Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia...
Kwakweli kuwa mnafiki mi siitaji kamwe
Lakini nifenyeje jaman Mimi siitaji kuwa mnafiki Mimi siwezi waombea watu walio jiweka madarakani kwa kuuwa watu 518 please please padri padri Baba yangu Paroko wa ushirika wa karanga mm.ukiwataja tuwaombee Mimi ntakuwa nawatukana Sasa tatizo ni kutukania...
Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.
tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuwadhalilisha wenzetu.
Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA...
Kwenye mechi inayoendelea sasa kati ya Dodoma Jiji na Simba Sc ikiwa simba hatopata goli na kufuzu kwenye haya mashindano nitatangaza rasmi kuachana na masuala ya mipira ikiwa ni kufatilia matokeo wala kuangalia zikiwa mubashara.
Uzuri ni kuwa hivi karibuni nimegundua kuwa mbinguni hakuna mpira...
mbaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu.” Wakolosai 3:5.
"Na hao walio wa Kristo Yesu wamesulubiwa mwili Pamoja na Mawazo yake mabaya Pamoja na tamaa zake." Wagalatia 5:24.
Ni wazi kwamba ikiwa tunataka kuwa wa Kristo tunahitaji kufanya hivi hasa: “Mkinipenda, mtazishika amri zangu.” Yohana...
Kwa miongo kadhaa, tumekubali uwongo eti kwamba kuomba msamaha wa kibinafsi na wa kimoyomoyo ndio kitu pekee ambacho Mungu anahitaji ili kufuta dhambi kubwa.
Lakini Mungu wa Biblia hakuweka kamwe mfumo wa upatanisho usioonekana kabisa.
Zaidi ya miaka elfu moja kabla ya Kristo, Mungu aliwaamuru...
KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA.
Anaandika, Robert Heriel
Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi.
Mtibeli.
1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya.
2...
Kwa bahati mbaya, kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na kufunga, na hasa kwa sababu mwaka huu Kwaresma ya Wakristo imeangukia kipindi sawa na Ramadhani ya waislam.
Mbaya zaidi mijadala imekuwa ya kejeli, kujionesha nani yupo sahihi, na nani hayupo sahihi.
Siongelei funga ya waislam kwa sababu...
Nimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi ....
Twende taratibu .....
Naomba nitoe hoja kwa njia ya maswali kama ifuatavyo?
1. Kama shetani ndio baba wa dhambi, dhambi alizotenda yeye za kuasi mbinguni zilitoka wapi??
2. Kama kila dhambi huwa tunapata...
Wanabodi
Hii ni Makala yangu ya leo, kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo
Declaration of Interest
Naomba kuanza kwa kudeclea interest kuwa mimi ni muumini wa ile rai ya Makomu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, tusiendelee kuzungumzia kile kilichotokea October 29, ili tusizidi...
Dhambi ni kutolijua Neno la Mungu.
Ukilijua Neno la Mungu, ukalielewa, ukalishika, litakuweka huru kweli kweli.
Utakuwa huru na dhambi zote za duniani.
Hutozini.
Hutolewi.
Hutofanya umalaya.
Hutokuwa mmbea.
Hutokuwa msengenya.
Hutokuwa mfura.
Hutofanya dhambi.
Kwa kifupi, ukisikia dhambi...
Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo?
Ni mazingira gani ambayo yanaruhusu waumini kushiriki biashara za riba bila kupata dhambi?
Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali?
Udalali ni nini
Dalali ni mtu anayeuza kitu kwa niaba ya mwingine na kisha kuchukua asilimia fulani ya faida ya kile kilichouzwa. Dalali pia anaweza kuwa mtu mwenye kutafuta soko la bidhaa ya mtu mwingine na kisha kuchukua asilimia ya faida inayopatikana...
Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu unaweza kuona ni kwanini "haki huinua taifa". Nimeandika hivi majuzi nikiendeleza tafakari iliyofanywa...
Waefeso 4:22-24
22 Vueni maisha yenu ya zamani muweke kando hali yenu ya asili ambayo huharibiwa na tamaa potovu. 23 Nia zenu zifanywe upya 24 na mvae utu upya ulioumbwa kwa mfano wa Mungu katika haki na utakatifu.
Warumi 6:6
Kwa maana twajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.