diamond

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

    Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo. Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: Tuzo za Tanzania zilikufa kwa sababu yangu, nilinyimwa Watanzania wakakasirika sana

    Mwanamuziki wa, Diamond Platnumz Akiwa Kwenye Interview na Kituo cha #BBCSwahili Jijini London Ametaja Sababu Ya Yeye Kutoshiriki Kwenye Tuzo Za Muziki Nchini. "Namshukuru Waziri Wa Sanaa Michezo Na Tamaduni Tulipata Wasaa Wakuongea Kabla Ya Tuzo Kufanyika Na Nilimueleza Maoni Yangu Na Cha...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania WASAFI ya Diamond Platnumz wamemtupia virago Paul Makonda?

    Huyu ndugu alikuwa na vyeo vingi pale, ametupiwa virago? Hasikiki tena, Kuna wakati walimuimba eti ni baba yao
  4. Brown Kwacha

    JamiiForums Tanzania Hivi tukiacha ushabiki ni lazima Diamond aangushe wasanii wengine ili aendelee kutamba?

    nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini. Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of...
  5. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Airtel "Imeolewa" na Diamond - lakini Je, huduma zimeboreshwa?

    Nimeamka asubuhi nikakutana na ujumbe kutoka kwa rafiki yangu ambae ni mfanyakazi wa Airtel (TSM), akiwa amenitumia Tangazo jipya la Joti. Nikatabasamu kwa kuwaza kwamba Airtel wamefanikiwa kumnyofoa Joti kutoka Tigo; nikawaza au labda huyu muwekezaji mpya alieingia Tigo amechagiza jamaa...
  6. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

    Dar es Salaam tunakutana eneo moja tu Diamond Jubilee... Makamu Mwenyekiti CCM Taifa -Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana kesho tarehe 10 April 2022 kupokelewa na kutambulishwa rasmi kwa wana - CCM na Watanzania kwa ujumla wake, Kinana anayetajwa kama mwanamikakati hatari zaidi kusini mwajangwa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Washindi Tuzo za Muziki Tanzania 2021, heshima kwa Rais Samia, Diamond, Ruge, Mabeyo

    Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zinatolewa usiku huu wa Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo kama za muziki kama hizo Nchini Tanzania. TUZO ZA HESHIMA Shughuli inafanyika kwenye kwenye Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, watu watano wa kwanza kupewa tuzo ya heshima ni...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

    Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa Mwanza. Nimetoka Mwanza hivi juzi kila kona kuanzia Bwiru, Ilemela, Igoma, Nyegezi na maeneo yote...
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond aisimamisha Qatar na kuweka heshima kwa Africa

    Msanii namba moja Africa Diamond Platnumz au mashabiki wake wanapenda kumuita Simba mnyama mkali amekuwa trend namba moja nchini Qatar. Diamond amefanikiwa kuwa trending namba moja kwenye waandaaji hao wa World Cup akiwa na wimbo wake Watasubiri alomshirikisha malkia wa muziki Africa ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

    Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu. Kwakuwa zuchu Sasa...
  11. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Video: Akili za mashabiki wa Diamond zilivyo

    👇👇👇😥 Imagine ni mwanao na baba yako.
  12. papytex

    JamiiForums Tanzania Diamond aelezea kwanini aliamua kutozungumuza na Nadai bali Zari

    Katika kanda ya Video iliotokea katika mtandao wa kijamii wa YouTube, diamond alitokea wazi na kuelezea ni kwanini alizungumza na mama watoto zari aka Boss Lady licha ya kuonyesha dalili ya kumtaka Nadia katika filamu inayozungumuziwa mtaani hivi sasa- Young Famous & African Unaeza jionea mkanda...
  13. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Diamond sio Msanii wa Kimataifa kama anavyoaminisha watu

    Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria. Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low. Show zake za marekani bado sana...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Waziri, kuna moto unafukuta Diamond Vs Serikali (Hakuna Msanii Mkubwa Kuliko Nchi)

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amewataka viongozi wa BASATA na COSOTA kuhakikisha wasanii wote wanasajiliwa hususani wale wakubwa ambao mpaka sasa hawajasajiliwa kwani hakuna msanii mkubwa kuliko Nchi. "Nitoe maelekezo kwa COSOTA na BASATA hatutegemei kusikia wasanii...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DIAMOND: Nimekutana na Ex wangu kapauka mbwa yule (remix inakuja)

    Mzee wa Bwaksi akiwa na Zungu Macha wana wimbo wao unaojulikana kwa jina la Kafubaa, mzigo huo wa Singeli unachezwa na kusikilizwa zaidi mitaa ya Uswazi. Habari ni kuwa Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz naye ni moja ya waliouelewa wimbo huo na anataka kuufanyia Remix. “Sisi...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Hivi tukiacha ushabiki, Diamond Platnumz anamuweza kweli Hamornize (Konde Boy)?

    Inshu nzito, waliopo Konde Gang wote walikuwa WCB, sasa sielewi huyu Dogo live anaimba kuliko Diamond, ana hit nyingi resently kuliko Mond, amezidiwa fame na Diamond, amezidiwa hela na Diamond lakini nadhani kimziki amemzidi faza, labda ndio maana akamsaliji coz alikuwa anajua huyu ana kauwezo...
  17. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kuzindua night club yake ya kimataifa hivi karibuni

    Mwanamuziki namba moja Africa kwa sasa ambaye pia ni mfanyabiashara level za millionea Nasibu Nyange Abdul almaarufu Simba au Diamond Platnumz anakamilisha kuzindua club yake yenye hadhi ya kimataifa ukoo upepo unapovuma.
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Utabiri: kirefu cha EP mpya ya Diamond ni Father of All

    Hello wakuu Mimi si greater Thinker kama wadau wengine ila katika pita pita zangu mitandao nimekutana na habari kuwa Msanii wa kibongo Diamond Platinumz alitaka kudondosha EP yake siku za nyuma kidogo (ilikuwa kama Tarehe 4march). Lakini alitoa taarifa ya kusogeza mbele uzinduzi wa EP hiyo. Ila...
  20. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Bobrisky avutiwa na Diamond Platnumz

    Mrembo kutoka Nigeria bobrisky kupitia IG yake ameposti picha ya star wa bongo fleva diamond platnumz, huku akionyesha ni jinsi gani anavutiwa naye
Back
Top Bottom