diamond platnumz

  1. covid 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubunifu wa performance kwenýe majukwaa ya show za wasafi festival 2023 ni utajiri wa mabilioni kwa wasanii Tanzania, Diamond platnumz aheshimiwe sana

    Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania. Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Diamond Platnumz aliyosema kanunua iko wapi?

    Mwezi Septemba mwaka jana CEO wa lebo ya WCB na mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz akiongea na DW Africa alithibitisha kununua ndege binafsi (private jet) kwa lengo la kile alichoita ni kuongeza thamani yake. Baada ya kauli hiyo, Diamond akasifiwa sana na kuelezwa kwamba angekuwa msanii...
  3. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Kesi ya diamond karanga, Wasafi na Kusaga ilivyofika mwisho mahakamani

    DIAMOND PLATNUMZ NA DIAMOND KARANGA ILIVYOGEUKA TALAKA YA CHOZI Na Luqman MALOTO INGEWEZEKANA, yaliyowezekana kwenye movie ya Superman mwaka 1978, yangewezeshwa katika ulimwengu halisi. Superman alipaa nje ya dunia, akailazimisha sayari kurudi kinyumenyume. Kwa sayari kurudi reverse, muda nao...
  4. Katkit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz na International songs

    Al Jumaa Mubarak wakuu... Mwezi uliopita msanii mkubwa zaidi Tanzania Diamond Platnumz aka Chibu Dangote alijinasibu kwamba ataanza kuporomosha mangoma ya hatari kwa kuzingatia soko la ndani na la nje (local & International) na katika kuhakikisha anafanya alichokiahidi, akatoa ngoma mbili kali...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania MB DOG: Diamond Platnumz amenidhulumu wimbo wa Mapenzi Kitu Gani

    "Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
  6. NALIA NGWENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amzawadia Diara milioni 10

    Hongela sana CEO diamond kwa kutimiza ahadi yako ya kutoa motisha kwa kipa wa Yanga Diara. Sijui ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania badilisheni wenyewe. --- Mkurugenzi wa Wasafi Media Naseeb Abdul Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango wa klabu ya Yanga...
  7. ChizzoDrama

    JamiiForums Tanzania Dalili za Diamond Platnumz kushuka kimuziki hizi hapa

    🚨🧵 Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia (VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani) Kama Ambavyo Msanii huwa Anachagua Aina ya wasanii wa kufanya nao COLLABO why not 👇 VENUE (mazingira...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz hashikiki kwa kutazamwa zaidi YouTube Afrika

    Nyota wa Bongo Flava kutoka Tanzania, #DiamondPlatnumz ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii wa Afrika ambaye kazi zake zinatiririshwa (Streamed) zaidi kupitia YouTube akiwa na 'Streams' zaidi ya Bilioni 2.14. Pia, 'Simba' anashikilia rekodi ya kuwa msanii mwenye wafuasi wengi zaidi...
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz sasa wanamuita Sheikh Mansoor

    Diamond Platnumz ambae ni msanii namba moja Africa. Hatimaye amepewa jina jipya kwa sasa anaitwa aka Sheikh Mansoor. Wakimfananisha na tajiri mmiliki wa Manchester City Ameuanza mwaka sasa yajayo yanafurahisha. Haya sasa vifaranga tokeni bandani mtembee na upepo wa mwenye nyota zake za...
  10. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Google, Diamond Platnumz ndio msanii anaefatiliwa zaidi Africa 2023

    Diamond Platnumz ndio habari kubwa mpaka sasa Africa. Ndio msanii pekee yeye na Davido wanaozungumzwa na kufatiliwa zaidi hapa Africa. Je Diamond Platnumz ni mkubwa kuliko Bongofleva? Inawezekana lisiwe swali ili.
  11. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Baada ya Diamond platnumz kuonekana moja ya club ambayo Chris Brown alikuwa akifanya Show

    Wabongo bhana..... Diamondplatnumz baada ya kuonekana kwenye moja ya club uko london akiwa anashuhudia show ya msanii nguli wa Rnb na pop/ Chris Brown, wabongo wamekuja na lao jambo kuwa tiyari Diamondplatnumz ashafanya wimbo na Chris Brown... kweli Tunaushabik wa kidenzi sana 😁😁😁 nimecheka...
  12. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Yafichuka mazito: Diamond Platnumz na Majizo bifu zao hazina mashiko

    Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu), japo alikuwa akitoka na Hamisa Mobetto before na kupata nae mtoto mmoja. Hamisa Mobetto ambaye ni mjasiriamali na msanii...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz alinilipa milioni 17 kuigiza kama Zuwena kwenye video yake

    Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.
  14. kwisha

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz anaweza kuziba pengo la Kanumba akiwa muigizaji pia

    Jana nilicheki ile video yake ya Zuwena, Diamond Platnumz anaweza kiukweli sio kuimba tu Diamond ni muigizaji mzuri tu tena mbunifu saana. Kama kuna watu ambao wako karibu naye wa mshauri afanye filamu ya huu wimbo wa Zuwena na amini anaweza pia kuamsha bongo movie na pia anaweza kupata pesa...
  15. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz hiki nini tena?

    - Longido moja hiyo.... - Halafu huyu mama nilijua atakufa... Badala yake mtoto ndio kachomwa knife... - Kikao cha mirathi kijijini Engikaret Longido... - Kuna wadau wanaponda eti haikutakiwa Tattoo zionekane... - Bodaboda wa Longido, wamepauka vumbi hadi kwenye kope... - Walevi...
  16. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Kumbe Diamond Platnumz ni mkali hivi?

    - Cheki anazinguliwa na boss mjapan Gotojo Naguteka - Cheki anakula msoto na ngalawa Bagamoyo - Cheki anahenya na rumbesa mitaa ya Buguruni malapa - Mvua ikinyesha Tandu wanatambaa hadi ukutani - Sio tandu tu,hadi vyura.. - Kaamua kuwa mwizi, liwalo na liwe - seti kali kuliko zote...
  17. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz akiri kuwa anapenda sana nyoka

    Bosi wa WCB Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz amejipatia mnyama aina ya nyoka wa kuweka nyumbani. Katika tangazo lake kwenye Instagram, mwanamuziki huyo alibainisha kuwa siku zote kumiliki nyoka kipenzi imekuwa ndoto yake. Staa huyo wa Bongo mwenye umri wa miaka 32 alimtambulisha...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Yatapita by Diamond Platnumz ngoma Kali Sana

    Mondi akiwa anaimba nyimbo za aina hii ya bongofleva anatisha sana.Nimependa Sana hii ngoma kuanzia uandishi mpaka melody yake ni Kali.Ujumbe wa hii ngoma unagusa watu wengi
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa Yanga, kamfata Haji Manara

    Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans. Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo Diamond alikuwa shabiki wa timu inayosuasua ya Simba SC. Timu ya Yanga ambayo ndio club kubwa na yenye...
  20. aka2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

Back
Top Bottom