Kumekuwa na tetesi kuwa timu kubwa vigogo hapa nchini za Simba na Yanga zote zinaiwania saini ya straika Simon Msuva.
Msuva yupo nchini tangu mwezi Juni mwaka huu, baada ya kumaliza mkataba na klabu yake ya Al-Qadsiah, ya Saudi Arabia.
Yanga imeripotiwa kurdi tena upya kufanya mazungumzo nae...