dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia inakataa ombi la Marekani la kujiunga na Operesheni Prosperity Guardian dhidi ya Houthis

    Wanaukumbi. Saudi Arabia inakataa ombi la Marekani la kujiunga na Operesheni Prosperity Guardian dhidi ya Houthis Maafisa wa Saudia waliliambia gazeti la New York Times kwamba ufalme huo unatanguliza usalama wa ndani na maendeleo ya kiuchumi kuliko kufanya operesheni za majini, na kutafuta...
  2. JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita yaIsrael dhidi ya Hezbollah

    Wanaukumbi. 🚨 🇮🇱🇱🇧HEZBOLLAH MISSILE IMPACT IN ISRAEL KASKAZINI Manara: Zaidi ya 50% ya nyumba, jumla ya majengo 86, yameharibiwa. Metula: Nyumba 9 zimeharibiwa. Waliopoteza maisha wameripotiwa kuwa wanajeshi 5 wa Israel na wapiganaji 18 katika mzozo huo. Zaidi ya Waisraeli 20,000...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Russia yaiunga mkono UAE dhidi ya Iran kwenye mzozo wa kugombania visiwa

    Wakati mzozo wa kugombania visiwa vidogo katika ghuba ya Hormuz ukirindima kati ya mataifa mawili ya Iran na Falme za Kiarabu (UAE), Iran imeshtushwa na kitendo cha mshirika wake mkubwa Russia kuiunga mkono UAE katika mzozo huo...
  4. JamiiForums Tanzania The Guardian: Israel inapoteza vita dhidi ya Hamas lakini Netanyahu na serikali yake kamwe hawataki kukubali

    Wanakumbi. Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara hiyo, Limor Luria, aliripotiwa kusema kuwa zaidi ya wanajeshi 2,000 wa IDF wameandikishwa kuwa walemavu...
  5. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

    SERIKALI YAKATAA KURUDIA UCHAGUZI LICHA YA WAANGALIZI KUDAI KUNA UDANGANYIFU Kauli ya Serikali inakuja huku kukiwa na shinikizo la Wafuasi na Viongozi wa Upinzani kutaka Uchaguzi huo ufutwe kutokana na madai ya kuwepo kwa ukiukwaji wa Sheria na Uwazi ikiwe baadhi ya Vituo kutopiga Kura. Ripoti...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigizaji Vin Diesel afunguliwa kesi ya Unyanyasaji wa Kingono dhidi ya Mfanyakazi wake

    Nyota wa Filamu za Fast & Furious, Vin Diesel amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Asta Jonasson, Mwanamke aliyewahi kuwa Msaidizi wake mwaka 2010. Mwanamke huyo amedai Septemba 2010 wakati wakirekodi vipande vya Filamu ya Fast Five aliitwa chumbani kwa Diesel akiwa peke...
  7. JamiiForums Tanzania Mataifa 20 sasa yatia saini kuilinda bahari Nyekundu dhidi ya magaidi, Iran inazidi kutengwa

    Hawa magaidi wa kidini pamoja na mfadhili wao Iran wanazidi kuwekwa kwenye msalaba, mataifa 20 yote kulinda hilo bahari. =================== More than 20 countries have joined the US-led coalition to protect Red Sea shipping from attacks by Yemen’s Houthi rebels, the Pentagon says. The...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS

    Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Ikumbukwe; 1. Israel anajinasibu kupambana na HAMAS akisema hana taabu na wapalestina huku wahanga wakiwa wapalestina; hadi West Bank ambako hakuna HAMAS. 3. Kila vita vinapotaka kusimama, maafisa wazito wazito wa Marekani huenda Israel na vita hurundima upya kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

    To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel: 1. You are suckers. 2. You are all stupid people. 3. You are all idiots. And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are also a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag...
  10. JamiiForums Tanzania Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Yemen Meja Jenerali Mohammad al-Atifi: Amesema kuwa Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vitageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo muungano huo utaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen. ====== 🇾🇪🇺🇸 Yemeni Defense Minister...
  11. JamiiForums Tanzania Marvel na Walt Disney zampiga chini Jonathan Majors kutokana na kesi ya Unyanyasaji dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mahakama kumkuta Mwigizaji huyo na hatia ya kumpiga na kumnyanyasa kimwili, Grace Jabbari, aliyekuwa mpenzi wake amnaye alimfungulia Kesi Majors Machi 2023. Katika mashtaka, Grace alidai alikuta Meseji za Mapenzi kwenye Simu ya Majors na alipojaribu kuchukua SImu...
  12. JamiiForums Tanzania Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

    Binafsi naamini Mnyama hatari wa mwituni Simba atapata ushindi mnono wa goli 2-1. Baleke na Kibu watatupia siku hiyo. Karibuni wadau kwa utabiri wenu.
  13. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kikosi changu cha kwanza cha mchezo wa maruduo kati ya wananchi Yanga dhidi ya Madeama

    Naomba nisiwachoshe. 1. Djugui Diarra 2. Kwasi Jeshi 3. Joyce Lomalisa/Farid Mussa Malick 4. Dickson Job 5. Bakary Mwamnyeto 6. Ibrahim Bacca 7. Khalid Aucho 8. Max Nzengeli 9. Stephen Aziz Kii 10. Hafiz Konkoni 11. Pacome Zouazoua. Subs: Abutwalib Mshery, Kibwana Shomary, Nickson Kibabage...
  14. JamiiForums Tanzania Je kuna ukweli kwamba ukiweza kuiongoza subconscious mind unaweza kupingana dhidi ya nguvu za giza?

    salaam leo katika harakati zangu za kujiongezea maarifa nimeshika kitabu kimoja cha jamaa anaitwa Murphy Joseph jina la kitabu power of subconscious mind ndani ya kitabu ameeleza mambo mengi ya kuihusu subconscious mind na kufanya comparison conscious mind. Kuna mifano mingi jinsi ya...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Serikali yazindua Mfumo wa Kuwalinda Wawekezaji dhidi ya Vitendo vya Rushwa

    Rais Yoweri Museveni amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kulinda Wawekezaji (EIPP) ambao unalenga kuwasaidia Wawekezaji wa Nje na Ndani kuripoti moja kwa moja katika Ofisi ya Rais malalamiko ya Rushwa, Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa aina yoyote katika Miradi. Taarifa ya Ikulu ya Uganda imesema...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Mbeya yafuta Kesi dhidi ya Wasanii Bi. Sifa Boniventura na wenzake

    15 December 2023 Mbeya, Tanzania WIMBO MNATUONA MANYANI Hii ni baada ya jamhuri kuamua kutoendelea na kesi hii iliyovuta umma mpana kuijadili huku ikiituhumu serikali kubana uhuru wa kujieleza. Wasanii waimbaji Sifa Boniventura Bujune, Salome Mwampeta na Hezekiel Miliyashi walifunguliwa...
  17. JamiiForums Tanzania Enyi madereva wa masafa marefu acheni roho mbaya dhidi ya wasaidizi wenu matingo

    Natumai wote ni wazima wazee kwa vijana poleni na mvua za masika zinazoharibu miundombinu yetu. Moja kwa moja nianze kwa kusema kama dereva wa masafa marefu niliyetundika daruga 2010. Uliza Congo uliza Malawi Zambia Uganda kenya Burundi rwanda hapo nikiwa na chuma cha msweden scania 113 pulling...
  18. JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

    Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji . Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi . ==== Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa kikosi hiki cha Man United unadhani dhidi ya Liverpool itakuwaje?

    Jumapili ya Desemba 17, 2023, Saa 1:30 Usiku, Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anatarajiwa kuwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool katika mchezo wa Premier League kwenye Uwanja wa Anfield, huku akiwa na orodha ndefu ya wachezaji wa kikosi cha kwanza anaotarajiwa kuwakosa. Marcus...
  20. JamiiForums Tanzania Medeama walalamikia penati 3 walizonyimwa katika mechi dhidi ya Yanga

    Baada ya mechi ya Medeama vs Yanga kumekuwa na kelele nyingi kuhusu goli la clear offside la Kibabage, ila wengi walifumbia macho matukio kadhaa ambayo refa alimezea ambayo yangewapa faida Medeama. Kuna uzi mmoja nilisema kitendo ambacho baadhi ya watu wanasema kilistahili kadi nyekundu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…