Eric Omondi akerwa na Diamond Platinumz kufanya show ya Kampeni Kenya

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,103
Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya ameonesha kukerwa na kitendo cha Mgombea Urais kupitia Azimio nchini Kenya, Raila Odinga kumwalika Diamond Platinumz kufanya show kwenye kampeni zake leo.

Diamond ameingia Kenya leo akitokea Afrika Kusini alikoenda kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake "Latifa" a.k.a Tiffa na mara baada ya kutua Kenya kwa private jet, alienda kufanya show kwenye kampeni za Raila Odinga kitendo ambacho kimeonesha kumkwaza mchekeshaji Eric Omondi.

Omondi amewatupia lawama wasanii wa Kenya kwa kushindwa kufanya kazi nzuri kiasi cha kupitwa na wasanii wa nchi nyingine pia amelalamikia utaratibu wa mamlaka za nchi hiyo kushindwa kutetea wasanii wa ndani ambapo ambapo ameahidi kwenda Bunge baada ya serikali mpya kuingia madarakani na kulitaka Bunge kuweka sheria ya kulazimisha matumizi ya 75% ya kazi za wasanii wa Kenya na 25% ndio iwe ya kazi za wasanii wa nje.
1659805516185.png
 
View attachment 2316383
Kenya wana wivu kias kwamba tunaweza sema ni roho mbaya, kipindi wao wakifanya vzr mbona walikuw wakija bongo etc au mfano wa nijer mbona wanakuja sana bongo na ni fresh tuuu. Waache wivu hakuna kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kampeni za uchaguzi wangekuwa
Wanafanya wasanii wa Kenya ungefurahi?
 
Wakenya ni wabaguzi tu kwa asilia.Hapa Tanzania wamejaa kibao,wanafnya kazi hata pasipo working permit sisi wala hatuna shida nao.Diomond amekwenda Kenya kwa kufuata sheria zote za uhamiaji lakini wanamlalamikia.Mimi nafikiri Watanzania tuwe makini sana na huu umoja wa Africa Mashariki!
 
kampeni za uchaguzi wangekuwa
Wanafanya wasanii wa Kenya ungefurahi?
Nadhani ni wivu mkuu maana wanamuziki wa Kenya ngoma zao zikipigwa tu kwenye kampeni wanadai fidia....alafu pia wanamziki wengi wa Kenya hasa wale wenye ushawishi wana mirengo yao ya kisiasa.
Above all diamond is an icon.
 
kampeni za uchaguzi wangekuwa
Wanafanya wasanii wa Kenya ungefurahi?
Je hao wasanii wanaushawishi Raila odinga kaangalia ushawishi wa mtu bila kuangalia yupo ndani au nje ya nchi na kizuri diamond anatoka umoja wa East Africa community sioni sababu ya hao wasanii wa kenya kupinga Cha umuhimu waongeze juhudi kwenye kazi zao
 
English ngumu sana kwa wabongo daah mleta mada punguza ujuaji.

Anyway omond ana haki ya kulalamika ukiangalia humu JF na penginepo wakenya wanajisifia mbo kwa kufahamu english ila wameshindwa kuitumia hio english kujiinua kimuziki na kupiga collabo na mastaa wakubwa mpaka wanapitwa na mtanzania wakati english kwetu ni maji na mafuta.

Hata akienda bungeni haitasaidia maana wasanii wao wamekosa ubunifu,hawana mbwembwe na swagga za kueleweka
 
Ila

hapo kwenye English kuna wabongo wanakichapa nahis hata wewe
 
Wengine wapo vizuri mimi siingii hata top laki mkuu. Hizi za mitandaon ni mbwembwe tu za keyboards. Na wenye English yao huwakuti bongo fleva au movies

Back
Top Bottom