demokrasia

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni miongoni mwa Viongozi wa awamu ya 5 walioua Demokrasia ndani na Nje ya CCM

    Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm ...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Profesa halisi wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la...
  3. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Unafuatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa?

    Unafatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa? Au wewe unachoangalia ni ushindi wa chama chako bila kujali kama kina Sera njema kwa maendeleo ya Taifa?
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Shirika la FCS: Tunapongeza usimamiaji na kuheshimu misingi ya Demokrasia Nchini chini ya Rais Samia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la The Foundation For Civil Society (FCS), Francis Kiwanga amesema Shirika hilo linajivunia miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuheshimu na kusimamia misingi ya Demokrasia. Kiwaga amesema kuwa FCS inajivunia uongozi wa Rais Samia...
  5. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

    Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua kiongozi. Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sisty Nyahoza: Vyama vya siasa vimshukuru Rais Samia kwa kufungua Milango ya kufanyika kwa Mikutano na kudumisha Demokrasia

    Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa. Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024. Sisty amesema kwa sasa...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Buriani Mzee Ruksa: Ni Deng Xiaoping Wetu wa Mageuzi ya Kiuchumi, Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Habari. Asante kwa Ruksa Zako, Pumzika!

    Wanabodi Siku ya leo, tunampunzisha Mzee wetu, Rais Mtaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kwa jina maarufu la Mzee Rukhsa, kwenye nyumba yake ya malalo ya makao ya milele. Mara ya Kwanza Kulisikia Jina la Ali Hassan Mwinyi. Kwa mara ya kwanza jina la Ali Hassan Mwinyi, nililisikia mwaka...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kama tumekata tamaa kiasi hiki kwenye suala la kupiga kura, kuna matumaini ya kupata viongozi bora?

    Wakuu, Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu; Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo? Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga kura na kuwachagua viongozi bora kwa maendeleo ya nchi. Kama haya ndio majibu ya wengi wetu, ina...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Nimekivusha Chama cha ACT Wazalendo kwenye mawimbi ya ukandamizaji wa Demokrasia

    HOTUBA YA NDUGU DOROTHY-MANKA JONAS SEMU WAKATI KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KUWA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO Ndugu watanzania Ndugu viongozi, wanachama, wapenzi na wafuasi wa ACT Wazalendo kipekee wote mlionisindikiza kutoka kila kona kujumuika nami hapa katika tukio hili la...
  10. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo? Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT? Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya...
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Polisi wanaporuhusu maandamano saa 48 kabla ya kuanza inaonyesha hakuna demokrasia Tanzania

    Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy. Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo Polisi,sio Mkuu wa Mkoa wanaonekana kuwa na taarifa yoyote ya maandamano. Kiongozi wa serikali...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina cha kujifunza kwa CCM kwenye demokrasia ya kuwapata wagombea ubunge

    Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Lema aache wivu kwa Makonda, demokrasia iliona wote hawafai 2020

    Mwenyekiti wa UVCCM taifa ndg Mohamed Kawaida amemtaka aliyekuwa mbunge wa Arusha ndg Lema aachane mara moja na CCM pamoja na Makonda na badala yake ambane mwenyekiti kuhusu matumizi bora ya pesa za Chadema. " Nimekuwa namsikia Lema kwa siku kadhaa akimuandama mara kadhaa katibu wangu mwenezi...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano pekee yanatosha kuonesha utekelezaji wa 4R na Demokrasia kukua nchini?

    Wakuu, Baada ya polisi kutoa tamko la maandamano kufanyika nchini, kila kona ni sifa tu kuwa 4R zimefanyiwa kazi, demokrasia imekuwa nchini, mama ametenda na kadha wa kadha, huku pongezi za akina Mbowe, Sugu zikitumika kama rejea ya kuwa hata wapinzani wenyewe wanakubali kuwa sasa Tanzania...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na ukanda hapa Tanzania vina uhusiano? Naona ni wazi kabisa awamu ya 2, 4 na ya sasa walau kuna unafuu kuzidi awamu zingine

    Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Harakati ndiyo zinaleta demokrasia kwa tulipofikia Rais Samia

    Raisi Samia leo anasema kuna tofauti ya wana demokrasia na wana harakati. Hiyo tofauti kwa sasa ni wewe tu mnufaikaji na genge la watawala mnalo liona hilo. Ukweli ni kwamba kwa watu wa kawaidia ni kitu kimoja. Ukisema wanaharakati ni kama vile kuna watu wana andamana bila sababu lakini si...
  17. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

    Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
  18. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni kama yalivyotolewa na Askofu Dr Bagonza kuhusu Miswaada mitatu na hatima ya Demokrasia Tanzania

    https://youtu.be/yFvVK6fw03U?si=dn8VnqOvAMFz2yNo Miswaada hiyo ni 1. Tume huru ya Uchaguzi. 2. Sheria ya Vyama vya siasa 3. Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Mi Siongezi wala kupunguza. Sikiliza mwenyewe.
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi ni Pandikizi la CCM? Ndiye mvurugaji mkuu wa Demokrasia!

    https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s Nimemsikiliza Boniphace Mwabukusi, nimegundua yafuatayo kutoka kwake na namna akivyo 1. Ni Clip ndefu kiasi. 2. Nimeisikiliza yote 3. Alianza kuongea vizuri sana 4. Alitulia na kutoa hoja zenye nguvu. Anaamini Muda unatosha kuwa na katiba mpya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wadau kupigania demokrasia ni kupigania maendeleo

    Wadau wengi kama mimi tuna amini kwamba kupigania demokrasia ni kupigania maendeleo. Ni lazima tujue kwamba demokrasia nzuri inaendana na katiba nzuri, bunge la ushindani, Uraisi wa ushindani na serikali za mikoa na wilaya za ushindani. Haya ni mambo machache ambayo yanasababisha sisi wadau...
Back
Top Bottom