Chama chochote kiwe cha Siasa au kikundi katika Jamii kinakuwa na Katiba na miongozo yake, na iwapo unahitaji kuwa mwanachama wake inabidi ufuate masharti, taratibu na miongozo yake, na kinyume cha hapo inabidi ujitoe na usipojitoa watakufukuza.
Katika Dini, upande wa sisi wakristu iwapo umekwenda kinyume wanakutenga, huku kukutenga jamani naona ni Sawa na kukufukuza.
Kwa nini iwe Hivyo kwenye Imani za kiroho? Nadhani Hukumu haachiwe Mungu.