diamond

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Lyrics za Wimbo wa "Utanipenda" wa Diamond Platnumz

    Tanta lala la Ooh la la la la la Mmh Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree Umeneja umebaki jina Hanitaki hata Tale Oooh wale shabiki zangu Walionisifu kwa maneno matamu Leo maadui zangu Ni mitusi tu kwa instagram...
  2. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Wakati tunamtukana Diamond tuwakumbushe na wengine kwamba wamelala

    Kitu Kimoja Ambacho Mashabiki Wa Muziki Mnapaswa Kujua Ni Kwamba Diamond Ni Msanii Mkubwa Afrika Na Anaweza Kufanya Show Nchi Yoyote Ndani Ya Afrika Na Watu Wakajaa, Lakini Inapokuja Kwenye Soko La Ulaya Bado Hana Nguvu Tofauti Na Wenzetu Nigeria. Wenzetu Walishatangulia Kiuwekezaji Na...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Tajiri "Bilionea' Diamond kakubali kuwa hata Yeye 'sometimes' huwa anachapiwa / anabanduliwa Mademu zake, Wewe ni nani ukatae kuwa husalitiwi?

    Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa...
  4. bahati93

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo sijapenda kutoka picha mpya za Zuchu

    Zuhura sijapenda kabisa. Kwa nini unaruhusu wakuuedit ili kufanya ngozi yako ionekane ni nyeupe Wakati sio kweli, Ivi kwani na wewe unaamini uzuri wa mwanamke upo kwenye rangi ya ngozi yake? Kinini wamekufanya hao Wazungu mpaka ushindwe kujiamini kwa kiasi kikubwa hivi? Licha ya mafanikio...
  5. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Alikiba ni msanii mnyenyekevu kuliko Diamond

    Maneno ya Alikiba "Hutawai niona nikipost pesa, magari makubwa ama vitu expensive namiliki, sio kwa sababu siwezi, ni kwa sababu nayajua haya maisha vyema, kuna watu wanateseka na wanatamani izo pesa na hayo maisha unayoposti. Haina haja nipee mashabiki wangu pressure na hao ndio wamefanya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Jason Derulo akubali kufanya kazi na diamond baada ya kupost kupitia insta story yake

    Komasava ya diamond inazidi kumpa mashavu zaidi baada tu ya chriss brown kuucheza wimbo wake na kuwa gumzo duniani kutokana na ukubwa wa breezy. Jason derulo amekubali kufanya wimbo na diamond kwenye kipindi hiki ambacho ngoma yake ya kovasava ikishika chart kila kona. Ukiachana na Derulo...
  7. kp kipanya44

    JamiiForums Tanzania Kituo cha televisheni cha Wasafi, hakina usikivu wenye kueleweka

    Naam wakuu,nimejiuliza hili swali baada kufuatilia mwenendo wa ufanyaji kazi wa kituo Cha televisheni kinachomilikiwa na msanii diamond,hasa nikilinganisha na kiwango Cha usikivu wa kituo hicho kwa miezi iliyopita Kwa upande wa redio, yaani wasafi FM huko sijafuatilia, kama msanii mkubwa kama...
  8. bahati93

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya dhati ya Mama Dangote kwa Diamond ndio chanzo kikuu cha mafanikio ya mwanaye

    Miaka zaidi ya kumi Watanzania bado hawajategua kitendawili, Diamondi atashuka lini kwenye huu music wa Bongo Fleva. Wengi wamebakia kubashiri nini kipo nyuma ya mafanikio makubwa aliyopata, na anayoendelea kuyapata bwana Nasib. Wapo wanaosema ni Freemason, ni mganga wa Morogoro, ni Majini...
  9. Broadcast

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amwambie Mwijaku too much is harmful

    Jana kwenye uzinduzi wa 7 Media ya Baba Levo niliona kumbe Mwijaku hana shida na Diamond wako poa kabisaa. Pointi yangu natamani sana Diamond amwambie mwijaku hata kama anamkubalia amtukane ili apate content za kumpa pesa lakn hasizidishe matusi na dhihaka anazomfanyiaga Diamond. Maana kuna...
  10. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mjadala East Africa Radio: Diamond ni mkubwa YouTube kuliko Jay Z

    Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube. Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikimuangalia Diamond naiona Sura ya Umiliki wake wa Wasafi Media, ila kila nikimuangalia Ali Kiba siioni Sura ya Umiliki wa Crown Media?

    Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza...
  12. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mary Moraa bingwa wa Dunia, atwaa tena taji la Diamond League

    Mary Moraa ambaye ni bingwa wa dunia na Jumuiya ya Madola mbio za mita 800, ametwaa taji la riadha za Diamond League duru ya Doha nchini Qatar. Bingwa huyo wa Kenya ambaye ni afisa wa polisi, katika mbio za mita 400 na mita 800, aliweza kukamilisha mizunguko miwili kwa dakika moja na sekunde...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Unakuta Kuna mtu Anazaidi ya miaka 22 na hajawahi kumuona diamond live!?

    Ebu wabongo kuweni seriously kidogo na maisha jamani khaa🤣🤣🤣 Otikii otikiii hii imeenda
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz (Simba) anaweza kuziba pengo la Kanumba kwenye tasinia ya uigizaji?

    Wakuu tangu Kanumba atoweke tasnia uigizaji nchini imekua haifuatiliwi sana watanzania waliowengi. Hivi bwana Simba hawezi kuziba pengo la Kanumba kweli? Nyimbo nyingi za Simba zimekua zikianza kama movie fulani hivi. Angalia wimbo wake wa Zuena na wimbo wa Yatapita. Wakuu comment ziwe fupifupi
  15. The Eric

    JamiiForums Tanzania Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

    Hello jukwaa la celebs Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini Diamond platnumz vile vile walibahatika kupata mtoto....... Bi dada huyo ametrend kwenye social...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Diamond umemsifia Rais Samia kwa Mafanikio yaliyotoka kwa Magufuli

    Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo) kaishea Mitandaoni akidhani Mama atafurahi na Kumrejesha tena Ikulu anakokupenda kweli...
  17. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Msanii Diamond ashambuliwa kwa kusoma Biblia

    Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu. Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala Alioanzisha Diamond Plutinum Kuwa Rais Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania ni Mhimu ukatiliwa Maanani

    Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania. Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo; 1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania, 2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora...
  20. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania King Charles III owns the largest clear cut diamond it was stolen from south africa it worth of $400 million

    King Charles III owns the largest clear cut diamond in the world Known as 'The Great Star of Africa' the 530 carats gem was mined in South Africa back in 1905. It was stolen from South Africa. It has an estimated worth of $400 million. The British claim that it was given to them as a symbol...
Back
Top Bottom