deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la 14.9%

    Kutoka kwa Prof. Kitila akiwa bungeni muda huu amesema, Hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa lilifikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 14.9. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna majibu yoyote kutoka kwa mtaalamu wa fedha wa Yanga ya kwenda kulihakiki deni lao pale TFF ?

    Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Fumbo la Hisabati: Analipa Shs. 14 kila mwaka, lakini deni lake linaongezeka kwa Shs. 10 kwa mwaka

    Kwa mfano mtu anadaiwa Shs. 60/= , akiwa analipa hilo deni kwa wastani wa shs. 15/= kwa mwaka , tunategemea baada ya miaka mitatu deni libaki Shs.15/=. Au kama anakopa tena kila mwaka sawa sawa na kiasi anacholipa, basi deni tunatarajia kibaki pale pale Shs.60/=. Maajabu. Pamoja na kulipa...
  4. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hivi ikitokea mdaiwa wa HESLB hajawahi kuajiriwa mpaka maisha yake yote anazeeka lile deni inakuwaje?

    Naomba majibu wakuu kuna mtu wangu wa karibu hajawahi kuajiriwa huu mwaka wa 22.
  5. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kukwepa deni kwenye account Yangu.?

    Nilikopa boom advance bhana, Sasa hili boom ndio la mwisho na hela ikiingia tu kwenye account inakatwa automatically na system Wazee wa IT nitumie njia gani kukwepa deni hili ??
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
  7. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa la Marekani lazidi kupanda

    If foreign markets don’t trust the US gov’t debt instruments what gov’t do they trust more. 1. United States. • GDP (2023, nominal): ~$25.5 trillion (world’s largest economy). • National Debt (2023): ~$31.4 trillion • Debt-to-GDP Ratio: ~123% (2023). 2. Japan • GDP (2023, nominal): ~$4.2...
  8. Sumbaye

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli Mama hana Deni au hatumjui mdeni wetu?

    Kila nikipota mtaani nakutana na Mabango ya mama hana deni. Nikipita mitandaoni nakutana hashtags kwamba "Mama hana deni", "Mama ametenda" au Mama yuko kazini". Wabunge tuliowatuma kwenda bungeni nao wanaimba wimbo ule ule Mama hana deni. Tufafakari pamoja, ni kweli hana deni au sisi hatumjui...
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Pale unapodaiwa na jirani yako halafu hulipi deni

    Nimeiona hii huko kwingine, kuna funzo hapa, haya yanatokea sana, miaka miwili iliyopita kuna jirani yangu mstaafu alimkopesha bwana mmoja aliyekuwa anamsaidia kazi za shambani, akatatulie matatizo ya kifamilia kijijini kwao, ila hivi karibuni kuna nakala ya mstaafu huyo imeonekana kwenye kaya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Deni la TZS97T ni stahimilivu kwa Vipindi vyote

    https://youtu.be/gjrrbUm9Xgg?si=wlBvnC5Dg4FuVziw Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amesema deni la Tanzania ni stahimilivu kwa Vipindi vyote,
  11. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa litaendelea kuwa himilivu kama serikali itakopa kwa sababu za msingi

    Wanabodi, Suala la serikali mbalimbali kukopa fedha kwenye taasisi za fedha kama vile benki ya dunia au IMF halijaanza leo na wala halitaisha hivi karibuni. Katika dunia ya sasa, inaaminika kwamba mikopo ni njia mojawapo inayoweza kutumiwa na serikali yoyote katika kuendeleza miradi yake na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania ikichukua mkopo, asilimia fulani lazima iende Zanzibar kama serikali inayojitegemea; lakini katika kulipa deni la Taifa, Zanzibar haihusiki?

    Kuna kitu hapa nimeelezwa kama ujanja fulani unaofanyika ambao kama ni kweli basi Tanzania bara tuna kila sababu ya kupiga kelele. Nimeambiwa hii mikopo mingi tunayomshangilia mama, kimsingi ni kwa ajili ya kuwainua Zanzibar. Inasemwa kila mkopo unaochukuliwa na Tanzania, Zanzibar lazima...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa ni deni la Tanzania sio Zanzibar!.

    .. Ukweli Ni Kwamba Deni La Taifa,ni deni la kinachoitw Tanzania,kwa Muktadha wa deni la Taifa la Tanzania, Ikumbukwe Zanzibar wana Deni lao kama Zanzibar mwaka jana lilikuwa Trillion moja tu Hivi karibun CAG wa Zanzibar watasoma report ya Zanzibar na Wazanzibar kuhusu deni lao la Taifa La nchi...
  14. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya ukuaji wa deni la taifa

    deni la taifa mpaka sasa limekishwa kufikia asirimia 97 ambayo ni sambamba na sifa za mchi zisizo weza kukopesheka kwa baadae kama tu halito rejeshwa kwa wakati. nini sababu za kukua kwa deni hilo. kuna sababu kadha wa kadha, na miongoni mwake ni kama; 01 Rais kukosa washauri wazuri na...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Deni la taifa, trilioni 97 hajakopa Rais Samia peke yake, tulikopa tangu enzi za Nyerere

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho. Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
  16. Intricate

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Burkina Faso yalipa deni lote la taifa

    Huku kwetu kila kukicha deni linazidi kupaa na maisha kuzidi kuwa magumu. Na hapo tunajinasibu kuwa na amani na utulivu. Burkina Faso mbali ya kuwa katika machafuko kwa muda mrefu, kwa miaka 2 tu Traore kaweza kulipa deni la taifa la Dola Bil. 4. Halafu Tanzania Wasira anajisifu kuwa deni ni...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Benki gani inanunua deni kutoka Bodi ya Mikopo(HESLB)?

    Wakuu habari, Naulizia benki gani inanunua deni kutoka HESLB? Msaada.
  18. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kama simu ni ya mkopo haijamaliza deni unafanyeje ?

    Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Umezuka Ugonjwa wa Kusahau Kulipa Madeni!

    Mtu anakuja kwako analia, kilio cha msibani. Anapiga magoti umkopeshe pesa. Unamkopesha kwa moyo safi kabisa. Anaondoka kwa shangwe utafikiri bwana arusi kaoa. Muda mliopatana wa kulipa deni ukifika, ghafla anapatwa na "ugonjwa wa kusahau kulipa madeni." Ugonjwa usiotibiwa hospitali, ambao dawa...
  20. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha Usilipe Deni? ebu uwe mkweli

    Najiulizaga hili swali sipati jibu labda niwaulize nyie mnaodaiwa na hamtaki kulipa….? Nini kinasababisha usilipe deni?? Kwa mtu binafsi achana na mahela ya benki!
Back
Top Bottom