demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Uelewa wa wananchi kuhusu haki, uhuru na demokrasia umeongezeka pakubwa nchini

    Je kuongezeka, kuimarika na kushamiri kwa hali hii ya uelewa mpana wa mambo kwa wananchi, kumechochewa zaidi na nini, ili kusudi pia kichocheo hicho kitumike kuchochea Elimu na uelewa wa katiba iliyopo na inayokusudiwa?
  2. JamiiForums Tanzania Rais Biden asema Trump ni tishio kwa Demokrasia

    Rais wa Marekani, Joe Biden, amezidisha mashambulizi yake dhidi ya rais wa zamani Donald Trump, Alhamisi, katika hotuba kali ambayo amewahi kutoa hadi sasa, kwamba rais huyo wa zamani na mgombea anaeongoza katika chama cha Republikan, ni kitishio kwa desturi na taasisi za kidemokrasia za nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania inafuata misingi yote ya Demokrasia ya vyama vingi

    Mapungufu madogo madogo na kasoro chache zilizopo, vipo pia kila mahali inapotekelezwa demokrasia ya aina ya Tanzania, mathalani Marekani na kwingineko. Na kwasababu hiyo uchaguzi huru na wa haki Tz upo, Tume huru ya uchaguzi Tz ipo, Utawala wa Sheria na utawala bora Tz upo, heshima kwa haki za...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kiafrika wanaona miundo ya Kidemokrasia Afrika inahitaji maboresho

    Licha ya hamu kubwa ya kidemokrasia, vijana wa Kiafrika hawana nia ya kuiga demokrasia za Magharibi. Badala yake, wanafikiri kuwa miundo na mifumo ya kidemokrasia inapaswa kubadilishwa ili kuendana na mazingira ya ndani ili kufanikiwa. Kwa mujibu wa utafiti wa African Youth Survey wa mwaka...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kiafrika wanakubaliana na Demokrasia kama njia bora ya Uongozi

    Vijana wa Afrika wanazidi kupaza sauti zao, na ujumbe wao ni wazi: demokrasia ni mfumo bora wa serikali ambao nchi zao zinapaswa kuufuata. Utafiti wa African Youth Survey wa mwaka 2022 unaonesha idadi kubwa ya vijana wa Kiafrika, kutoka katika nchi mbalimbali za bara hilo, wanaunga mkono...
  6. JamiiForums Tanzania Guinea yasema mbele ya UN kuwa waafrika hawana shida na demokrasia ya Kimgagharibi

    Kiongozi wa kijeshi wa Guinea,Mamady Doumbouya hapo jana alipokuwa akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa UNGA kuwa mfumoj wa demokrasia haufanyi kazi kwa nchi za kiafrika. Katika hotuba yake hiyo alisema nchi hizo ziache kuzilazimisha nchi za kiafrika kufuata mifumo yao ya kiutawala...
  7. JamiiForums Tanzania Uhuru wa kutumia Mtandao huwapa Raia Uhuru wa kujieleza ambao ni msingi wa Demokrasia na msingi wa Haki nyingine kwa ujumla

    Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania. Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
  8. JamiiForums Tanzania Bila haki, uhuru, demokrasia ya kweli nje na ndani ya bunge, kukosekana uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa raia kukosoa, Tanzania itabaki maskini

    Msingi wa maendeleo ya binadamu ni haki, uhuru na demokrasia, kuna mahali serikali ya Tanzania hii ya CCM haijitambui na Dunia haina macho dhidi ya Tanzania, pengine ndiomana Magufuli ilibidi afe (mnisamehe ntaeleza), dhamira ya Magufuli kuua upinzani ilikuwa ya kitoto na ya kipumbavu, Magufuli...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Falsafa za 4R za Rais Samia ni msingi wa siasa safi na demokrasia. Je, zijumuishwe kwenye mtaala wa elimu na kuanza kufundishwa mashuleni?

    Najaribu kutafakari namna ya kutoka na picha kubwa kwenye falsafa za 4R za Rais Samia. Kwa kuwa falsafa hizo zimejikita zaidi katika misingi ya siasa bora na demokrasia, Je sio vema zikajumuishwa kwenye mtaala wa elimu ili zianze kufundishwa mashuleni? Najaribu kutafakari Zaidi kuhusu matokeo...
  10. JamiiForums Tanzania Demokrasia na mila ni pacha

    Angalia nyumbani kwenu, nyumbani kwako na kwenye familia yenu kama kuna demokrasia ya kiasi gani? Je, wazazi wamewapa watoto demokrasia ya kusema, kutenda na kuamua kiasi gani? Je, baba anaruhisiwa kumuoa mtoto wake? Je, baba anaweza kuvumilia matusi ya mtoto wake? Je, Binti anaweza kumleta...
  11. JamiiForums Tanzania Matumizi ya neno "UCHOCHEZI" ni namna dhaifu sana ya kuikataa demokrasia na uhuru wa kukosoa

    Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika. Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
  12. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, Septemba 15, 2023

    JamiiForums na Haki Mawasiliano wameshirikiana kuandaa mjadala katika kuadhimisha Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani. Kauli Mbiu katika mjadala huu ni “Kuwezesha Kizazi Kijacho”, ambapo Mada husika ni “Demokrasia ya Kidijitali kama Kichocheo cha Utawala Bora” Mjadala unafanyika kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Tuliosoma Somo la Uraia, nani anakumbuka ‘definition’ ya Demokrasia?

    Leo ni Siku ya Demokrasia Duniani, wakati nasomasoma mitandaoni pia nimeona uzi flani huku JF ukiwa na maelezo meengi kuhusu Demokrasia. Bila kujali kama Nchi yetu tuna maana halisi ya matumizi ya neno hilo, tujikumbushe masomo ya Uraia na Civics, nani anakumbuka definition ya neno Democracy...
  14. JamiiForums Tanzania Septemba 15, Maadhimisho Siku ya Kimataifa ya Demokrasia

    Siku ya Kimataifa ya Demokrasia huadhimishwa Septemba 15 kila mwaka kwa lengo la kuangazia hali ya Demokrasia duniani kote, Kuhimiza harakati za Kidemokrasia na Kukuza Uhuru, Amani na Haki za Binadamu Siku hii ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 na kila mwaka tukio hili...
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa fupi ya utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi kilichoshughulikia masuala ya demokrasia ya vyama vingi nchini

    Nimeambatanisha Ripoti ya mapendekezo ya Kamati. Lakini nitayaorodhesha mapendekeo hayo hapa:- Kuhusu Mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa Kuhusu demokrasia ndani ya vyama vya siasa Kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa inayotolewa na Serikali. Kuhusu uhuru wa Tume ya Taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Derna-Libya waliwahi kuikataa sharia kwa ajili ya demokrasia

    Mji wa Derna mashariki ya Libya ni mji wenye historia kubwa katika nchi hiyo.Ndiko walikozikwa maswahaba wengi wa Mtume s.a.w nchini humo jumla yao wakifikia 70.Na hata jeshi la Amru ibn Aas liliingia mji huo mwanzo kabla kuendelea upande wa magharibi. Katika historia yake uliwahi kupigana na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Demokrasia bila ushirikishwaji wa wananchi ni Demokrasia?

    Mfumo wa Demokrasia unahitaji wananchi kushirikishwa katika maamuzi ya nchi yao kwa kuchagua viongozi na kutoa maoni yao kuhusu sera na sheria. Ushiriki wa wananchi sio tu msingi wa mfumo huu bali pia ni njia ya kuhakikisha kwamba serikali inawajibika vilivyo kwa maslahi ya wananchi wake...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabaraza na vikao vinavyoitwa vya Demokrasia lakini vitendo hakuna

    Hawa wadau wanaoitwa wadau wa mabaraza ya demokrasia tangu 2021 wao ni vikao tu. Leo wako Dar kesho Dodoma keshokutwa Arusha. Kwa miaka miwili hatujaona impact wanazunguka tu kama mpira wa kona. Kwa kuwa wao ndio wenye Nchi waache kujisumbua tu. Swala la demokrasia ni gumu kwao. Wafanye...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama va Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 katika viwanja vya Ikulu, jijini Dares Salaam...
  20. JamiiForums Tanzania JNICC: Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchini

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/FKV_bbjQpg4?si=zxr9EcF4YASpj6Fo Niko hapa ukumbi, JNICC, kwenye Mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchni Tanzania kuelekea Uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…