diamond

  1. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amuiga Rick Ross kufuga ndevu

    Huyu bwana wa kuiga iga hakimpiti kitu 😂 ati na yeye ameamua kudunduliza vindevu vyake ili awe kama Rick Ross ( rich forever). Basi kwa vile anafuga vindevu mda si mrefu ataanza kujitangaza amekua tajiri zaidi ya Bill Gates 👀 Picha ya chini ni Diamond Platnumz akiwa na muonekano mpya wa kirich...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Black Diamond Apples from Tibet

    Black Diamond Apples from Tibet The Black Diamond apple is a rare breed from the family of Huaniu apples that is cultivated in the Tibetan region of Nyingchi. Despite what the name suggests, the apple rather is a purple hue, with white pulp on the inside. Its unique color is due to the...
  3. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mkubwa Fella adai hakuna msanii anastahili kulinganishwa na Diamond Platnumz Bongo

    Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella amesisitiza kwamba mwanamuziki anayewakilisha ndiye kigogo wa muziki nchini Tanzania. Akiwa kwenye mahojiano ya hivi majuzi na Mbengo TV, Fella ambaye pia ni mwanasiasa alisema kwa sasa hakuna mwanamuziki anayestahiki kulinganishwa na Diamond Platnumz...
  4. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

    Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz. Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango kimoja hadi kingine kutokana na biii yake. Ni msanii ambaye ana uhusiano mwema na wa karibu na...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kujenga arena kubwa ya burudani

    Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani. Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za muziki, maduka, migahawa na lounge. Itakuwa solution ya kilio cha muda mrefu kwa wapenzi wa burudani...
  6. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Diamond anashindwa kufanya Timing nzuri katika biashara zake

    Kwanza nimpongeze kwa jitihada anazofanya kwani zimekuwa motisha kwa vijana wengi ambao wanapenda sana umaarufu wake kuliko jitihada alizoonesha na harakati ngumu alizopitia. Niwakumbushe vijana mpaka anafika pale bwana Almasi haikuwa kazi nyepesi, na kama mlivyo sikia kwa mahojiano...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond aendelea kumkimbiza Rayvanny

    Msanii namba moja Tanzania Diamond Platnumz anaendelea kumkimbiza msanii namba mbili Tanzania Rayvanny. Licha ya Diamond kutoachia wimbo hivi karibuni, bado anaendelea kumpa wakati mgumu mpinzani wake halisia kimuziki Rayvanny. Pia tunaona anajitokeza mara zote kwenye charts msanii chipukizi...
  8. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa Diamond Platnumz Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na Harmonize

    Baba mzazi ya Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na mwenzake wa zamani Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize. Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi majuzi, mzee Abdul alimsihi Diamond ashiriki kikao na Harmonize wazungumzie tofauti zao na...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hakuna msanii mwenye pumzi ya kukimbizana na Diamond kiuchumi, biashara zinamlipa kuzidi muziki

    kumlinganisha diamond kiuchumi na wasanii ambao wengi wao hata linapokuja swala la usafiri wanavimba na toyota crown za miaka kumi iliyopita, inakuwa sio fair Sote tunajua ya kwamba kuanzisha biashara kubwa ni gharama kubwa na ni hatari endapo ukila za uso, unaweza kuanzisha biashara mbili...
  10. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Zari Hassan (The Boss Lady) ataja sababu zilizovunja mahusiano yake na Diamond Platnumz

    Zari amefichua miongoni mwa sababu zilizomfanya kumwacha staa wa bongo Diamond Platnumz ni kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu mfululizo. Anasema wasichana walikuwa wengi na katika baadhi ya matukio, kulikuwa na mimba zinazohusika. Akizungumza wakati wa mahojiano ya wazi na Toke Makinwa, Zari...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

    Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji. Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting. Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa...
  12. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania Diamond atambulisha Wasafi Bet

    Mwaka juzi diamond akiohojiwa alisema kwamba anawazo la kuanzisha kampuni ya kubet lakini watu wengi walimcheka na wengine kumdhihaki kwamba hana huo uwezo leo hii rasmi ameitambulisha kampuni hiyo na kuipa Jina la WASAFI BET.
  13. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mama Diamond Platnumz (Bi Sandra): Hatukuoana ili tuachane

    Mama Dangote ambaye ni mama ya staa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na mume wake Rally Jones almaarufu kama Uncle Shamte wamepuuzilia mbali madai kuwa ndoa yao imesambaratika. Walipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi Media, wawili hao waliweka wazi kuwa wangali pamoja na hamna msukosuko wowote...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
  15. instagram

    JamiiForums Tanzania Davido achangisha hela kwa wasanii aliowasaidia kutoka, Focalist katoa, Diamond bado hajatoa hela

    Katika kusherehekea birthday yake msanii davido katoa challenge kwa wasanii na makampuni mbalimbali aliowasaidia ku push nyimbo na brand zao kuwa maarufu Nigeria na Africa, akiwataja kwa majina kupitia Instagram story yake akiwemo msanii Diamond Platnumz na msanii Focalist. Wasanii mbalimbali...
  16. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz

    Mwanasoshalati na mwanamuziki kutoka Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz. Alipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi Media siku ya Jumatatu, Lyn alisema mahusiano yake na Diamond yalidumu kwa kipindi cha mwaka mmoja...
  17. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

    Leo katika pita pita zangu nimekutana na hii post ya Harmonize akiongelea mtu kutumia madawa ya kulevya na mtu huyu direct ni Dimond. Je kuna ukweli wowote au ni hasira za Harmonize kuambiwa anatumia mihadarati. Wadau je kuna ukweli wowote kukonda kwa Dimond ni kwa ajli ya ubwiaji?
  18. F

    JamiiForums Tanzania Diamond Jubilee ya Uhuru wa Tanganyika

    Wakati Tanzania inaadhimisha uhuru wa Tanganyika unaotimiza miaka 60 9 Disemba, 2021, kumekuwa na kupooza kiasi kwamba mitaani, viwanjani na kwenye majukwaa hakuna dalili za kuashiria shamrashamra za muendelezo wa maadhimisho hayo yanayofikia umri mkubwa wa zaidi ya nusu karne. Hii ni bahati...
  19. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Diamond Platnumz...

    Huu Ndio Utajiri wa Msanii Diamond Platnumz by Frumence M Kyauke. Nasibu Abdul Juma Issack, almaarufu Diamond Platnumz, ni msanii Afrika mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji vilevile ni msanii tajiri zaidi. Umaarufu wake umeanza kuonekana mwaka 2010 baada ya kuachia albamu kwa jina Kamwambie...
  20. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

    Msanii MalkiaKaren ambaye ni mtoto wa mtangazaji nguli hapa Tanzania, Gadner G Habash ana ujauzito mkubwa tuu ambao hata ukisikia kajifungua kesho wala usishangae. Mwenye mzigo inasemekana ni mnyama bin laden simba. Wadau wa kufukunyua hebu mje hapa, tupeni undani wa hii tetesi.
Back
Top Bottom