bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 510
- 1,171
Ghana imepitisha moja ya sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya ushoga baada ya Bunge kuidhinisha Muswada wa Haki za Kijinsia za Binadamu na Maadili ya Familia wa mwaka 2025.
Sheria hiyo inaweka adhabu ya kifungo cha hadi miaka mitatu kwa vitendo vya ushoga, na hadi miaka mitano au zaidi kwa mtu yeyote atakayehamasisha, kuunga mkono au kufadhili shughuli zinazohusishwa na ushoga
Pia sheria hiyo inahusu baadhi ya maonesho ya hadharani ya mapenzi na maudhui fulani yanayochapishwa au kurushwa kupitia vyombo vya habari.