diamond

  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Diamond na baba Levo kweli wametoka mbali si kwa mavazi haya

    🤣🤣🤣🤣🤣Sitii neno lolote hapa
  2. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Kusah: Diamond sio msanii / Ruby ana mabwana wengi / ep yangu imetumia milioni 10

    Baada ya kuachia EP yake Kusa kasema haya
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kama una gari hizi Prado 95 au Prado 120 (diamond) pitia hapa upate moja mbili, ikuingizie kipato

    Kuna Watu Mmejaaliwa vipandwa na miongoni mwa vipandwa hivyo ni aina ya hizi gari PRADO 95 (MCHAGA),PRADO 120 (DIAMOND) Hizi gari zinaweza kukusaidia kuingiza kipato kwa kukodisha kwa watu binafsi au Makampuni Mie ni Dereva wa tours kwa miaka kadhaa sasa na utafiti Wangu nilioufanya ni kua Gari...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ameshindikana

    Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba. Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa show. Umati alokusanya ni historia Kendwa haijawai tokea. Yani fullmoon party...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Diamond amempa nini shetani mpaka kapata pesa nyingi sana na umaarufu wote huo?

    Wasanii wakubwa tena wakongwe wanalalamika mziki wa bongo fleva haulipi k.v Chidi benz, Veemoney na Dudubaya, Diamond amewezaje kupata hela hadi ya kununua rolls royce na kulipa bodyguards? Diamond anafahamika hadi Nigeria, Na Afrika nzima, hakuna msanii wa kibongo anayefahamika kama Diamond...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Ninaomba mwenye mawasiliano ya msanii Diamond Platnumz au anayeweza kunikutanisha naye ili niweze kumshauri juu ya namna njema ya kuitangaza Wasafi Bet. Smartphone yangu iliibwa mwezi May ila sasa ninatumia Whatsapp ya mjomba wangu number...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio msanii namba mbili Afrika kwa kumiliki magari ya kifahari. Mtandao mkubwa duniani watoa orodha

    Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani. Msanii namba moja Afrika Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million 70.....yaaani katika wasanii wote Africa Diamond Platnumz ndio namba mbili. Asante sana Mwenye enzi...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

    Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi. Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rayvanny usilipe million 800, Serikali kemeeni upuuzi wa Diamond Platinum

    Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au! Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatizo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza. Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Diamond avuruga press ya utopolo makanjanja yaingia mitini

    Bongo hatari sana, kuna siku Pambalu wa CHADEMA kwa niaba ya BAVICHA aliitisha press kuzungumiza upandaji wa uongo wa mshahara na siku hiyo hiyo s Alhaji Takadini alikuwa na press yake ya kumchamba Karia na TFF, guess what, Bavicha walipata mic moja tu woote walikuwa kwa Alhaji Takadini Leo...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Barnabas Classic, " Diamond aliniuliza unataka sifa au unataka pesa?"

    Barnaba Classic aka Mopao aka Mtukazi ambaye kesho anaachia album yake yenye hadhi ya kimataifa album inayoandaliwa kwa ajili ya international market. Amesifu namna Diamond Platnumz alimpokea na kumuunga mkono kwenye kusimamia project nzima ya album yake ya Love Sounds Different. Maneno...
  12. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

    Natoa pongezi kwa msanii namba moja Afrika kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana Tanzania na duniani kwa ujumla. Watu tutaacha kupanda emirates na klm tutaanza kupanda ndege za kijana wa...
  13. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio tajiri wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari

    Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari. Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila tajiri huyu mdogo sana kiumri mzaliwa wa Tandale anamiliki helicopter ya kifahari. Helicopter hii...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Diamond platinum acha kuwatumia wakina Mwijaku/Wasafi media kumtukana Rayvanny

    Nimeona interviews kadhaa za YouTube za kina Mwijaku na vipindi kadhaa vya Wasafi tv.. Mara Sijui S2kkizzy kafuta nyimbo ya Tetema ya Rayvanny youtube eti hajalipwa haki zake kutengeneza nyimbo. Ukisikiliza kwa makini utaona kabisa Diamond anawatumia hawa watu kumchafua Rayvanny. Mwijaku kila...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Diamond amelipwa Tsh. Milioni 233.3 kumfanyia kampeni Raila

    Weekend iliyopita ilikuwa siku nzuri kwa Diamond Platnumz wakati mgombea Urais Raila Odinga aliposimama mbele ya Wakenya na kuwaomba kumpigia kura kama Rais ajaye kabla ya Uchaguzi Mkuu unaofanyika kesho August 9. Diamond, pamoja na mpenzi wake wa zamani Zari Hassan, walikuwa bize kupanga...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Eric Omondi akerwa na Diamond Platinumz kufanya show ya Kampeni Kenya

    Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya ameonesha kukerwa na kitendo cha Mgombea Urais kupitia Azimio nchini Kenya, Raila Odinga kumwalika Diamond Platinumz kufanya show kwenye kampeni zake leo. Diamond ameingia Kenya leo akitokea Afrika Kusini alikoenda kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake...
  17. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kutumbuiza mkutano wa Raila Odinga

    Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Kenya na anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano wa mwisho wa kampeni wa azimio la umoja wa Raila Odinga. Source:bbc swahili
  18. Wand

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

    Najiuliza hiv inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hivi anadhani mikataba inaweza kuvunjwa kirahisi tu na BASATA. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu. Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na BASATA...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Diamond kainuliwa na Mungu mwenyewe. Binadamu hawezi kumshusha

    Achana na mapungufu yake, haya tumeumbiwa wote chini ya jua.. Kwakuwa sisi wa mwili wa damu na nyama si wakamilifu.. Mungu huwainua wachache kati ya kwa kila taifa, ukoo hata familia.. Huwainua kwa vipawa na vipaji mbalimbali... Na wengine baada ya kujitenga na dunia hutunukiwa karama...
  20. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz adai kuwa ni sahihi kuchukua mapato ya wasanii wake kwa 60%

    Baada ya sakata linaloendelea mitandaoni kuwa lebo ya WCB inakandamiza wasanii, mkurugenzi wa lebo hiyo, Diamond Platnumz amesema, haoni tatizo kuchukua asilimia 60 ya mapato ya msanii wake. Amesema anafanya hivyo kwani mziki ni biashara inayohitaji uwekezaji mkubwa na mpaka msanii awe mkubwa...
Back
Top Bottom