Mwanamuziki supa star nchini, Nasib Abdul (Diamond Platnumz) amefunguka kuwa atakutana na mshambuliaji wa zamani wa Barcelona Samweli Etoofu kuanzisha taaluma ya mpira wa miguu nchini.
Akiongea jijini Dar es salaam mara baada ya kufika akitokea Misri, Diamond, anayefahamika kama Simba, alisema...