diamond

  1. S

    JamiiForums Tanzania Cheki machawa wa Diamond walivyo"mnyali" Harmonize siku ya kwanza alipofika WCB.

    Machawa siyo watu jamani. Hapa Diamond angetia neno tu Harmonize angerudi Mtwara kubangua korosho.
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Alikiba amrushia kijembe Diamond Platinumz

    Baada ya wimbo alioshirikiana na Nandy kushika namba moja Tanzania na kuendelea kumuacha nyuma Diamond kwenye baadhi ya nchi, Alikiba amerusha maneno yanayotafsirika kuwa ni kijembe kwa Diamond Platinumz. Kupitia Instagram Alikiba ame-share wimbo wao unavyotrenda kwenye baadhi ya nchi na...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nandy ampiku Diamond Platinumz, amtoa namba moja

    Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend mjini Youtube. Wimbo unaoitwa "Dah!" Wa msanii Nandy akishirikiana na Alikiba ndio unaoshikilia...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Master Jay: Diamond hamfikii Alikiba kwenye uimbaji

    Producer wa muziki wa Bongofleva Master Jay, amesema kuwa Diamond hawezi kumfikia Alikiba kwenye uimbaji wa muziki. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora. Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Diamond awataka Wapinzani wake kwenye Muziki waongeze Juhudi

    Msanii anaetamba na kibao cha "Mapozi" alicho washirikisha Jay Melody na Mr Blue msanii Diamond Platinumz, amewataka wapinzani wake waongeze juhudi maana hawamsumbui kabisa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ameandika, "Dah Wapinzani wangu embu jitahidini basi jamani, maana namna hii...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Shemeji wa Diamond platnumz afanya operesheni ya kuongeza Lips

    Aliewahi kuwa Mke wa Kaka wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Malaika, ameongeza ukubwa wa Lips zake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Malaika amepost video inayomuonyesha akiwa na Lips nene jambo linalodhihirisha kuwa ametoka kufanyiwa Surgery ya Lips. ANGALIA HAPA MUONEKANO WAKE MPYA...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Kumbe Diamond hulipia video zake ili zitazamwe zaidi!

    Nikabofya wimbo wa Roma, kabla haujaja ukaja wa Diamond kama content iliyolipiwa ili niitazame.. Zamani nikajua haya malipo ya youtube na kadhalika ni sehemu ya chanzo cha mapato kwa wasanii kumbe ndio kwanza na wao wanalipia ili viewers waongezeke. Au ni mchezo wa kutoana trending! Itoke...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: 2025 tunaenda nawewe Rais Samia

    Msanii Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platinumz, amemtakia heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa Rais Samia Suluhu, na pia amemuahidi kuwa 2025 yeye na wanaom-support watampigia kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais. Ameandika Diamond Platnumz kwenye ukurasa wake wa Instagram, "Kupata Rais ni...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Diamond arudisha shukurani kwa Mr Blue

    Baada ya kuachia wimbo wa "Mapozi" akishirikiana na Byser pamoja Jay Melody, staa wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul amerudisha maneno ya shukurani kwa Msanii Mr Blue "Byser". Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond Platnumz ameandika, "BIZZY BABYLON!!! ICON !👑 Rolemode wa Vijana wengi...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Diamond na Harmonize kutoa nyimbo zao siku moja

    Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it" Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue. Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuiona collabo ya Diamond Platinumz na Mr Blue?

    Baada ya kufanya kolabo yao ya kwanza miaka zaidi ya 10 iliyopita. Je unatamani kuwaona tena kwenye wimbo mmoja?? Ogopaaa!!! 😂😂🔥
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Asake ashangazwa na Diamond

    Msanii kutoka Nigeria asake, alifunguka hivi karibuni kuhusu kitendo cha msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz kuiga staili yake ya mtindo wa nywele pamoja na staili yake ya kuimba Baadhi ya nyimbo. Msanii huyo amedai kushangazwa sana na kitendo hicho cha msanii Diamond Platnumz, Mpe neno...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Diamond: Manara ana mchango mkubwa kwenye mpira, tukiendekeza chuki za mtu mmoja mmoja ni kudidimiza mpira. Aiomba Serikali imfungulie

    Msanii wa mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz akiwa kwenye birthday party ya Manara jana usiku, alitumia sehemu kubwa ya salam zake kuongelea sakata la Manara kufungiwa na TFF kujishirikisha na mpira wa miguu Tanzania. Diamond amesema ni chuki na kuiomba Serikali ifanye jambo. Diamond...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Diamond ampa Millioni 15 Haji Manara kwenye Engagement yake

    Msanii Diamond platnumz amemzawadia Haji Manara kitita cha Million 15 kwenye usiku wa Engagement party yake iliyofanyika siku ya jana. ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from WasafiTv
  15. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz tumeshampoteza, hii ni "Point of No Return"

    If you know you know.
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mwijaku afunguka: Pesa ya kujenga ghorofa nimeitoa kwa Diamond Platnumz

    Ukweli unatuweka huru. Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake. Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz. Hongera mwijaku kwa kuwa muungwana. Pia sifa ziende kwa diamond kwa kuendelea kubadilisha maisha ya watu. Mungu ataendelea...
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto ikiwemo couple ya Zuchu

    Hizi ni miongoni mwa couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto . 1A)Diamond Platnumz na Penniel Mungilwa(Penny): Hii ndio couple mbaya zaidi ya Diamond Platnumz iliyochukiwa na wengi. Sababu kuu ya kuchukiwa kwa hii couple ilikuja baada ya Diamond Platnumz kumpiga chini Wema Sepetu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Diamond alikuwa na haki kukasirika kuibiwa kofia

    Mzuka wanajamvi. Lile tukio la msanii maarufu nchini na bara la Africa Diamond la kuibiwa kofia halikuandaliwa staged. Kwa utafiti wangu ni kweli Diamond ile kofia aliporwa. Na hiki kitendo kilimkasirisha sana Diamond siyo kwasababu kofia ni ghali bali kufanyiwa matambiko na kurogwa kupitia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Diamond acha kuteka nyimbo za uliowasaini

    Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo. Kafanya hivyo kwa Hamonize kwenye nyimbo ya lakini bado na kwa ngwaru. Kafanya hivyo kwenye wimbo wa enjoy nk...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Aliyepora Kofia aliandaliwa na Diamond Mwenyewe

    Diamond anajua kujitengenezea Matukio ili kuzidi ku trend. Hata tukio la kuporwa kofia juzi ni la kutengeneza. Ukiangalia uchukuaji wa video utagundua ni movie tu, yaani pale alikosekana tu yule anayesema " Action!!!". Na hata baada ya Diamond kuingia ndani ya gari nakuanza kuchukuliwa video...
Back
Top Bottom