Asake ashangazwa na Diamond

Magical power

JF-Expert Member
Sep 27, 2022
356
1,605
Msanii kutoka Nigeria asake, alifunguka hivi karibuni kuhusu kitendo cha msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz kuiga staili yake ya mtindo wa nywele pamoja na staili yake ya kuimba Baadhi ya nyimbo.

Msanii huyo amedai kushangazwa sana na kitendo hicho cha msanii Diamond Platnumz,

Mpe neno moja Asake
Magical power.
1705987252939.jpg
 
Sadala hata aonagi aibu kugelezea,Asake anajichosha ubongo wake buree kumshangaa mwambino

Mm nafuatilia sana music lakn huyo asake nimemfhm kupitia diamond japo kaz zake nilikuw nazisikia sikia
So kw bongo huend diamond ndiyo kamtambulish huyo qsake inabid ushukur piq. Diqmond ni ajirathimn kwa hilo
 
Back
Top Bottom