Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.
Salaam team!
Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli.
Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa.
Mitano mingine inamfaa.
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza kuhusu hoa ya Deni la Taifa kwamba linazidi kukua, amesema ni vema Wananchi wakajadiliana kuhusu matumizi ya Mkopo na sio idadi ya ukubwa wa deni lililopo au linalojadiliwa.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.
Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati...
Nimemskia rais samia akisema kuwa ufaransa wapo tayari kuendelea kutupa mikopo zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mpaka sasa deni la taifa limeshavuka trillion 107 na bado tunaambiwa nchi yetu itaendelea kukopa kwa sababu deni la nchi bado ni stahimilivu. Najiulizaga maswali mengi sana juu ya...
"Athari za ukubwa wa deni la Serikali linaangukia kwenye mabega ya wananchi wanyonge. Wananchi wanaongezewa kodi, ushuru na makato katika huduma muhimu kama vile umeme, elimu, afya, maji na kodi kwenye mazao ya kilimo ili kulipa madeni haya.
Mathalani mwaka huu 2024/25 Serikali imepanga...
Mojawapo wa wageni wa kwanza kabisa kualikwa nchini Zaire (DRC ya sasa) na Laurent Kabila, baada ya kumwondosha Mobutu Seseseko kama raisi, alikuwa mwalimu Julius Nyerere. Alikubali mwaliko huo. Kipindi hicho wala hakuwa Raisi wa Tanzania, alikuwa ameshang'atuka.
Sasa katika moja ya hotuba...
Wakuu hizo Kauli za Leo ni sawa na Hadithi ya Sungura sizitaki Mbivu hizi !!.
Rais Samia baada ya Mitandao kumuonyesha kua miaka yake mitano anayoipigania Kwa Nguvu zote, Kasi yake ukopaji italifanya Deni la Mama kufikia Trillion 180 kufikia 2030, Sasa ameamua kuja na Gia ya kwamba huko nje...
Kwa taarifa Tu. Tunaendelea vyema kulipa deni letu huko Iran. Hatuja default hata mara moja (kwa lugha ya kimkopo).
Sema sasa ukiniuliza Mkopo tulifanyia nn ndio sijui.
Wabillah Taufiq.
---
EHRAN- Based on an agreement signed between Tanzania and Iran, the African country will pay its debts...
Hii inaleta tafsiri gani?
Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa.
Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu.
Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
Takribani miaka minne toka Rais mrithi wa awamu ya tano B apokee kijiti baada ya kifo cha aliyekuwa Rais na mtawala wa Tanzania John Pombe Magufuli.
Kipindi cha miaka minne ya mwisho ya Awamu ya Tano B chini ya Rais aliyepatikana kwa mujibu wa katiba,tumeona mambo mengi makubwa...
Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.
Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki...
Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
Habari watanzania wenzangu,
Jioni ya leo ningependa tujadili suala hili la deni letu kwa heshima,unyenyekevu,busara na hekima tulizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu (mwingi wa rehma mwenye kurehemu).
Kwanza napenda kuipongeza serikali yetu kwa kuliweka wazi kwetu sote.
USHAURI WANGU.
1. Uandaliwe...
Habari za mchana.
Leo nimepata nafasi ya kusikiliza hotuba ya bajeti toka kwa Waziri. Pamoja na deni la Taifa kuendelea kukua, hii itupe ishara kwamba tunaenda uelekeo usio sahihi. Sijui ni kwa nini wananchi huku chini wanasononeka ila wakubwa huko juu wako kimya.
Kubwa ninalotaka kulisemea...
Barabara , kajenga Mama
Dpw kawaleta Mama
Flyover.... mama
Mwendokasi...mama
Shirika la ndege la Zanzibar, Mama
Watalii kuongezeka kwa wingi licha ya Tanapa kutokutoa gawio zuri kama inavyopambwa... ni Mama, sjui wanampiga tu huko, mi sijui
Ngorongoro kote kule ni Mama
Deni kalipaisha kwa...
DENI LA TAIFA
Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu.
Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni.
Tulinganishe ukuaji wa deni kati ya awamu ya Nne ya JK (miaka 10) na awamu hizi mbili za JPM na SSH.
Wakati JK anaingia...
Kumekuwa na utamaduni wa kila pesa ya taifa inapotumika kwa maendeleo inasemwa ni pesa ambayo mama yetu ametoa kama fadhila kwa wananchi wake anaowapenda.
Lakini pia umeonekana kuwa, kumbe sehemu kubwa ya hizo pesa ambazo mama yetu anazitoa huwa anakopa na mwisho hubakia kuwa deni la taifa...
Kuna vitu na mambo ukiyatafakari yanaumiza na kutia hasira mnoo.
Hii nchi ina laana?
Nini logic ya deni la taifa kuzidi kuongezeka kwa speed ya ajabu kuliko kipindi kingine chochote na wakati huo huo uwezo wetu wa kinchi kuwa na mapato na kukua kiuchumi ukielezwa kuwa juu kuliko kipindi kingine...
"Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika?
Kufikia Machi 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.