Je kuna ukweli kwamba ukiweza kuiongoza subconscious mind unaweza kupingana dhidi ya nguvu za giza?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,556
2,996
salaam

leo katika harakati zangu za kujiongezea maarifa nimeshika kitabu kimoja cha jamaa anaitwa Murphy Joseph jina la kitabu power of subconscious mind ndani ya kitabu ameeleza mambo mengi ya kuihusu subconscious mind na kufanya comparison conscious mind.

Kuna mifano mingi jinsi ya subconscious mind inavyofanya kazi moja mfano alielezea kuwa kuna ndugu yake ambaye alipatwa na ugonjwa hatari ,ugonjwa ambao ulimpelekea umauti na kwa anavyoamini kuwa chanzo cha kifo ni ile hofu ya maneno ya daktari kuwa aliambiwa kuwa hatopona na huenda mwezi mmoja akafariki na hatimae jamaa before mwezi alifariki.

ingawaje ni kweli nguvu ya subconscious mind ni kubwa na inaweza kuleta mambo hasi au chanya ikiwa utafikiria hivyo kwani hata wanazengo walinena"aliwazalo mjinga ndiyo humtokea" lakini pia tunaona hata jinsi mitandao inavyooporate its relate with human mind,sasa tatizo linakuja hivi its true scientifically can solve question of superstation ???.

"
Your subjective mind sees without the use of the natural organs of vision.
It has the capacity of clairvoyance and clairaudience. Your subjective mind
can leave your body, travel to distant lands and bring back information of-
tentimes of the most exact and truthful character. Through your subjec-
tive mind, you can read the thoughts of others, read the contents of
sealed envelopes and closed safes. Your subjective mind has the ability to
apprehend the thoughts of others without the use of the ordinary objec-
tive means of communication. It is of the greatest importance that we un-
derstand the interaction of the objective and subjetive mind in order to learn of the prayer"

yaàni mtu apate ugonjwa wa kishetani then umtibu kwa njia ya kisayansi its that true???
 
salaam

leo katika harakati zangu za kujiongezea maarifa nimeshika kitabu kimoja cha jamaa anaitwa Murphy Joseph jina la kitabu power of subconscious mind ndani ya kitabu ameeleza mambo mengi ya kuihusu subconscious mind na kufanya comparison conscious mind.

Kuna mifano mingi jinsi ya subconscious mind inavyofanya kazi moja mfano alielezea kuwa kuna ndugu yake ambaye alipatwa na ugonjwa hatari ,ugonjwa ambao ulimpelekea umauti na kwa anavyoamini kuwa chanzo cha kifo ni ile hofu ya maneno ya daktari kuwa aliambiwa kuwa hatopona na huenda mwezi mmoja akafariki na hatimae jamaa before mwezi alifariki.

ingawaje ni kweli nguvu ya subconscious mind ni kubwa na inaweza kuleta mambo hasi au chanya ikiwa utafikiria hivyo kwani hata wanazengo walinena"aliwazalo mjinga ndiyo humtokea" lakini pia tunaona hata jinsi mitandao inavyooporate its relate with human mind,sasa tatizo linakuja hivi its true scientifically can solve question of superstatio ???

yaàni mtu apate ugonjwa wa kishetani then umtibu kwa njia ya kisayansi its that true???
hIi ni kweli kwa 100%

Lets say ile mentality ya Zamani kuwa Ukimwi ni kifo ingekuwepo unafikiri tungekuwa na watu wangapi hai?
Na wangapi wangekuwa wanaumwa?
Hata uchawi ili urogwe lazma kwanza ujiwekee uoga mwenyewe!...

Kwakuwa umesema unapenda kusoma nakuongeza vichache..

  • Subconscious Mind Power cha James Thompson
  • The Secret Power Of The Universe-How To Use The Law of Attraction For Manifestation cha jenny loveless
  • Feel the fear and Do it anyway cha Susan Jeffers
HIvi vinakutosha kwa leo
 
Hata uchawi ili urogwe lazma kwanza ujiwekee uoga mwenyewe!
shukrani dokta
 
Bila Yesu yote hayo ni kujilisha upepo. Kuipa nafsi nguvu kuna kusaidia kuwa na maarifa ya kushindana kwenye kiwango cha chini sana sababu nguvu za giza zinapambania hiyohiyo nafsi yako. Mjue Yesu usogee kwenye eneo la juu ambalo ni kupambana kwenye ulimwengu wa rohoni. Usipokuwa na nguvu za rohoni huwezi simama wakati roho zinafanya mambo yake.
 
Ni kweli kabisa. Hata Kiranga hawezi kukataa hili
If I was of any two minds on whether to chip in or not on this charade of ill defined endeavors, your thinly veiled and feeble attempt at baiting me just sealed the deal on my sitting this one out.

You are inhabiting that unfunny jester bent on attracting the attention of everybody towards frivolous frolicking in fantastic flaccid follies with daily deliberate displays of decadent damp didies in ritualistic raves of vapid vanities, vulgar verve and all manners of vivacious, vile and vitriolic vomit.
 
Bila Yesu yote hayo ni kujilisha upepo. Kuipa nafsi nguvu kuna kusaidia kuwa na maarifa ya kushindana kwenye kiwango cha chini sana sababu nguvu za giza zinapambania hiyohiyo nafsi yako. Mjue Yesu usogee kwenye eneo la juu ambalo ni kupambana kwenye ulimwengu wa rohoni. Usipokuwa na nguvu za rohoni huwezi simama wakati roho zinafanya mambo yake.
Mkuu umekisoma icho kitabu chenyewe?

Kiufupi muandishi hajapingana na nguvu ya Mungu ila alichokifanya ni kaelezea ni kwa namna gani imani inafanya kazi, (mechanism ipi/nini huwa kinafanya mpaka mtu a apona kwa nguvu ya imani).

Ni ki-saikologia zaidi kitu ambacho kwenye maandiko matakatifu haijaelezea, maandiko yanatoa tu maelekezo na amri.

Kuna wadau wanasemaga usisome biblia kama unasoma gazeti, Sasa ukisoma hiko kitabu huku kikihusianisha saikology conscious & subconscious minds ndio utapata mwangaza kamili na kujua kwa upana zaidi hekima na busara zilizopo kwenye maandiko.
 
Ni kweli kabisa, subconscious mind inatoa majibu Kwa haraka Sana Matokeo kupitia
Your thoughts
Your emotions
Your words
Your Actions/deeds.
 
yaàni mtu apate ugonjwa wa kishetani then umtibu kwa njia ya kisayansi its that true???
Mimi nadhani utendaji kazi wa subconscious mind upo beyond science/hautegemei saana principles za kisayansi ila unaegemea sana katika upande wa kiroho/imani.

Kwanini? Ni kwasababu ili uishawishi subconscious mind ili ikulink na infinity Intelligence ni lazima uwe serious bila kuwa na shaka na jambo lako (yaani usi-dought kabisa) na kuifikia level hii ya u-serious ni lazima kuna jambo limekusibu/yaani unashida kweli, jambo hilo linakuumiza kichwa na hulipatii majibu... Ila kama unajaribu ili oune itakuwaje hutafanikiwa kwasababu huna uhakika sasa ndio unajaribu. Hapa ndio tunapata ule mstari unaosema "Mungu hajaribiwi" hadi apo sayansi haipo bali imani inatawala/masuala ya kiimani/kiroho.

Kwahiyo masuala ya giza yanadhibitiwa vizuri zaidi na subconscious mind. Kwanini? Kwasababu subconscious mind ina communicate na infinity Intelligence ambayo itachagua suluhisho sahihi na bora zaidi, kwa mlegwa sahihi na kwa wakati na namna sahihi. Kuna msemo wapendwa😀😀😀 wanakwambia "Mungu hakawii wala hachelewi"

Note 1: Haya mambo hayahusiani na dini utamaduni wala imani ya mtu as long as unashida na umeomba msaada basi utasaidiwa, ila itapendeza zaidi kama utaomba kwa kupitia imani fulani iliyo na mtizamo chanya(positive), siunajua tena binadamu tunaishi kijumuiya...

Note 2: Katika masuala yanayohusu imani usijisumbue kutafuta uwepo wa nguvu ya /Mungu kwa kuhisianisha na sayansi, kwani imani ni zaidi ya sayansi na inatenda kazi katika physical world na spiritual world wakati sayansi yenyewe inaishia tu kwenye physical world nahata hiyo physical world yenyewe haija-imaster kisawasawa... Yaani sayansi ni inversily proportional to imani. cc Kiranga.
 
First things first, imani haipo nje ya sayansi.

Yani ukishafanya kitu chochote kinachotumia ubongo, tayari upo ndani ya baiolojia ya ubongo wako.

Sasa, ukiamua kuamini uongo, umeamua kuamini uongo, lakini, hilo halimaanishi kitendo cha wewe kuamini uongo kipo nje ya sayansi.

Watu wengi wanataja sayansi bila hata kuelewa sayansi ni nini.

Unaposema utendaji wa subconscious mind hautegemei principles za kisayansi, unajuaje kwamba hautegemei principles za kisayansi na si kwamba unategemea principles za kisayansi ila wewe hujui tu, au unategemea principles za kisayansi ambazo bado hazijajulikana kisayansi?
 
Ni kili kwamba field ya sayansi inamapana yake na mimi siwezi nikawa Nime master kote hivyo naweza nikakosa reference sahihi,

Lakini katika sayansi inaamini katika kufanyia utafiti ili kuthibitisha kitu na ili utafiti ufanyike hicho kitu lazima kiwe kinaonekana na hata kushikika. Tofauti na hapo sayansi itakataa kua hicho kitu hakipo ingawaje matokeo mnayaona. Sasa hadi hapo sayansi ishakwama, labda mpaka ifanyiwe maboresho.
Yani ukishafanya kitu chochote kinachotumia ubongo, tayari upo ndani ya baiolojia ya ubongo wako.
Subconscious mind hua ina- link na nguvu iliyopo nje ya mwili wa binadamu na matokeo yake hua yanakua nje ya upeo/utashi na matarajio ya mtu(unatendewa jambo unabaki kinywa wazi kwa mshangao) na sometimes unaweza usijue kama umejibiwa utafikilia labda ni zali tu au fulani kaamua tu kunisaidia kumbe sio.
unategemea principles za kisayansi ambazo bado hazijajulikana kisayansi?
Sasa hizo principles labda wazidesign kuendana na imani ila bado itakuwa ngumu kutrack na kuthibitisha utendaji kazi wake kwasababu ina tenda kazi kwenye mambo serious yenye uhitaji hou na yanayostahili. kama watu watakua wanajaribu ili kuthibitisha itakuwa kasheshe.
 
Ni kili kwamba field ya sayansi inamapana yake na mimi siwezi nikawa Nime master kote hivyo naweza nikakosa reference sahihi,

Lakini katika sayansi inaamini katika kufanyia utafiti ili kuthibitisha kitu na ili utafiti ufanyike hicho kitu lazima kiwe kinaonekana na hata kushikika. Tofauti na hapo sayansi itakataa kua hicho kitu hakipo ingawaje matokeo mnayaona. Sasa hadi hapo sayansi ishakwama, labda mpaka ifanyiwe maboresho.

Subconscious mind hua ina- link na nguvu iliyopo nje ya mwili wa binadamu na matokeo yake hua yanakua nje ya upeo/utashi na matarajio ya mtu(unatendewa jambo unabaki kinywa wazi kwa mshangao) na sometimes unaweza usijue kama umejibiwa utafikilia labda ni zali tu au fulani kaamua tu kunisaidia kumbe sio.

Sasa hizo principles labda wazidesign kuendana na imani ila bado itakuwa ngumu kutrack na kuthibitisha utendaji kazi wake kwasababu ina tenda kazi kwenye mambo serious yenye uhitaji hou na yanayostahili. kama watu watakua wanajaribu ili kuthibitisha itakuwa kasheshe.
Kwanza kabisa, kwenye sayansi si lazima kitu kionekane au kushikika ili kikubalike kuwa kipo.

Abstract logic haionekaninwala kushikika. Namba haziinekaninwala kushikika. Lakini haya yanakubalika kisayansi.

Na kuna mengine yanaonekana lakini hayapo.

Nyota nyingi sana unazoziona usiku hazipo. Unaona mwanga wake unaokufikia wewe leo tu.

Unaelewa hayo?
 
hIi ni kweli kwa 100%

Lets say ile mentality ya Zamani kuwa Ukimwi ni kifo ingekuwepo unafikiri tungekuwa na watu wangapi hai?
Na wangapi wangekuwa wanaumwa?
Hata uchawi ili urogwe lazma kwanza ujiwekee uoga mwenyewe!...

Kwakuwa umesema unapenda kusoma nakuongeza vichache..

  • Subconscious Mind Power cha James Thompson
  • The Secret Power Of The Universe-How To Use The Law of Attraction For Manifestation cha jenny loveless
  • Feel the fear and Do it anyway cha Susan Jeffers
HIvi vinakutosha kwa leo
Kumbe dokta una madini??

Nilikuwa nakuchukulia poa ujue!!

Samaleko!
 
Mkuu umekisoma icho kitabu chenyewe?

Kiufupi muandishi hajapingana na nguvu ya Mungu ila alichokifanya ni kaelezea ni kwa namna gani imani inafanya kazi, (mechanism ipi/nini huwa kinafanya mpaka mtu a apona kwa nguvu ya imani).

Ni ki-saikologia zaidi kitu ambacho kwenye maandiko matakatifu haijaelezea, maandiko yanatoa tu maelekezo na amri.

Kuna wadau wanasemaga usisome biblia kama unasoma gazeti, Sasa ukisoma hiko kitabu huku kikihusianisha saikology conscious & subconscious minds ndio utapata mwangaza kamili na kujua kwa upana zaidi hekima na busara zilizopo kwenye maandiko.
Hawa watu wa mwamposa huwaambii kitu kuhusu Yesu.
 
Note 2: Katika masuala yanayohusu imani usijisumbue kutafuta uwepo wa nguvu ya /Mungu kwa kuhisianisha na sayansi, kwani imani ni zaidi ya sayansi na inatenda kazi katika physical world na spiritual world wakati sayansi yenyewe inaishia tu kwenye physical world nahata hiyo physical world yenyewe haija-imaster kisawasawa... Yaani sayansi ni inversily proportional to imani.
Ukifuatilia background ya wanasayansi wengi na gunduzi zao utapata kujua kua hawakutumia ubongo wao pekee/conscious mind, bali walikua wanavuna maarifa kutoka kwa infinity Intelligence... kivipi? kupitia mind/ubongo ulitumika ku-code ile shauku aliyekua nayo mwanasayansi katika subconscious mind ndipo hii subconscious mind inawasilisha hiyo code kwa nguvu ya asili(super natural power or infinity Intelligence) hii itamletea majibu mhusika eidha katika ndoto, maono au mazingira yake ya kazi unakuta concept ina pop up from no where. Mfano, kina kekule-benzene structure.
Abstract logic haionekaninwala kushikika. Namba haziinekaninwala kushikika. Lakini haya yanakubalika kisayansi.
Kama ni hivi basi vitu vingi vilivyo undwa na mtu kama vile gari ndege, kiti, bunduki havikuepo mwanzo lakini baadae vikaundwa kutoka kwenye mawazo ya mtu kwa kanuni za kisayansi ambazo combination ya technological zilizotumika mpaka kupata moving machine ilihusisha subconscious mind na infinity Intelligence.
 
Ukifuatilia background ya wanasayansi wengi na gunduzi zao utapata kujua kua hawakutumia ubongo wao pekee/conscious mind, bali walikua wanavuna maarifa kutoka kwa infinity Intelligence... kivipi? kupitia mind/ubongo ulitumika ku-code ile shauku aliyekua nayo mwanasayansi katika subconscious mind ndipo hii subconscious mind inawasilisha hiyo code kwa nguvu ya asili(super natural power or infinity Intelligence) hii itamletea majibu mhusika eidha katika ndoto, maono au mazingira yake ya kazi unakuta concept ina pop up from no where. Mfano, kina kekule-benzene structure.

Kama ni hivi basi vitu vingi vilivyo undwa na mtu kama vile gari ndege, kiti, bunduki havikuepo mwanzo lakini baadae vikaundwa kutoka kwenye mawazo ya mtu kwa kanuni za kisayansi ambazo combination ya technological zilizotumika mpaka kupata moving machine ilihusisha subconscious mind na infinity Intelligence.
Infinite intelligence ni nini na unajuaje ni infinite?
 
Back
Top Bottom