Russia yaiunga mkono UAE dhidi ya Iran kwenye mzozo wa kugombania visiwa

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,900
15,329
Wakati mzozo wa kugombania visiwa vidogo katika ghuba ya Hormuz ukirindima kati ya mataifa mawili ya Iran na Falme za Kiarabu (UAE), Iran imeshtushwa na kitendo cha mshirika wake mkubwa Russia kuiunga mkono UAE katika mzozo huo.

Wakati mzozo wa kugombania visiwa vidogo katika ghuba ya Hormuz ukiritimba kati ya mataifa mawili ya Iran na Falme za Kiarabu (UAE), Iran imeshtushwa na kitendo cha mshirika wake mkubwa Russia kuiunga mkono UAE katika mzozo huo.

Kumbe Putin kuna wakati anakuwa na busara.
Iran ni mhimili wa uovu huko mashariki ya kati
 
Wakati mzozo wa kugombania visiwa vidogo katika ghuba ya Hormuz ukirindima kati ya mataifa mawili ya Iran na Falme za Kiarabu (UAE), Iran imeshtushwa na kitendo cha mshirika wake mkubwa Russia kuiunga mkono UAE katika mzozo huo.

Hizi propaganda mtaacha lini enyi wazayuni wa jf
Jana sergey lavrov kamwambia waziri wa mambo ya nje ya iran kama sijakosea
Kua Russia inatambua na kuheshimu haki na mipaka yote ya iran ikiwemo umiliki wa visiwa vitatu vinavyogombaniwa na iran pamoja na UAE
Ambavyo ni Abou Mussa Tom kubwa na Tom ndogo
Iran kamatia hapo hapo
 
Back
Top Bottom