Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,447
- 7,830
Kampuni ya METL inachangia 3.5% ya pato lote la Taifa Tanzania huku ikiajiri 1.95% ya watu wote walioajiriwa rasmi kwenye sekta binafsi.
METL ilianzishwa na Gulam Dewji mwaka 1970 huku kwa miaka 16 thamani yake ikikua kwa zaidi ya mara 50 mafanikio ambayo sehemu kubwa yalikuwa chani ya mtoto wake, Mohammed Dewji ambae kwasasa ndie mwanahisa mkubwa zaidi kwenye kampuni hiyo.
METL inaendesha shughuli zake kwenye nchi nane na kuajiri watu 28,000