diamond

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tazama video hizo: Is Diamond Platnum a crackhead?

    He demonstrates the look of a person whose aura has been ganked. # no hope for the future # Lord have mercy. Ukitazama choreography zake, it is either he is high or he is possessed. # something has to be done now now now. # bora Alubadiri ya mbayana kuliko Alubadiri ya kipakistani
  2. MimiNiMakini

    JamiiForums Tanzania Kanumba hayupo filamu zipo, Diamond akifa muziki utaendelea

    Imetoka List ya Wasanii wenye Ushawishi mkubwa Barani Africa, Diamond ametokea pia kwenye List hiyo na Mbaya Zaidi amejisifu kwamba Bila yeye bendera ya Tanzania haitapepea tena kimataifa iwapo hasa atafariki. Inachekesha Sana, Diamond ameshajikuta kwamba bila yeye mambo hayaendi, huu ni uongo...
  3. Planett

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

    Wakuu salaam, Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani. Sasa leo Joti kaachia kazi yake...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond yupo Mwanza leo; watu wote wa jiji la Mwanza wana furaha...

    Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo. Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha. Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie simu atakupa majibu ya balaa la Diamond ni mji umesimama.
  5. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya ndio wanaompaisha Diamond Platinumz

    Kumbe watu wanaomshikilia na kumsapoti Mondi ni Wakenya? Gazeti la Tanzania la The Citizen linasema kwamba ndani ya miezi 12 zilizopita video za Diamond kwenye youtube zilipata 136 million views na kati ya hizo views, 107 million zilikuwa zinatokea Kenya. Kumbe Watanzania hampendi Diamond au...
  6. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi chukueni hatua za kisheria dhidi ya Diamond & Zuchu

    Sina chuki na Huyu Bwana Diamond, huwa napenda sana nyimbo zake, ni burudani tosha. Ni takribani mwezi sasa toka huyu Bwana na bint Zuchu watoe wimbo wao walioupa jina 'Mtasubiri sana'. Ni wimbo mzuri katika muktadha wa burudani. Ukakasi unakuja katika video ya wimbo huu. Kile kinachoonekana...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

    Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani. Wimbo huo unafungiwa...
  8. Interest

    JamiiForums Tanzania Diamond alimuimbia Wema Sepetu nyimbo nyimbo tamu, chungu na chachu..

    Ujana, mapenzi na ustaa. Maneno hayo machache yanatosha kuelezea maisha ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Kama hukufaidi drama za hawa wawili, bado hujalijua vizuri game la muziki wa kizazi kipya. Kwa ufupi sana, hii ndiyo couple namba mbili iliyokuwa na nguvu kuliko zote katika historia ya...
  9. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Diamond ana hekima Sana. Wengi hawamuelewi. Wakati mwingine hata chawa wake ndio wanamutungia maneno

    Mada inajieleza. Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake wanabaki kuheshimiana, juzi kati huyu binti ambaye amejaaliwa heshima na ni mpole (Jina ) alikuwa...
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Tunammiss Diamond wetu entertainer. Huyu Diamond mfanyabiashara anatunyima uhondo

    Tunamiss yule Diamond mwanamuziki. Tunammiss Diamond entertainer. TunammissDiamond drama boy. Kiukweli Diamond akipoa na muziki wetu unapoa. Diamond ni kama chameleon alivyokuwa anaubeba muziki wa uganda. Diamond tangia awe CEO wa biashara kubwa kubwa amekuwa anafanya muziki kibepari sana kuna...
  11. snipa

    JamiiForums Tanzania Account ya Diamond Plutnumz yadukuliwa tena Leo tarehe 26 April

    Mwanamuzi kutoka Tanzania anaejulikana kama diamond Plutnumz kutoka Wasafi Account yake ya YouTube yadukuliwa Kwa mara nyingine Leo tarehe 26 April
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

    Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo. Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: Tuzo za Tanzania zilikufa kwa sababu yangu, nilinyimwa Watanzania wakakasirika sana

    Mwanamuziki wa, Diamond Platnumz Akiwa Kwenye Interview na Kituo cha #BBCSwahili Jijini London Ametaja Sababu Ya Yeye Kutoshiriki Kwenye Tuzo Za Muziki Nchini. "Namshukuru Waziri Wa Sanaa Michezo Na Tamaduni Tulipata Wasaa Wakuongea Kabla Ya Tuzo Kufanyika Na Nilimueleza Maoni Yangu Na Cha...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania WASAFI ya Diamond Platnumz wamemtupia virago Paul Makonda?

    Huyu ndugu alikuwa na vyeo vingi pale, ametupiwa virago? Hasikiki tena, Kuna wakati walimuimba eti ni baba yao
  15. Brown Kwacha

    JamiiForums Tanzania Hivi tukiacha ushabiki ni lazima Diamond aangushe wasanii wengine ili aendelee kutamba?

    nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini. Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of...
  16. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Airtel "Imeolewa" na Diamond - lakini Je, huduma zimeboreshwa?

    Nimeamka asubuhi nikakutana na ujumbe kutoka kwa rafiki yangu ambae ni mfanyakazi wa Airtel (TSM), akiwa amenitumia Tangazo jipya la Joti. Nikatabasamu kwa kuwaza kwamba Airtel wamefanikiwa kumnyofoa Joti kutoka Tigo; nikawaza au labda huyu muwekezaji mpya alieingia Tigo amechagiza jamaa...
  17. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

    Dar es Salaam tunakutana eneo moja tu Diamond Jubilee... Makamu Mwenyekiti CCM Taifa -Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana kesho tarehe 10 April 2022 kupokelewa na kutambulishwa rasmi kwa wana - CCM na Watanzania kwa ujumla wake, Kinana anayetajwa kama mwanamikakati hatari zaidi kusini mwajangwa...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Washindi Tuzo za Muziki Tanzania 2021, heshima kwa Rais Samia, Diamond, Ruge, Mabeyo

    Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zinatolewa usiku huu wa Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo kama za muziki kama hizo Nchini Tanzania. TUZO ZA HESHIMA Shughuli inafanyika kwenye kwenye Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, watu watano wa kwanza kupewa tuzo ya heshima ni...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

    Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa Mwanza. Nimetoka Mwanza hivi juzi kila kona kuanzia Bwiru, Ilemela, Igoma, Nyegezi na maeneo yote...
  20. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond aisimamisha Qatar na kuweka heshima kwa Africa

    Msanii namba moja Africa Diamond Platnumz au mashabiki wake wanapenda kumuita Simba mnyama mkali amekuwa trend namba moja nchini Qatar. Diamond amefanikiwa kuwa trending namba moja kwenye waandaaji hao wa World Cup akiwa na wimbo wake Watasubiri alomshirikisha malkia wa muziki Africa ya...
Back
Top Bottom