Diamond na kujimilikisha mali ambazo sio zake

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,382
Mie toka adanganye amenunua rolls Royce toka Mwaka 2018 had leo halijaingia Tz ndo nkajua Kweli mondi NTU WA DILI. Mara anasema ana hotel Sijui wapi , mpaka wa leo hatujawah kuisikia tena , na ile mall ya wasafi Sijui imeishia nchi gani au ndo imekufa na corona, mara Sijui ana perfume zake hadi leo hazipo, mara Diamond karanga.

Mond nyumba ambazo anamiliki zipo kama nane hiv ambazo anapangisha ila anashindwa kuzipost kwa kuwa hazina hadhi yake anavyoona yeye, ila kwa kujitahidi tu yuko vzur hawezi kulala na njaa hata akiacha kuimba Tatizo tu cheusi dawa anapenda kujiweka kwenye level ambazo hajafika, yani anapenda kuonekana yeye ni millionare wa kutisha wakati hajafika huko bado, kuna Vijana wenzie hapa bongo wana pesa kumzidi, wana utajiri wa kutisha sema tu hawana umaarufu kama domo , domo aache kujifanya ana pesa sana wakat anachezewa tu na wafanyabiashara Wenye pesa zao, wanamtumia jina lake hili aonekane anamiliki bidhaa au mali flan kumbe ni zuga tu

IMG_2213.jpg
 
View attachment 1770440
Kitu ambacho unaweza kuamini kutoka kwa huyu jamaa ni salamu tu!.... mengine yote ni fix
 
Back
Top Bottom