Diamond acha kuteka nyimbo za uliowasaini

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,342
4,801
Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo.

Kafanya hivyo kwa Hamonize kwenye nyimbo ya lakini bado na kwa ngwaru.

Kafanya hivyo kwenye wimbo wa enjoy nk. Akiona wimbo hautatoboa ndipo anamuachia msanii aimbe mwenyewe.

Ndio maana Hamonize aliona huu ni ujinga mkubwa.
 
Washauri wasainiwa watoke kwenye label ili kukwepa hiyo dhuluma.
 
Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo.

Kafanya hivyo kwa Hamonize kwenye nyimbo ya lakini bado na kwa ngwaru.

Kafanya hivyo kwenye wimbo wa enjoy nk. Akiona wimbo hautatoboa ndipo anamuachia msanii aimbe mwenyewe.

Ndio maana Hamonize aliona huu ni ujinga mkubwa.
Kwani Jux amesainiwa Wasafi
 
Mtoa mada punguza chuki na mihemko na pia uwe unafanya utafiti kabla ya kuanza kupandisha mashetani.

Kuhusu collabo na wasanii wake; hao wasanii wote unaona hapo WCB wamekaa zaidi ya mwaka hadi kuja kutambulishwa, aliyekaa muda mfupi ni Dvoice miezi 9. Swali la kujiuliza kabla ya kutambulishwa unajua hao wasanii walikuwa wakifanya nn hapo WCB?

Hadi unawaona wasanii wa WCB wana uwezo wa kutengeneza hits hilo ni darasa kipindi wapo ndichi wakifunzwa mambo mengi khsu sanaa eg branding, uandishi, mawasiliano etc. Hadi ngoma inatoka WCB basi imepitishwa na bosi wao na kuidhinishwa.

Khsu Enjoy, kitu ambacho waTz wengi hatukifahamu ni kuwa Diamond ndio msanii pekee ambaye ndiye International artist nje zaidi ya mipaka ya Africa mashariki hakuna kiumbe yyte yule anamfikia Diamond sio kwa ushawishi au umaarufu.

Kwa hiyo kuna mawili msanii unataka sifa au unataka pesa, km unataka sifa wafate wasanii wengine mbali na wa WCB ila km unataka pesa wafate WCB na ndio Jux alichochagua. Unadhani bila uwepo wa Mond kwenye Enjoy, Jux angepanda BK Arena? Unadhani bila uwepo wa Diamond kwenye tetema ngoma ingekuwa kubwa kiasi kile?

Kufanya kazi na Diamond kuna kufungulia milango zaidi na kukuingizia pesa zaidi kwenye digital platforms, mfano Komando, Enjoy, Kwangaru, Tetema, Baikoko zimewaingizia pesa nyingi hao wasanii na umaarufu mkubwa ktk historia za muziki wao.

Huyo Harmonize unayesema aliona ujinga, ni kipi amefanya kikubwa ambacho Zuchu hajafanya huku akiwa na muda mchache kwenye game? Harmonize ana album 5 ndani ya miaka 5 na hakuna album yyte ile inayoifikia kwa mauzo FOA EP katika platforms zote.
 
Mkuu wasikupuuze una kitu ila mtu asike kwa jicho la u team mziki ni hisia ndio maana watamsifia sana konde na kweli anangoma nzuri ila kwenye umaarufu na ushawishi bado hajaweza fika level za mond lakini anapiga ngoma kali tatizo namna ya kujiweka kisanii hilo darasa sasa hana labda apate watu wenye maono ya mbali kama menejimenti yake ya zamani
 
Hupo sawa mkuu, ila tukija kwa upande wa kudai kuwa ngoma za Harmonize ni kali zaidi kwangu mm ni hapana, kwann?

Hizi ngoma kujiliza liza mara sijui mapenzi yanakutesa, sijui umelelewa na single mother 90% ya wasanii wanaweza kuziandika na ndio maana kibongo bongo 95% upcoming wa bongo fleva anatoka na nyimbo za kujiliza either khsu mapnz au maisha eg lady music moyo.

Na ndio maana Jaymelody habanduki humo kwa vile anajua soko lake ndio wanataka hivyo.

Ila khsu Diamond, Diamond ni versatile zaidi kuliko mwanamuziki yyte yule bongo na kwa kiwango cha juu zaidi na ndio maana mambo kuumizwa na mapnz alisha acha since anasikilizwa zaidi nje ya mipaka ya Tz na ndiko kwenye pesa huko na ndio maana unamuona kwenye matukio makubwa ya kimuziki iwe show au tuzo yupo.

Ali kiba hadi leo kashindwa kuwa versatile kabaki km alivyokuwa awali, Marioo numbers zake zinapungua tangia aanze kubadilika tofauti na numbers zake pindi anaimba sana mapnz.

Tukisema uandishi km uandishi harmo hamfikii Mbosso miaka buku ila all in all na ndio maana wcb wanadai lazima msanii ujue kuandika ndio sifa moja wapo ya wao kuchukue
 
Mkuu sijasema konde ananyimbo kali zaidi ya mond ila kwakua sina timu nabaki kuskiliza mziki mzuri unaokonga masikio na hisia zangu mondi mwenyewe kuna nyimbo katoa japo watu wanazikubali ila maskioni kwangu hazijagusa chochote hivyo bado nasimama na yeyote anaegonga mgoma nikaielewa kwenye chati za kidunia wanaangalia mambo mengi mfano kama uandishi na mambo mengine ila kwa shabiki anachohitaji ni ngoma itakayotuliza mawazo yake na kumpa vibe
 
Nimekuelewa mkuu sana tu
 
Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo.

Kafanya hivyo kwa Hamonize kwenye nyimbo ya lakini bado na kwa ngwaru.

Kafanya hivyo kwenye wimbo wa enjoy nk. Akiona wimbo hautatoboa ndipo anamuachia msanii aimbe mwenyewe.

Ndio maana Hamonize aliona huu ni ujinga mkubwa.
Mimi nadhani ungekuja na mada khsu tuzo za mchongo za Harmonize na kwann hadi miaka hii anapiga shows za kufungua maduka ya nguo au bar wakati watoto wa juzi kina Ayra hawafanyi hayo mambo
 
Mtoa mada punguza chuki na mihemko na pia uwe unafanya utafiti kabla ya kuanza kupandisha mashetani.

Kuhusu collabo na wasanii wake; hao wasanii wote unaona hapo WCB wamekaa zaidi ya mwaka hadi kuja kutambulishwa, aliyekaa muda mfupi ni Dvoice miezi 9. Swali la kujiuliza kabla ya kutambulishwa unajua hao wasanii walikuwa wakifanya nn hapo WCB?

Hadi unawaona wasanii wa WCB wana uwezo wa kutengeneza hits hilo ni darasa kipindi wapo ndichi wakifunzwa mambo mengi khsu sanaa eg branding, uandishi, mawasiliano etc. Hadi ngoma inatoka WCB basi imepitishwa na bosi wao na kuidhinishwa.

Khsu Enjoy, kitu ambacho waTz wengi hatukifahamu ni kuwa Diamond ndio msanii pekee ambaye ndiye International artist nje zaidi ya mipaka ya Africa mashariki hakuna kiumbe yyte yule anamfikia Diamond sio kwa ushawishi au umaarufu.

Kwa hiyo kuna mawili msanii unataka sifa au unataka pesa, km unataka sifa wafate wasanii wengine mbali na wa WCB ila km unataka pesa wafate WCB na ndio Jux alichochagua. Unadhani bila uwepo wa Mond kwenye Enjoy, Jux angepanda BK Arena? Unadhani bila uwepo wa Diamond kwenye tetema ngoma ingekuwa kubwa kiasi kile?

Kufanya kazi na Diamond kuna kufungulia milango zaidi na kukuingizia pesa zaidi kwenye digital platforms, mfano Komando, Enjoy, Kwangaru, Tetema, Baikoko zimewaingizia pesa nyingi hao wasanii na umaarufu mkubwa ktk historia za muziki wao.

Huyo Harmonize unayesema aliona ujinga, ni kipi amefanya kikubwa ambacho Zuchu hajafanya huku akiwa na muda mchache kwenye game? Harmonize ana album 5 ndani ya miaka 5 na hakuna album yyte ile inayoifikia kwa mauzo FOA EP katika platforms zote.
All in all Harmonize baada ya kujitoa ndipo amepanda zaidi hata kama hamfikii Diamond, na angeendelea kukaa pale angekuwa anamfanyia kazi Diamond tu ambaye kila kizuri anataka awe ni yeye. Huwezi kumlinganisha Harmonize na wooote waliopo chini ya lebo ya WCB.

Na ndio maana hata wale walio nje ya lebo yake wanapotoa ngoma za maana yeye anatoa hela kuhakikisha hazi trend kwenye Media. Mtu wa hivi ni hatari sana katika ukuaji wa wasanii wengine

Respect Harmonize uliona mbali na upo huru.

Namkubali Diamond sana lakini siukubali UKOLONI WAKE kwa anaowasaini
 
Ndugu una shida mahali duhh, kwa hiyo Diamond ametoa pesa kwenye chombo gani cha radio hili huo wimbo usitrend clouds au efm 😂 😂 😂 em toa ushahidi wa unachokisema, twende kwa facts .

Na harmonize tangia ametoka WCB niambie amepanda kvp yaani nipe facts zako na sio ngenga na ngonjera, niambie amepanda kvp?
 
All in all Harmonize baada ya kujitoa ndipo amepanda zaidi hata kama hamfikii Diamond, na angeendelea kukaa pale angekuwa anamfanyia kazi Diamond tu ambaye kila kizuri anataka awe ni yeye. Huwezi kumlinganisha Harmonize na wooote waliopo chini ya lebo ya WCB.

Na ndio maana hata wale walio nje ya lebo yake wanapotoa ngoma za maana yeye anatoa hela kuhakikisha hazi trend kwenye Media. Mtu wa hivi ni hatari sana katika ukuaji wa wasanii wengine

Respect Harmonize uliona mbali na upo huru.

Namkubali Diamond sana lakini siukubali UKOLONI WAKE kwa anaowasaini
Zuchu with less than 5yrs kwenye game ana 3M+ youtube subscriptions, total views 500M+ youtube, 5M+ IG followers, ana tuzo nyingi kuliko harmonize kwenye muziki ana TMA 6, maana harmo hafikishi jumla ya tuzo 6 kwenye career yake, Zuchu kapanda majukwaa makubwa BK arena, mtv base, soundcity kapiga shows nyingi tu nje ya nchi.

Meanwhile Harmonize ana 9M+ followers, 1B total youtube views, 4M subscriptions, tuzo hafikishi ata 10 in total, miaka 9 kwenye game ila bado anapiga shows bar na kufungua maduka ya nguo. Em sema ww nikipi hicho amefanya kikubwa tangia ametoka WCB na kuacha hekaya za abunuasi
 
Hupo sawa mkuu, ila tukija kwa upande wa kudai kuwa ngoma za Harmonize ni kali zaidi kwangu mm ni hapana, kwann?

Hizi ngoma kujiliza liza mara sijui mapenzi yanakutesa, sijui umelelewa na single mother 90% ya wasanii wanaweza kuziandika na ndio maana kibongo bongo 95% upcoming wa bongo fleva anatoka na nyimbo za kujiliza either khsu mapnz au maisha eg lady music moyo.

Na ndio maana Jaymelody habanduki humo kwa vile anajua soko lake ndio wanataka hivyo.

Ila khsu Diamond, Diamond ni versatile zaidi kuliko mwanamuziki yyte yule bongo na kwa kiwango cha juu zaidi na ndio maana mambo kuumizwa na mapnz alisha acha since anasikilizwa zaidi nje ya mipaka ya Tz na ndiko kwenye pesa huko na ndio maana unamuona kwenye matukio makubwa ya kimuziki iwe show au tuzo yupo.

Ali kiba hadi leo kashindwa kuwa versatile kabaki km alivyokuwa awali, Marioo numbers zake zinapungua tangia aanze kubadilika tofauti na numbers zake pindi anaimba sana mapnz.

Tukisema uandishi km uandishi harmo hamfikii Mbosso miaka buku ila all in all na ndio maana wcb wanadai lazima msanii ujue kuandika ndio sifa moja wapo ya wao kuchukue
Umeandika vizuri Sana Ila hapo kwenye "uandishi" ndipo ntaenda tofauti nawewe ulivosema kua "Harmonize hamfikii Mbosso miaka buku"...
Sijui unaposema uandishi unazingatia kitu gani Ila kwangu kwa upande wa wabana pua ukimtoa Mond na Alikiba hakuna msanii hata mmoja anayeweza kumgusa konde boy he is lyrical and gifted ni hatari sana.
Naomba tuanzishe mjadala hapa
 
All in all Harmonize baada ya kujitoa ndipo amepanda zaidi hata kama hamfikii Diamond, na angeendelea kukaa pale angekuwa anamfanyia kazi Diamond tu ambaye kila kizuri anataka awe ni yeye. Huwezi kumlinganisha Harmonize na wooote waliopo chini ya lebo ya WCB.

Na ndio maana hata wale walio nje ya lebo yake wanapotoa ngoma za maana yeye anatoa hela kuhakikisha hazi trend kwenye Media. Mtu wa hivi ni hatari sana katika ukuaji wa wasanii wengine

Respect Harmonize uliona mbali na upo huru.

Namkubali Diamond sana lakini siukubali UKOLONI WAKE kwa anaowasaini
Unaweza kufafanua Harmonize alivopanda tangu atoke WCB?
 
Sasa kama WCB wakoloni,hizo Label nyingine zipoje.

Msanii anatoka WCB tayari anabrand, brand tu ni hela tosha na anaweza kuilipa hela ya uwekezaji yy mwenyewe.

Hebu niambie hao wasanii waliotoka label nyingine wa nini sasa hivi.

Kaka hamna kitu kigumu kama kuwekeza hela kwa mtu husiye mjua na ndio maana label nyingi kibongo bongo zipo zipo tu,maboss hawaweki hata shilingi kumi.

Konde yule Label anaitumia tu kuonekana nae ana label ila hana time ya kuwekeza hata Senti kwa Ibra,ndio maana kila siku anasikika yy Ibrah hajulikani yupo wapi kwa kifupi jamaa ni mbinafsi.

Kiba wale madogo ndio wanao muandikia nyimbo siku hizi,Utu ile imeandika na Vanilla,pamoja na ukubwa wa ile nyimbo hajalipwa hata shilingi kumi. Alichofanya Kiba kumsainisha kwenye label,ila ile nyimba angeiimba mwenyewe sasa hivi anagekuwa na hela ndefu, kwani yupo kwenye label ambayo haijawekeza chochote kwake, Tony nae kazi yake kama Vanila kumwandikia nyimbo Kiba,kwani nae kisha waandikia wasanii wakubwa mmojawapo Nandy.K2ga yupo King mwaka wa tano,ana nini leo label ikimtema hushaiuliza atakuwa na hali gani,hapo sasa ndipo uone ugumu na moyo wa kuwekeza hela kwa mtu husiye mjua.

Ukitizama ndipo utajua Mondi anamoyo wa kusaidia,hamna kitu kigumu kuwekeza hela kwa mtu husiye mjua,hao ndugu zetu wa ukoo watu wanaogopa kuwasaidia.

Wale madogo wameondoka Konde wamechoka hata hits songs hawana,brand hawana wanashindwa hata kuitwa kwenye show za vipaimara. Wanagalie wasanii wanaovunja mkataba na WCB,wanatoka na brand zao ambazo zimejengwa na WCB ma hela za kusurvive wanazo.

Bongo hamna msanii mwenye upendo anaye mzidi Diamond hayupo,kuwekeza kwa mtu husiye mjua ni watu wachache mno wenye mioyo hiyo.
 
Mond ana daraja lake jamani..

Kumjadili kwa kumlinganisha na kina Ally na Harmo ni kukosa adabu ..

Unamjua Mond lakini?

Unajua alikotoka?

Unajua haso alizofanya bila kushikwa mkono?

Unajua amesaidia wangapi japo yeye hakushikwa mkono?

Em tumwache huyu mtu mazee.
 
Umeandika vizuri Sana Ila hapo kwenye "uandishi" ndipo ntaenda tofauti nawewe ulivosema kua "Harmonize hamfikii Mbosso miaka buku"...
Sijui unaposema uandishi unazingatia kitu gani Ila kwangu kwa upande wa wabana pua ukimtoa Mond na Alikiba hakuna msanii hata mmoja anayeweza kumgusa konde boy he is lyrical and gifted ni hatari sana.
Naomba tuanzishe mjadala
Uandishi wa harmonize wapo wengi wanaweza kuandika hizo lyrical songs zaidi wapo wengi tu kina Jaymelody, zuchu, ibranation, Mond, Kiba, Barnaba, Jide, Marioo na wengine wengi tu ila uandishi wa Mbosso hakuna msanii yyte anayeweza andika km mbosso mfano tu sikiliza amapiano za mbosso, sitaki, shetani, sele alaf kasikilize single again ambayo lyrics zimekuwa copied kutoka kwa lucky dube it's not easy, teacher ambayo kaimba majungu kwa watu, boss kutoka kwenye album yake, na nyingine nyingi alaf niambie ni ngoma zp zipo lyrical zaidi.

Amapiano za wasanii wengi zinabebwa na bt ila amapiano za Mbosso unasikiliza zaidi lyrics kuliko kuwa hyped na bt.

Na hapo bado kwa muziki ambao ndio pure bongo fleva na ndio maana alibeba tuzo ya msanii bora wa bongo fleva
 
Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo.

Kafanya hivyo kwa Hamonize kwenye nyimbo ya lakini bado na kwa ngwaru.

Kafanya hivyo kwenye wimbo wa enjoy nk. Akiona wimbo hautatoboa ndipo anamuachia msanii aimbe mwenyewe.

Ndio maana Hamonize aliona huu ni ujinga mkubwa.
Pumba.
 
Back
Top Bottom