deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

    Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty. Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu. Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
  3. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza kwa Deni Barani Afrika DENI LA TAIFA LA NJE (EXTERNAL DEBT🇹🇿)

    Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025 1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024) 2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024) 3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024) 4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024) 5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukipata time cheki deni la trafiki hapa na parking kuepusha usumbufu usio na ulazima!

    Naona vijana wa parking/manispaa wanisaidiana na trafiki wamekua serious sana barabarani siku hizi. Kama una gari au ata gari la jirani mchekie madeni hapa: Trafiki: RTOC Parking: Parking
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Tukizingatia Exchange, deni la taifa ilibidi lipungue

    Deni la Taifa kwa sasa limepanda kutoka Trilioni 108 mwezi Mei hadi trilioni 116 Mwezi Agost. Hili ni ongezeko la 7.41% ndani ya kipindi cha miezi miwili tu. Deni hili linaweza kunasibishwa na taarifa kuwa exchange rate imezingua, lakini ieleweke kuwa thamani ya shilingi imeimarika kuanzia mwezi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefikia Trilioni 116, Nafasi ya DP World iko wapi? Tuliambiwa mapato yataongezeka hivyo kupunguza deni

    Salaam! Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu. Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
  7. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Deni la Taifa lafikia trilion 116

    Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la nje linachangia asilimia 70.7 ya jumla, huku deni la umma likiwa sehemu kubwa zaidi kwa asilimia...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Deni la marekani lafikia dollar trilion 37, wachunge sana marekani isije ikauzwa!

    Deni la Marekani Limefikia Zaidi ya Dola Trilioni 37 kwa Mara ya Kwanza Maishani Hapa ikiwa na maana kwamba Deni limekua kubwa mara dufu kuliko Uchumi wao wa Dolla T 30. Unaweza jifunza jambo hapa kwamba Unacho tangaziwa kuhusu Uchumi wa Marekani si halisia, Ni ajabu kwa taifa kama la Marekani...
  9. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Vishoka wanaweza kuharakisha kupata tax clearance kuepuka deni?

    Nilifanya biashara alafu NIKAACHA, almost five years ago Sasa nataka kupata tax clearance certificate haraka ikiwezekana nikwepe ILO deni Je vishoka wanaweza kunisaidia Kama walivyo nisaidia kupata leseni ndani ya siku moja licha ya kuwa Nina mkono mmoja 😁
  10. SIR MGAX

    JamiiForums Tanzania DENI LINAPANDA TU.

    Habari wana JF Leo nipende kutoa uzi unaohusiana na maswala ya kifedha katika taifa hili la TANZANIA. Ikumbukwe tangu aondoke mwendazake,deni la taifa lilikuta takribani trillion 8.2 tangu aachiwe kijiti na mkwere ambapo lilikuwa ni trillioni 35. Ok tusirudi nyuma sana,ni vyema tuanzie hapa...
  11. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

    Sikiliza hii video:
  12. M

    JamiiForums Tanzania RC SHINYANGA: Tunamshukuru Rais Samia ametujengea chuo kikubwa cha VETA Bugarama kwa shilingi bilioni 3.5 kwa sasa hatuna deni nae

    |||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha miundombinu ya Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati. Mabadiliko haya yamesaidia kuongeza idadi...
  13. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Walisema Mama hana deni, leo wameshindwa kunadi sera zao kuhusu miradi isiyokamilika

    Nilijua tu kauli ya mama hana deni itakuja kuwatafuna watu fulani fulani, Sera hazinadiki tena Wanaulizwa maswali wasiyoweza kuyajibu? Wengine wanaahidi kuleta barabara katika maeneo yao ilihali walituaminisha barabara zipo za kutosha. Mwingine kaahidi zahanati watu wakamuachia ukumbi. Mambo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania IMF yaipongeza Senegal kwa kuimarisha uchumi na kuweka wazi deni halisi la Taifa hilo

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeisifu Senegal kwa kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha uchumi wake kupitia mageuzi muhimu, pamoja na kushirikiana na IMF kufafanua na kurekebisha taarifa kuhusu kiwango halisi cha deni inachodaiwa. Kwa mujibu wa msemaji wa IMF, Julie Kozack, akimnukuu Naibu...
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kigoma hatuna deni na Mama

    Kigoma Hatuna tena deni na Mama; 1. International airport imejengwa, 2. Lami mpaka mlangoni, 3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika. 4. SGR mpaka Burundi.
  16. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  17. kekundu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

    Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais, toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka, kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025. TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI...
  18. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Kwanini TSH inashuka dhidi ya Dollar/KSH, Exchange rate, Deni la Taifa?

    Wachumi mnakaribishwa kwa michango......... Tutatumia shiling ya kenya KSH, Dollar na TSh ili kupata uelewa wa jambo ili Tujue kwanini shilling ya nchi fulani ina nguvu kuliko nyingine, Exchange rate ya pesa nani uamuapia Deni la Taifa. Moja kwa moja kwenye Point. Tuanze kwa kujua mchakato...
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Dollar kunavyoongeza Deni la Taifa

    Hivi unafahamu kuongezeka kwa thamanI ya Dolllar ya Marekani kivyovyote kuna athari kubwa katika deni la taifa? Hili jambo wengi hawalifahamu na hata wakilifahamu wanaona kama halina athari lakini ukweli nikwamba deni linakopwa kwa USD , na malipo yake hufanyika kwa fedha hiyo hiyo . Sasa...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

    Salaam team! Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli. Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa. Mitano mingine inamfaa.
Back
Top Bottom