dharura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Afrika Kusuni: Rubani atua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya (cobra) chini ya kiti chake

    Rubani wa Afrika Kusini anapongezwa kwa kufanikiwa kutua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya fira ‘Capa cobra’ akiwa amejikunja chini ya kiti chake, ripoti ya vyombo vya habari nchini humo yasema. Rudolph Erasmus alikuwa akisafirisha abiria wanne kutoka Cape Town kuelekea mji wa kaskazini...
  2. Prof. Sospeter Muhongo agawa chakula cha Dharura kwa Waathirika wa Mafuriko

    MHE. SOSPTER MUHONGO AGAWA CHAKULA CHA DHARURA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO Leo, Jumanne, 4.4.2023, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mhe. Prof. Sospeter Muhongo ametembelea Kijiji cha Kusenyi, Kata ya Suguti kwa malengo yafuatayo: 1. Kutoa pole kwa waathirika wa mafuriko ya juzi na jana 2...
  3. TANESCO Wakipigiwa simu ya dharura wanachelewa au hawatokei kabisa

    Habari waungwana! Mimi bhana nakwazika sana na suala hili hasa wakati wa dharura hawa TANESCO bhana ni wazito mnoo kufika eneo lilipotokea tatizo. Niliwah pata shida ya Luku, nikapiga simu na nipo karibu na ofisi zao, wakasema watafika ndani ya muda mfupi, cha ajabu nililala giza kiukwel maana...
  4. D

    Wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu?

    Nina dharura, kwa mwenye kujua, wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu yangu?
  5. Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura

    Shirika la Ndege la Precision Air limethibitisha kuwa ndege zake mbili zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata hitilafu na nyingine kulazimika kutua kwa dharura. Precision Air imethibitisha hilo kupitia Taarifa yake leo Februari 03, 2023 ikibainisha kuwa, moja ya...
  6. Serikali ibane matumizi wakati huu wa dharura

    Amani iwe Kwenu Benki kuu (BOT) imeshatoa takwimu kuonesha mfumuko wa bei umeongezeka kwa zaidi ya asilimia 1 ndani ya miezi michache. Sasa mfumuko unafikia asilimia 4 na ushei. Dunia nzima sasa inaputia wakati mgumu kiuchumi hususan kipindi hiki cha mtanange wa kule Ukraine. Kwa serikali...
  7. Rais Samia ni dhaifu kulingana na mambo yanavyokwenda?

    Wakuu habari za mchana? Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja...
  8. Wananchi wanategemea kuona ukali wa Rais Samia katika kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri leo

    Moja kati ya habari inayosubiriwa kwa hamu na umma wa Tanzania ni yatakayojiri leo katika kikao cha dharura cha baraza la mawaziri aliloitisha leo Rais Samia ikiwa na ajenda mficho 4 unaoakisi kutoa majibu sahihi juu ya masuala yafuatayo: 1. Ajali ya ndege ya Precision Air kutokana na kile...
  9. J

    ACT Wazalendo waitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kumjadili Mkurugenzi wa Uchaguzi Zanzibar

    ACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake. Lakini huku Tanganyika Dr Mahera yule yule wa 2020 wamemkubali. J3 Ubarikiwe sana.
  10. J

    Aweso aingiza mitambo Dar, aelekeza visima vya dharura kuchimbwa

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Leo tarehe amefika ofisi za RUWASA sehemu ya uchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa (DDCA) na kutoa maelekezo mahususi kwa Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Bonde la Wami/Ruvu kuainisha maeneo yenye uwezekano wa kupata maji chini ya ardhi na visima vya dharura...
  11. Namba ya wizara ya afya 199

    Napendekeza ile menu yake iwe inaboreshwa kutokana na milipuko ili kurahisisha/kutimiza kusudio lake Mf: kipindi cha janga la korona; kuwe na namba 1> Ukitaka maelezo yoyote kuhusu korona bonyeza moja na vivyo hivyo kipindi hiki chenye hatari ya Ebola lakini muhimu zaidi IPOKELEWE bila...
  12. Tulianza na milo mitatu, tukaja miwili na sasa mlo mmoja. Nimeitisha kikao cha dharura

    TULIANZA NA MILO MITATU, TUKAJA MILO MIWILI. SASA TUPO MLO MMOJA. NIMEITISHA KIKAO CHA DHARURA. Anaandika, Robert Heriel Sio kama nina Parkinson Disease Kwa jinsi ninavyotetemeka hapa. Hata nikikosea maandishi hapa msinitukane ndugu zanguni. Eleweni njaa haina mbabe. Nina ubao hapa siiiioo...
  13. Wanafunzi 521 watoroka shuleni Simiyu, Serikali imetangaza mpango wa dharura

    Jumla ya wanafunzi 521 wa Shule mbalimbali Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wameripotiwa kukimbia masomo kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita hali ambayo imeilazimu Serikali kutangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na tatizo hilo. Ni katika kukabiliana na changamoto ya utoro shuleni, ambapo...
  14. M

    Serikali itenge fedha ya dharura kukabili changamoto za elimu bure

    FEDHA YA DHARURA ITENGWE HARAKA KUOKOA ELIMU NCHINI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ✍️Mwl. Modest Alphonce (Mwandishi wa Makala hii ni mwalimu wa Sekondari, mwalimu wa Taaluma Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati ya Shule ya Msingi iliyopo jijini Dsm) Wakati shule wanazosoma watoto wa watunga Sera hapa nchini zikizidi...
  15. WHO wajadiliana kuhusu kutangaza Monkeypox hali ya dharura Kiafya

    Wataalamu wa Afya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wamekutana kujadiliana kuona kama kuna ulazima wa kutangaza Monkeypox kuwa hali ya dharura kiafya. Hicho ni kikao cha pili ambapo inaelezwa kuwa kuna watu zaidi ya 15,400 walioripotiwa kupata maambukizi ya Virusi hivyo katika Nchi 71 tangu...
  16. Ecuador yatangaza hali ya dharura kutokana na uhalifu wa magenge

    Rais Guillermo Lasso ametangaza Hali ya Dharura ya siku 60 katika Majimbo matatu kutokana na ongezeko la matukio ya uhalifu. Ecuador imeshuhudia ongezeko kubwa la mauaji na uhalifu unaohusiana na magenge Rais Lasso amesema amri ya kutotoka nje itawekwa na maelfu ya Wanajeshi na Maafisa wa...
  17. Mbunge ataka taarifa za zuio la bodaboda lijadiliwe kwa dharura Bungeni, Spika aikataa hoja

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa ametoa hoja ya kusimamisha ratiba ya Bunge ili kujadili hoja ya vijana waliojiajiri katika usafiri wa bodaboda na Bajaj ambao kulikuwa na taarifa wamezuiwa kuinjia maeneo ya Mjini Mkoani Dar es Salaam. Slaa alitoa hoja hiyo Bungeni leo Alhamisi Aprili 21, 2022...
  18. Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) usaidizi wa dharura wa kifedha

    Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa usaidizi wa haraka wa kifedha na mkopeshaji wa kimataifa anaweza kuzingatia hilo baada ya kusita kwa awali, msaidizi wa waziri wa fedha wa nchi hiyo alisema. Maandamano yamezuka katika taifa hilo huku likipambana na mzozo mbaya wa...
  19. #Mwaka mmoja# wa Rais Samia tunatarajia vitengo vya huduma za dharura zaidi ya 150

    Moja ya maamuzi makubwa yaliyifanywa na Mhe. Rais wa JMT Samia Suluhu Hasan ni kutumia fedha za mkopo wa uviko 19 kujenga madarasa na majengo maalumu ya huduma za dharura nchini. Hii ni kutoka sufuri hadi 150 . Best achievment in one year! CCM HOYEE!
  20. M

    Ushauri wa haraka na Dharura wadau

    Mimi ni kijana na hadi leo nimetazama nakala ya Cheti changu cha kuzaliwa nitatimiza miaka 31 mapema mwezi March lakini jambo la kushangaza mipango yangu inazunguka nainuka kwa muda kisha narudi tena kuanza moja maisha yangu hayaendi mbele. Ipo hivi. Nilihitimu Chuo cha Mafunzo ya ualimu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…