kiroho haifundishwi, hakuna haja ya kushawishi, kutisha, kulazimisha au kumshurutisha mtu aamini kama wewe unavyo amini, hiyo inakuwa sio spirtual inakuwa ni kama siasa na kampeni za uchaguzi.

Mambo ya kiroho ni automatic tu. Dini zetu hizi zimeingia kwa ushawishi, vita na vitisho napata wasiwasi zilikuja ili watu wamjue Mungu au kuna agenda za siri?🤔Aliyetufanya watumwa ndiye aliyetupa vitabu tunavyoviita vitakatifu😀😀

4. Tofauti yetu na wanyama ni utashi, Binadamu tunautashi mkubwa ila wote tunaongozwa na kanuni zinazofanana: wote tuna struggle for existence, kuna survival of the fittest and Natural Selection.

Binadamu tunauwana tukigombania resources, Madaraka n.k the same applied to wild animals.

Soma Pia: Huu ndio utofauti kati ya watu wa dini(Religion) na kiroho(spiritual)

Dini ipo kuhakikisha hatuvuki mipaka tunapo strugle for existence ndio maana unaambiwa usiibe, usiue, usitamani mali ya jirani yako n.k. Hizo ni sheria na amri za maadili.

5. Shetani je?😀 ni kiumbe cha kusadikika, imaginary creature kimeundwa na watu wa dini maalum kukutisha na ili usitoke nje ya box ndio maana utashangaa pamoja na huu utitiri wa dini uliopo ambao kazi yao kubwa ni kumkemea shetani ila hadi sasa hawajafanikiwa kwenye hilo..Why? Jibu ni kwamba wanakemea kitu ambacho hakipo.

6. Je, tunaweza kuwa na maadili bila uwepo wa dini?sheria za nchi hazitoshi? Au wewe unaonaje?

7.
8.
 
Watu wa Sayansi waalikataa kuamini wakachagua kuelewa
kuna dark energy haionekani, hauwezi kui detect, hawajui ni nini ila wana sayansi wana amini ipo, hii unaelezeaje, watu wa dini wakiamini kitu ambacho hakionekani ni blind belief ila sayansi ikifanya hivyo ni sawa, big bang kuna mjadala kama kweli ndio ilikuwa mwanzo wa space time maana kuna wengine wana amini siyo hivyo tuamini wana sayansi wapi ? Wanaamini big bang au theory nyingine,
 
Hii tabia ya watu kutaka kuonekana wapo sahihi mitazamo yao au imani zao zilizo tofauti na dini kwa kukosoa dini nadhani imezidi sana kwa sasa, kuna watu wanadhani ukikosoa madhaifu au mabaya ya dini basi moja kwa moja kunafanya misimamo yao waliyonayo au yale wanayoyaamini ndio yanakuwa sahihi.
 
Labda na wewe utaongeza kitu hapo chini.

1. Binafsi siwezi kuamini kitu ambacho sikielewi.

Watu wa Sayansi walikataa kuamini wakachagua kuelewa na ndio wameleta ustaarabu duniani. Hii ni tofauti na watu wa dini.

2. Dini ni Chombo cha kijamii(social agency) Chenye kazi ya kuhimiza Maadili, na Ushirikiano kwenye jamii. Kuhusu kumpata Mungu kupitia hizi dini zetu hizi napata wasiwasi maana hata dini zenyewe bado hazimjui Mungu, zinakinzana kuhusu Mungu.

Kila dini inamuelezea Mungu kwa njia tofauti. Hata amri na sheria za dini ni tofauti. Kila dini imechagua mungu wa kumuabudu.

3. Imani ya kiroho haifundishwi, hakuna haja ya kushawishi, kutisha, kulazimisha au kumshurutisha mtu aamini kama wewe unavyo amini, hiyo inakuwa sio spirtual inakuwa ni kama siasa na kampeni za uchaguzi.

Mambo ya kiroho ni automatic tu. Dini zetu hizi zimeingia kwa ushawishi, vita na vitisho napata wasiwasi zilikuja ili watu wamjue Mungu au kuna agenda za siri?🤔Aliyetufanya watumwa ndiye aliyetupa vitabu tunavyoviita vitakatifu😀😀

4. Tofauti yetu na wanyama ni utashi, Binadamu tunautashi mkubwa ila wote tunaongozwa na kanuni zinazofanana: wote tuna struggle for existence, kuna survival of the fittest and Natural Selection.

Binadamu tunauwana tukigombania resources, Madaraka n.k the same applied to wild animals.

Soma Pia: Huu ndio utofauti kati ya watu wa dini(Religion) na kiroho(spiritual)

Dini ipo kuhakikisha hatuvuki mipaka tunapo strugle for existence ndio maana unaambiwa usiibe, usiue, usitamani mali ya jirani yako n.k. Hizo ni sheria na amri za maadili.

5. Shetani je?😀 ni kiumbe cha kusadikika, imaginary creature kimeundwa na watu wa dini maalum kukutisha na ili usitoke nje ya box ndio maana utashangaa pamoja na huu utitiri wa dini uliopo ambao kazi yao kubwa ni kumkemea shetani ila hadi sasa hawajafanikiwa kwenye hilo..Why? Jibu ni kwamba wanakemea kitu ambacho hakipo.

6. Je, tunaweza kuwa na maadili bila uwepo wa dini?sheria za nchi hazitoshi? Au wewe unaonaje?

7.
8.
 
Attachments

  • instagram_1780404558857.mp4
    5.2 MB

Nyinyi wagalatia mmeshagumdua kuwa Wazungu wamekuingizeni Chaka Sasa badala muutafute ukweli mnaletea Mungu kiburi

Tofauti ya binadamu na mnyama ni ufahamu kuhusu aliyeumba Kila kitu

Kama akili yako itashindwa kung'amua hilo basi wewe Hauna tofauti na mnyama na Kwa sababu umeamua makusudi kujifananisha na mnyama maana yake ni kuwa umechagua mwenyewe kuingia ndani ya Jahanam

Mungu atengeneze Jua lenye uwezo wa kuchoma Dunia mzima ashindwe kutengeneza Jahanam?
 
Kwa binadamu 'kujua' kunategemea moja kwa moja na kusadiki. Hii ni kwa sababu ubongo (akili) ya mtu iko katika hali ya kusadiki, kuamini.

Juu ya dini na juu ya sayansi. Dini inashughulikia 'kweli za kiakili'. Sayansi inashughulika na kuthibitisha kweli hizo.

Elimu hizi mbili hazikinzani, ni kitu kimoja kuelekea ukweli ambao ni hatima yetu ya mwisho.

Kunaweza kuwako kasoro mbalimbali za kibinadamu katika dini na katika sayansi lakini si katika kweli za kiakili.

Kwa binadamu ukweli ni muhimu kuliko chochote kwa sababu wenyewe ndio hatima yake ya mwisho. Kwa maneno mengine, hatuwezi kukwepa ukweli; uwe unajua au haujuwi, ukweli ni dhahiri.

Maarifa ya sayansi yametusaidia kufahamu kwa kina kuhusu ulimwengu. Kwa sababu hiyo tumeweza au tunaweza kuelewa vuzuri ukweli kuhusu dini.
 
Labda na wewe utaongeza kitu hapo chini.

1. Binafsi siwezi kuamini kitu ambacho sikielewi.

Watu wa Sayansi walikataa kuamini wakachagua kuelewa na ndio wameleta ustaarabu duniani. Hii ni tofauti na watu wa dini.

2. Dini ni Chombo cha kijamii(social agency) Chenye kazi ya kuhimiza Maadili, na Ushirikiano kwenye jamii. Kuhusu kumpata Mungu kupitia hizi dini zetu hizi napata wasiwasi maana hata dini zenyewe bado hazimjui Mungu, zinakinzana kuhusu Mungu.

Kila dini inamuelezea Mungu kwa njia tofauti. Hata amri na sheria za dini ni tofauti. Kila dini imechagua mungu wa kumuabudu.

3. Imani ya kiroho haifundishwi, hakuna haja ya kushawishi, kutisha, kulazimisha au kumshurutisha mtu aamini kama wewe unavyo amini, hiyo inakuwa sio spirtual inakuwa ni kama siasa na kampeni za uchaguzi.

Mambo ya kiroho ni automatic tu. Dini zetu hizi zimeingia kwa ushawishi, vita na vitisho napata wasiwasi zilikuja ili watu wamjue Mungu au kuna agenda za siri?🤔Aliyetufanya watumwa ndiye aliyetupa vitabu tunavyoviita vitakatifu😀😀

4. Tofauti yetu na wanyama ni utashi, Binadamu tunautashi mkubwa ila wote tunaongozwa na kanuni zinazofanana: wote tuna struggle for existence, kuna survival of the fittest and Natural Selection.

Binadamu tunauwana tukigombania resources, Madaraka n.k the same applied to wild animals.

Soma Pia: Huu ndio utofauti kati ya watu wa dini(Religion) na kiroho(spiritual)

Dini ipo kuhakikisha hatuvuki mipaka tunapo strugle for existence ndio maana unaambiwa usiibe, usiue, usitamani mali ya jirani yako n.k. Hizo ni sheria na amri za maadili.

5. Shetani je?😀 ni kiumbe cha kusadikika, imaginary creature kimeundwa na watu wa dini maalum kukutisha na ili usitoke nje ya box ndio maana utashangaa pamoja na huu utitiri wa dini uliopo ambao kazi yao kubwa ni kumkemea shetani ila hadi sasa hawajafanikiwa kwenye hilo..Why? Jibu ni kwamba wanakemea kitu ambacho hakipo.

6. Je, tunaweza kuwa na maadili bila uwepo wa dini?sheria za nchi hazitoshi? Au wewe unaonaje?

7.
8.
UKIJUA kitu IMANI inakua haipo tena

Imani ipo kwa vitu ambavyo havijulikani, vikijulikana inakua ni FACT na sio imani tena
 
kuna dark energy haionekani, hauwezi kui detect, hawajui ni nini ila wana sayansi wana amini ipo, hii unaelezeaje, watu wa dini wakiamini kitu ambacho hakionekani ni blind belief ila sayansi ikifanya hivyo ni sawa, big bang kuna mjadala kama kweli ndio ilikuwa mwanzo wa space time maana kuna wengine wana amini siyo hivyo tuamini wana sayansi wapi ? Wanaamini big bang au theory nyingine,
Kama kitu sayansi haikifahamu inakiri na inaendelea na utafiti
 
Nyinyi wagalatia mmeshagumdua kuwa Wazungu wamekuingizeni Chaka Sasa badala muutafute ukweli mnaletea Mungu kiburi

Tofauti ya binadamu na mnyama ni ufahamu kuhusu aliyeumba Kila kitu

Kama akili yako itashindwa kung'amua hilo basi wewe Hauna tofauti na mnyama na Kwa sababu umeamua makusudi kujifananisha na mnyama maana yake ni kuwa umechagua mwenyewe kuingia ndani ya Jahanam

Mungu atengeneze Jua lenye uwezo wa kuchoma Dunia mzima ashindwe kutengeneza Jahanam?
Umeansika uharo
 
kuna dark energy haionekani, hauwezi kui detect, hawajui ni nini ila wana sayansi wana amini ipo, hii unaelezeaje, watu wa dini wakiamini kitu ambacho hakionekani ni blind belief ila sayansi ikifanya hivyo ni sawa, big bang kuna mjadala kama kweli ndio ilikuwa mwanzo wa space time maana kuna wengine wana amini siyo hivyo tuamini wana sayansi wapi ? Wanaamini big bang au theory nyingine,
Wanasayansi hawaamini dark energy ipo, wanajua ipo ila hawana maelezo mengi kuihusu na bado wanaendelea kuitafiti. Pia Wanasayansi hawaamini bing bang, wanajua kwa uhakika ilitokea na wanakiri hawajui zaidi kabla ya bing bang nini kilikuwepo. Lakini hata ukisema Wanasayansi wanaamini hayo yote kama unavyosema bado wako tayari kubadilisha, kurekebisha na kuamini mambo mapya ikiwa yatathibitishwa kisayansi. Dini huwezi kubadilisha au kuirekebisha katika jambo lolote.
 
bado wako tayari kubadilisha, kurekebisha na kuamini mambo mapya ikiwa yatathibitishwa kisayansi. Dini huwezi kubadilisha au kuirekebisha katika jambo lolote.
Hii nakubaliana na wewe,
 
evangelical pastors might be "satanic" or evil generally stems from specific criticisms, scandals, and theological debates
 
Elimu hizi mbili hazikinzani, ni kitu kimoja kuelekea ukweli ambao ni hatima yetu ya mwisho.
Hazikinzani kivipi? Unaijua history ya dini ya kikatoliki? Unafahamu kwamba katoliki iliwahi kumfunga mwanasayansi Galilee kwa kuwa kosoa kuhusu maandiko ya bible kwamba Jua inaizunguka dunia?
so it's either haujafanya research yako vizuri or haujui kabisa. So usiseme kwamba sayansi na dini hazikinzani
 
Labda na wewe utaongeza kitu hapo chini.

1. Binafsi siwezi kuamini kitu ambacho sikielewi.

Watu wa Sayansi walikataa kuamini wakachagua kuelewa na ndio wameleta ustaarabu duniani. Hii ni tofauti na watu wa dini.

2. Dini ni Chombo cha kijamii(social agency) Chenye kazi ya kuhimiza Maadili, na Ushirikiano kwenye jamii. Kuhusu kumpata Mungu kupitia hizi dini zetu hizi napata wasiwasi maana hata dini zenyewe bado hazimjui Mungu, zinakinzana kuhusu Mungu.

Kila dini inamuelezea Mungu kwa njia tofauti. Hata amri na sheria za dini ni tofauti. Kila dini imechagua mungu wa kumuabudu.

3. Imani ya kiroho haifundishwi, hakuna haja ya kushawishi, kutisha, kulazimisha au kumshurutisha mtu aamini kama wewe unavyo amini, hiyo inakuwa sio spirtual inakuwa ni kama siasa na kampeni za uchaguzi.

Mambo ya kiroho ni automatic tu. Dini zetu hizi zimeingia kwa ushawishi, vita na vitisho napata wasiwasi zilikuja ili watu wamjue Mungu au kuna agenda za siri?🤔Aliyetufanya watumwa ndiye aliyetupa vitabu tunavyoviita vitakatifu😀😀

4. Tofauti yetu na wanyama ni utashi, Binadamu tunautashi mkubwa ila wote tunaongozwa na kanuni zinazofanana: wote tuna struggle for existence, kuna survival of the fittest and Natural Selection.

Binadamu tunauwana tukigombania resources, Madaraka n.k the same applied to wild animals.

Soma Pia: Huu ndio utofauti kati ya watu wa dini(Religion) na kiroho(spiritual)

Dini ipo kuhakikisha hatuvuki mipaka tunapo strugle for existence ndio maana unaambiwa usiibe, usiue, usitamani mali ya jirani yako n.k. Hizo ni sheria na amri za maadili.

5. Shetani je?😀 ni kiumbe cha kusadikika, imaginary creature kimeundwa na watu wa dini maalum kukutisha na ili usitoke nje ya box ndio maana utashangaa pamoja na huu utitiri wa dini uliopo ambao kazi yao kubwa ni kumkemea shetani ila hadi sasa hawajafanikiwa kwenye hilo..Why? Jibu ni kwamba wanakemea kitu ambacho hakipo.

6. Je, tunaweza kuwa na maadili bila uwepo wa dini?sheria za nchi hazitoshi? Au wewe unaonaje?

7.
8.

Hazikinzani kivipi? Unaijua history ya dini ya kikatoliki? Unafahamu kwamba katoliki iliwahi kumfunga mwanasayansi Galilee kwa kuwa kosoa kuhusu maandiko ya bible kwamba Jua inaizunguka dunia?
so it's either haujafanya research yako vizuri or haujui kabisa. So usiseme kwamba sayansi na dini hazikinzani
Jambo hilo linafahamika na sababu zake zinajulikana.
Fikiria kuhusu sayansi ya dawa. Inakufundisha nini?
 
Back
Top Bottom