Huyu mama yake Diamond ni Ulimbukeni au?

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
1581792250861.png
 
Mungu asante kwa mama uliyenipa

Labda useme ushukuru Mungu kwa kutokujua usichokijua, Binadamu usimwamini hata siku moja, hivyo wakati mwingine tofauti kati ya mama Mondi na mama zetu ni kwamba labda hawatuonyeshi (mama zetu)

Tu wanayoyafanya, kwani mwisho wa siku mama zetu ni Wanawake pia, sasa kama una uzoefu na Wanawake utaelewa mambo ambayo wanafanya kwa kuficha, na kuitangazia Dunia kuwa ni Watakatifu, mimi nimeshashudia mengi na Wanawake ambao kwa heshima wanaoionyesha kwenye jamii wengi hawawezi amini kama ni fake.

Hivyo mambo haya ni kukaa kimya tu, mimi kuna mshikaji mama yake walimshika darasani jioni na kijana hakuna aliyeamini, Mshikaji mpaka leo hajatengemaa bado kiakili.
 
Labda useme ushukuru Mungu kwa kutokujua usichokijua, Binadamu usimwamini hata siku moja, hivyo wakati mwingine tofauti kati ya mama Mondi na mama zetu ni kwamba hawatuonyeshi wanayoyafanya, kwani mwisho wa siku mama zetu ni Wanawake, sasa kama una uzoefu na Wanawake utaelewa mambo ambayo wanafanya kwa kuficha, na kuitangazia Dunia kuwa ni Watakatifu, mimi nineshashudia mengi na Wanawake ambao kwa heshima wanaoionyesha wengi hawawezi amini wanayoyafanya.
Sidhani kama anachofanya ni kibaya, hapana. Yeye ni binadamu na hisia zake.

Ila kwa umri wake na tayari ukichukulia ana wajukuu nafikiri ni hekima zaidi at least angeweka maisha yake private.

Sidhani kwa kuwa wazazi wetu huwa tunajua wanafanya tendo la ndoa, ndio wafanye hadharani sasa.

Yeye na kina Official Lyyn wana tofauti gani sasa kwa tabia hiyo ?
 
Sidhani kama anachofanya ni kibaya, hapana. Yeye ni binadamu na hisia zake.

Ila kwa umri wake na tayari ukichukulia ana wajukuu nafikiri ni hekima zaidi at least angeweka maisha yake private.

Sidhani kwa kuwa wazazi wetu huwa tunajua wanafanya tendo la ndoa, ndio wafanye hadharani sasa.

Yeye na kina Official Lyyn wana tofautu gani sasa kwa tabia hiyo ?


Ndo hivyo watu tuko tofauti, kwani hiyo siyo bahati mbaya kwamba kaviziwa na kupigwa picha, ni kwamba anajua kila kitu na ameamua iwe hivyo.
 
Hakuna anaemzuia kufanya, kibaya ni unafanya alafu unawaonyeshea walimwengu kua unafanya, kwa umri wake hapana si sawa kabisa hayo mambo awaachie mabinti

Yeye apigwe Miti Kimya kimya


Labda amekipata alichokuwa anajitafuta, attention, sasa wewe unakereka mwenzako hiyo kero yako ndo kama unamwambia zidisha.
 
Back
Top Bottom