Kumbe Juma Jux kimaisha kamzidi Diamond Platnumz?

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,715
View attachment 1834572

Juma Jux kwenye ukurasa wake wa instagram katupia picha ya mjengo wake pamoja na ndinga zake ikiwemo Mercedes Benz mpya na bmw.

Kwa mtizamo wangu naona jux ana maisha mazuri kuliko msanii yeyote Bongo akiwemo mondi na kiba. Mondi anatumia toyota na kiba anatumia x5 la kizamani.

IMG_6832.jpg
 
Huyo Jux hamjaomba hati angekuwa Diamond mngeomba aweke hati ya nyumba na kadi ya gari. TCRA wenyewe wanakwambia Diamond Wasafi Media ana miliki 45%,watu bado wanabisha. Kanunua Cadilac ya kwanza mkasema ya Yusuph Bakheresa kamuuzia, wakati Yusuph ana miliki garage ya kupimp magari, kanunua Cadilac ya pili mnaponda Uber Marekani.

Sometimes inabidi tufanye bother Sadala hana kitu ili kuwarizisha haters ila ukweli mioyoni mnaujua.
 
Kumbe jina la Sadala limepita?
Huyo Jux hamjaomba hati angekuwa Diamond mngeomba aweke hati ya nyumba na kadi ya gari.TCRA wenyewe wanakwambia Diamond Wasafi Media ana miliki 45%,watu bado wanabisha. Kanunua Cadilac ya kwanza mkasema ya Yusuph Bakheresa kamuuzia, wakati Yusuph ana miliki garage ya kupimp magari, kanunua Cadilac ya pili mnaponda Uber Marekani.

umeuwa mzee
 
Ukiona unaombwa uthibitisho wa kitu jua watu hawakuamini yani unaishi kiuongo uongo ndo maana unakua uhaminiki,.

Jux hajaombwa hivyo kwa sababu anaishi maisha yake harisi si ya uongo uongo

Tulieni dawa iwaingie
 
Sasa huyo mbona hamja muomba.

Chombo cha serikali chenyewe TCRA kinasema Diamond anamiliki 45% mnabisha sasa unataka Diamond afanye wakati ww mwenyewe umeamua kubisha kwa makusudi.
 
Huyo Jux hamjaomba hati angekuwa Diamond mngeomba aweke hati ya nyumba na kadi ya gari.TCRA wenyewe wanakwambia Diamond Wasafi Media ana miliki 45%,watu bado wanabisha. Kanunua Cadilac ya kwanza mkasema ya Yusuph Bakheresa kamuuzia, wakati Yusuph ana miliki garage ya kupimp magari, kanunua Cadilac ya pili mnaponda Uber Marekani.

Sometimes inabidi tufanye bother Sadala hana kitu ili kuwarizisha haters ila ukweli mioyoni mnaujua.
Mkuu umeongea kwa hisia kali saaaana :) :)
 
Huwezi nyamazisha watu kabisa.
 
Kwa sababu hajawai kuuongopea uma na hana shutuma za uongo uongo naamini kua mali ni zake,.

Ila kwa Sadala ni lazima wakimwengu waombe uthibitisho, yero masai ni muongo muongo sana mzee wa kik
Kwa hiyo ndio sababu yako, kwa hiyo hata PNC au K2ga akisema ana miliki Maybach utaamini sababu hawajawahi kusema uongo?

Haya basi tufanye Sadala muongo (ngoja nikurizishe) vipi na TCRA kusema Sadala ana miliki 45% Wasafi Media nayo ni uongo...........?

images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom