Yafichuka mazito: Diamond Platnumz na Majizo bifu zao hazina mashiko

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu), japo alikuwa akitoka na Hamisa Mobetto before na kupata nae mtoto mmoja.

Hamisa Mobetto ambaye ni mjasiriamali na msanii pia kutokea bongo/nchini Tanzania/socialite pia mrembo huyu anapambana sana sio poa.

Bifu ya Diamond Platnumz na Majizo chanzo ni kutambiana kwa umaarafu, pia Hamisa ambaye ameshawahi kuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na amezaa naye mtoto.

Kwa sasa EFM haipigi kazi yoyote ya Diamond Platnumz, ndio maana hata event ya Marioo Diamond Platnumz hakuhudhuria japo alituma wawakilishi.

Iko hivyo, so mimi binafsi bifu hii hawezi peleka muziki mbele na Maboss wa media ndio chanzo cha kufelisha sanaa, kujikuta wao ndio wao while wameweka vyombo vya habari kwa ajili ya kusapoti na kuhabairisha jamii ila now imekuwa kinyume.

Ok, anyways, yangu ni hayo kwa leo. Uwe na siku njema.
 
Sasa hivi ni saa sita na dakika 55 , TV E kuna kipindi cha michezo kinaendelea .

Ikifika saa tisa kamili kitaisha baada ya hapo ni mziki kwenda mbele jitahidi ufuatilie mziki utakaopigwa mpaka saa kumi ikiwa hujaona wimbo wa Zuena au Yatakwisha za Diamond Platinumz basi rudi hapa nikuombe radhi .

Ila ukiona mmoja wapo nitakuomba uwaombe wanajukwaa msamaha kwa uongo wako na unafiki juu ya mambo ya watu.

Lakini umtafute moderator Active umuombe afute huu uchafu wako.
 
Acha kukurupuka na story za vijiweni TV E gani isiyoonesha nyimbo za Diamondi kila siku zinapigwa nakupa kazi wacha TV -E siku nzima angalia Kama hutoona hizo video za mind.

Hata hao clouds skuziizi wanapiga japo kwa siku Mara moja
 
Acha kukurupuka na story za vijiweni TV E gani isiyoonesha nyimbo za Diamondi kila siku zinapigwa nakupa kazi wacha TV -E siku nzima angalia Kama hutoona hizo video za mind
hata hao clouds skuziizi wanapiga japo kwa siku Mara moja
Uongo TV E haipingi
 
Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu)...
Mzee unaota , Acha kukurupuka TV E ipi haipigi nyimbo za diamond platnumz? Hizo story za miaka ya nyuma unaleta Leo? Uzi hauna mashiko , umekurupuka alafu hayo mazito n yapi
 
Wengi mnakurupuka kutoa maoni ila mkisoma vizuri umtaelewa kipi nimekilenga kwenye hii post kila mtu yuko na akili pamoja na maarifa so sema tunatofautiana na uelewa.

Story inaweza ikawa ya zamani lakini ikawa inaleta ujumbe ili kama kuna mtu atakuja kuwa na tabia kama hizi ache na asifanye hivo.
Someni vizuri sio mnakurupuka KUKOMENT upuuzi📌
 
Siku hizi wanapiga ila zamani walikuwa hawapigi. Ila sizani kama Hamisa ndio chanzo labda issues nyingine za kibiashara kwani Majizo na Mondi si malimbukeni wa wanawake.
 
Mzee unaota , Acha kukurupuka TV E ipi haipigi nyimbo za diamond platnumz? Hizo story za miaka ya nyuma unaleta Leo? Uzi hauna mashiko , umekurupuka alafu hayo mazito n yapi
We ndo unaota mkuu📌 serious unapenda trening story afu ndo maana tunabaki kushabikia mambo ya kiki kuliko mambo ya msingi
 
Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu)...
Jana TVE nimeiona Jeje inapigwa halafu wewe sijui unataka kutuambia nini
 
Back
Top Bottom