Kwa kikosi hiki cha Man United unadhani dhidi ya Liverpool itakuwaje?

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Jumapili ya Desemba 17, 2023, Saa 1:30 Usiku, Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anatarajiwa kuwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool katika mchezo wa Premier League kwenye Uwanja wa Anfield, huku akiwa na orodha ndefu ya wachezaji wa kikosi cha kwanza anaotarajiwa kuwakosa.

Marcus Rashford (Mgonjwa)
Harry Maguire (Nyama za paja)
Luke Shaw (Misuli)
Amad Diallo (Goti)
Mason Mount (Kiazi cha Mguu)
Tyrell Malacia (Goti)
Christian Eriksen (Mguu)
Casemiro (Nyama za paja)
Jadon Sancho (Amesimamishwa)
Lisandro Martinez (Mguu)
Victor Lindelof (Mguu)
Anthony Martial (Mgonjwa)
Bruno Fernandes (Kadi 5 za Njano)

Msimu uliopita United ikiwa na kikosi kamili ilipata kichapo cha magoli 7-0 kwenye nyasi hizohizo, hivyo safari hii Liverpool ikiwa kinara wa Ligi inakutana na United ambayo imekuwa na matokeo mabaya tangu kuanza kwa Msimu wa 2023/23.

==============
Snapinsta.app_409734403_903250231164442_7402236627100222708_n_1080.jpg
Erik ten Hag has got his work cut out... Don't miss Liverpool v Man Utd

Marcus Rashford Unknown
Harry Maguire Groin injury
Luke Shaw Muscle injury
Amad Diallo Knee injury
Mason Mount Calf injury
Tyrell Malacia Knee injury
Christian Eriksen Leg injury
Casemiro Hamstring strain
Jadon Sancho Personal reasons
Lisandro Martinez Foot injury
Victor Lindelof Knock
Anthony Martial Unknown
Bruno Fernandes Disciplinary points

Source: SkySports
 
Jumapili ya Desemba 17, 2023, Saa 1:30 Usiku, Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anatarajiwa kuwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool katika mchezo wa Premier League kwenye Uwanja wa Anfield, huku akiwa na orodha ndefu ya wachezaji wa kikosi cha kwanza anaotarajiwa kuwakosa.

Marcus Rashford (Mgonjwa)
Harry Maguire (Nyama za paja)
Luke Shaw (Misuli)
Amad Diallo (Goti)
Mason Mount (Kiazi cha Mguu)
Tyrell Malacia (Goti)
Christian Eriksen (Mguu)
Casemiro (Nyama za paja)
Jadon Sancho (Amesimamishwa)
Lisandro Martinez (Mguu)

Victor Lindelof (Mguu)
Anthony Martial (Mgonjwa)
Bruno Fernandes (Kadi 5 za Njani)

Msimu uliopita United ikiwa na kikosi kamili ilipata kichapo cha magoli 7-0 kwenye nyasi hizohizo, hivyo safari hii Liverpool ikiwa kinara wa Ligi inakutana na United ambayo imekuwa na matokeo mabaya tangu kuanza kwa Msimu wa 2023/23.

==============

Erik ten Hag has got his work cut out... Don't miss Liverpool v Man Utd

Marcus Rashford Unknown
Harry Maguire Groin injury
Luke Shaw Muscle injury
Amad Diallo Knee injury
Mason Mount Calf injury
Tyrell Malacia Knee injury
Christian Eriksen Leg injury
Casemiro Hamstring strain
Jadon Sancho Personal reasons
Lisandro Martinez Foot injury
Victor Lindelof Knock
Anthony Martial Unknown
Bruno Fernandes Disciplinary points

Source: SkySports
sio liver tu hata Yanga wanajipigia hapo vizuri tu
 
Hata Liverpool Kuna wagonjwa wengi tu
Jota wodini
Thiago wodini
Matip wodini
Mac Allister hatakuwepi
Bacjectic wodini

Wasiogope sana,magoli tutawachapa ila machache,tofauti na mwaka jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu inashindana na Chelsea kujaza wodi, akipona huyu anaingia wodini huyu, nadhani Kuna tatizo kwa wataalamu wao au wachezaji ni pancha mkononi, yaani timu ina wachezaji karibu kumi ambao wanaweza kuanza na kuleta wigo mpana kidogo wa machaguzi kwenye kikosi lakini ni injuries tu, nenda wodi ya Chelsea Sasa huko napo ni majeruhi wamejaa tele tena vijana wadogo kabisa.
 
B… Itakuwaje? Kuna matumaini ya kuchomoka kweli?
Huu mwezi sio rafiki kwako kimpira, pole in advance b…
Mdakuzi
Kuna kitu kimoja tulichonacho ni kule kutotabirika kirahisi. Hebu ngoja tuone itakavyokuwa, ila hali ni tete.

Ova
 
Kuna kitu kimoja tulichonacho ni kule kutotabirika kirahisi. Hebu ngoja tuone itakavyokuwa, ila hali ni tete.

Ova
Hadi umekiri hali ni tete sio mchezo, mi itabidi nitafute cha kufanya kwakweli!
Mapemaaaaa kabla hayajanikuta kwa kushangilia, Lols
 
Hizo ni past b..., achana nazo. Kwa sababu hata sisi tulimtia Arsenal 8 na wala hatuzitaji taji tena. lol

Ova
We ni mjingaaaaa! Mambo ya 2012 yanakujaje hapa jamani? Kwani si ukubali maumivu yako tu hadi ukumbushie ya wengine?

Halafu ole wako siku uniambie hivi b…
 
Back
Top Bottom