Fadhili Majiha anahitaji mapambano matano 🖐️ tu aweze kumtukana mpaka Diamond Platnumz

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,463
21,181
Baada ya bondia Fadhili Majiha kumtwanga The wonder boy Profesa Bongani Mahlangu na kufanikiwa kuchukuwa mkanda wenye heshima zaidi duniani ambao sio mwingine bali mkanda wa WBC (WBC AFRICA BANTAMWEIGHT ) na kumfanya kuwa bondia namba 7 duniani na namba 1 hapa Tanzania katika uzito wake wa bantam ,anahitaji mapambano machache sana kuhesabika kama milionea mpya hapa nchini.

Fadhili kwa sasa ana nyota nne na nusu rekodi ambayo hata mdigo (Hassan Mwakinyo) hakuifikia na makelele yake yote aliishia nyota nne na pambano lake la mwisho aliingiza zaidi ya milioni 280 kwa pambano moja.

Ni ukweli usiopingika hapa nchini ukizungumzia sura ya pesa (Face of Money) kwa watu wenye umri mdogo basi bila shaka lazima utamtaja Diamond Platnumz na kijana yoyote ili tukuorodheshe kwenye list ya watu wenye pesa lazima tukulinganishe na Diamond Platnumz.

Sasa kwa Fadhili kwa alipofikia kama menejiment yake itakuwa vizuri kumtafutia mapambano yenye tija angalau mawili tu kabla hajaanza kucheza yale mapambano na wale top boxers na kumfanya kufika nyota za juu zaidi (5stars) basi suala la umaskini kwa Fadhili itabaki kuwa historia.

Kwa wenzetu boxing hawaichukulii tu kama entertainment sport bali entertainment + brutal sport yani mchezo wa kifo hivyo hata pesa anazoingiza bondia kwa pambano moja ni pesa za kueleweka sio pesa madafu.

Kulipwa bilioni zaidi ya 10 kwa pambano moja ni jambo la kawaida sana .

Fadhili ameshaanza kuingia ulimwengu wa pesa kwa kuanza tu kama menejiment yake itajielewa hatakiwi kucheza pambano lenye thamani chini ya milioni 100 na baada ya kushinda hilo pambano hatotakiwa kucheza tena pambano lenye thamani chini ya milioni 500.

Akishinda mapambano mawili matatu dhidi ya mabondia wenye rekodi nzuri basi tutarajie jamaa kuingiza zaidi ya bilioni 1 kwa kila pambano atakalocheza.

Management yake ikiwa vizuri zaidi basi atahitaji mapambano yasiyozidi matatu tu kumfanya kuwa milionea wa kutupwa hapa nchini.

-1907741155.jpg
 
Natamani sikumoja nione wakibadilishana punches na yule mjapan Naoya Inoue maana hawajapishana sana uzito.
 
Huu uzito wa jamaa na ule wa mwakinyo ni upi ambao Una mtonyo zaidi...??
 
Hapo mapromota wanapiga hesabu za kumnyonya kwanza kabla hajanufaika...
Hiyo lazima mkuu mapromota wapigaji sana ndio maana Floyd Mayweather aliamua kuanzisha Mayweather Promotion ili kumsaidia kusimamia mapambano yake ,mwanzoni promota wake alikuwa bob Arum.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom