diamond

  1. B

    JamiiForums Tanzania Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

    TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana. Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA? Haihitaji kumiliki basi kujua ndivyo sivyo za LATRA, au kuwa na gari au kituo cha mafuta kujua...
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

    Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul. Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini vitajitenga tu. Mkesha wa leo Diamond kafanya show ya kihistoria. Quality ya performance haijawai...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

    “Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine.” “Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza,” Diamond. Pia soma; TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz kwa TRA
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond aweka historia ya kuwa mtanzania wa kwanza kulipwa pesa nyingi kwenye usiku mmoja hapa Tanzania

    Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa. Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania. Kwa mkataba wa kufanya show ya saa nne juu ya stage pale Ramada. Diamond atalipwa Tshs Million 300. Hajawai tokea...
  5. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

    Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sallam SK aweka wazi taarifa za kutofautiana na Diamond Platnumz

    Mfanyabiashara na Meneja wa Masuala ya Sanaa nchini, Sallam SK Mendez, amefunguka kuhusu taarifa za mtandaoni zinazodai kuwa ameiacha Lebo ya Wasafi Record ya Diamond Platnumz (WCB) kujiunga lebo ya Harmonize KondeGang Records Worldwide. Kwa maneno yake, "hilo halitatokea kamwe". Kwa takriban...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Faini ya Tsh. Bilioni 1 dhidi ya Mgodi wa Williamson Diamond yazua mjadala kwa wadau wa Madini

    Inawezekana kabisa Baraza la Kitaifa la Usimamizi wa Mazingira (Nemc) lina sababu za msingi sana za kuipiga faini ya Tsh. Bilioni 1 (kama dola 434,782.6 kampuni ya Williamson Diamond Limited (WDL), lakini wanamazingira wameonesha wasiwasi kuhusu uamuzi huo. Clay Mwaifwani, mratibu wa mradi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

    Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mavokali akichanga karata zake vizuri atakuwa msanii 'A-list' wa Afrika, amebakiza baraka za Diamond tu atoboe

    Msanii chipukizi mwenye bahati ya mtende kuota Jangwani, wakuitwa Mavokali anapasua anga kama masihara. Wengi naamini hammjui Mavokali na hamjui balaa analofanya uko duniani. Basi niwaambie ngoma yake inaitwa Komando imekuwa maarufu sana nchi za wazungu. Hakuna ujanja wowote aliyofanya bali ni...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Diamond Anayejijua kimziki kashuka na kuhamisha juhudi zake aje kuwa mfanya biashara mkubwa bilionea

    Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea. Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni...
  11. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

    Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua. Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa...
  12. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

    Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha mara moja moja yaan hawawaelewi..... hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa...
  13. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Diamond na Mbosso washindana mauno, nani zaidi?

    Hapa kati ya hawa watoto nani anaweza kuyarudi? Waswahili wanasema kusasambua, kuyanengua, kuyamwaga mauno?
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Diamond atoa maji kwenye swimming pools zake zote

    Diamond platnumz ametoa maji ( drain) swimming pools zake zote wanapoishi wanae. Mind kadai sababu kubwa ya kufanya hivyo Ni kuongeza usalama kwa wanae. Amewaandikia barua watumishi wake wote wanaohudumia nyumba hizo.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mtanzania aanzisha shirika la ndege/ Diamond launches own airline

    Diamond launches own airline Video: courtesy of SimuliziNaSauti N.B Jambo la kufariji mtanzania kuanzisha shirika la ndege. Ni matumaini mamlaka husika zitaweka mazingira mazuri shirika hili liweze kufanya biashara, kutoa ajira na kulipa kodi . Pia wawekezaji wa kiTanzania wanaothubutu...
  16. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mahusiano muda mwingine Diamond yupo sahihi

    Ukiwa na hela, hapa naongelea utajiri na hukuwa na mwanamke kabla ni bora ukazalisha mwanamke kama alivyofanya Diamond na ukaendelea kuishi peke yako sababu utapendewa pesa na wanawake. Mwanamke akipata uhakika wa pesa kutoka kwako, atatafuta mwanaume moyo wake unayempenda, hapo ndiyo usaliti...
  17. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Watoto wa "Single mama" jifunzeni kwa Diamond Platinumz kuishi na baba zenu wa kambo

    Ndiyo, nawakumbusha tu. Kila siku utasikia Anko Shamte piga YOPE! Anko Shamte! Ankali wa Taifa! Yaani hadi unatamani kabisa kuoa single mama. Hii si kwa bahati mbaya, kijana anamkubali baba’ke wa kambo. Na hii ndiyo furaha na tulizo la mama’ke. Sasa kuna hawa wengine, kuna muda hata salamu tu...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Diamond Platnumz hakulipa fadhila kwa Bob Junior/Sharobaro Record (Wasafi)?

    Salaam wakuu Tuongee ukweli, Nasib analalamika eti wakina Konde Boy hawana fadhila kisa kujitoa kwenye lebo yake. Je, yeye alipojitoa kwa Bob Junior akaondoka na jina lake, alilipa nini? Nimemsikiliza sana Raheem Kibega. Ana hoja, Bob Junior(Raheem) mmiliki wa Sharobaro Records Wasafi, ilizaa...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

    Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa. Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz. Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Diamond na baba Levo kweli wametoka mbali si kwa mavazi haya

    🤣🤣🤣🤣🤣Sitii neno lolote hapa
Back
Top Bottom