demokrasia

  1. abdulbasit

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji kichochezi cha Maendeleo na Demokrasia

    Ulimwengu wa sasa umegubikwa na changamoto nyingi zinazohusu maendeleo na demokrasia. Utawala bora ni mojawapo wa masuala yanayotiliwa mkazo na kusisitizwa na jamii mbalimbali duniani. Dhana hii muhimu inahusuiana na namna ambavyo taasisi mbalimbali, ikiwemo na serikali zinavyoweza kuhusika...
  2. aleyability

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora wenye Mabadiliko yenye nguvu kwa Maendeleo ya Kesho

    Utawala bora ni mfumo wa utawala unaolenga kuwahudumia wananchi kwa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji. Inalenga kujenga serikali imara, yenye nidhamu, na inayotekeleza sera na mipango kwa manufaa ya umma. Utawala bora unahusisha uwazi katika maamuzi ya serikali, uhuru wa kujieleza, haki za...
  3. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi: Nguvu ya Demokrasia ya kweli

    UWAZI: NGUVU YA DEMOKRASIA YA KWELI Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Makala hii inajikita katika kuchambua umuhimu wa uwazi katika kukuza demokrasia ya kweli. Kwa kuzingatia suala hili muhimu, makala inaangazia jinsi uwazi unavyowezesha ushiriki wa wananchi, uwajibikaji, ubunifu, na ufanisi...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo haya yaingizwe kwenye katiba mpya; yataimarisha demokrasia, utawala bora na uwajibikaji

    Ni wazi kuwa katiba ya sasa imepitwa na wakati kwa sababu kuu mbili. Kwanza, katiba ya sasa ina chembechembe za ukoloni. Na kama tujuavyo ukoloni ulijaa ukandamizaji, unyimaji wa haki na utawala wa mabavu. Pili, katiba ya sasa imejaa viraka vingi ambavyo viliingizwa kwa mihemko au kwa ajili ya...
  5. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Watakupa Uhuru wa kuzungumza, lakini je watakuhakikishia Uhuru baada ya kuzungumza?

    Uhuru wa kuzungumza ni muhimu katika mfumo wa kisiasa wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa unaowezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi na kuwa na sauti katika maamuzi ya serikali. Uhuru wa kuzungumza ni moja ya vipengele muhimu vya demokrasia, kwani unawezesha wananchi kutoa maoni...
  6. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Demokrasia ya awamu ya 6; Rais Samia alalamikiwa kuingilia Uhuru wa Mahakama

    SHAMBULIO kwa UHURU wa Mahakama. MAHAKAMA iachwe HURU, isiingiliwe na kupewa MAELEKEZO na serikali. RAIA wanayo HAKI ya kushinda kesi dhidi ya serikali. SIYO LAZIMA serikali kushinda kesi. Mkuu wa mkoa siyo HATIMILIKI ya ukweli.
  7. Heavenlight Boman

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora ndio umebeba mustakabali wa maisha

    Utangulizi TANZANIA ni miongoni mwa nchi inayoendelea barani Afrika, huku ikipambana kujikwamua kiuchumi kwa kupigana na umasikini, ujinga, maradhi pamoja na rushwa. Licha ya kuwepo mapambano hayo lakini bado suala la utawala bora limekuwa changamoto kubwa bila kujua ndiyo limebeba msingi na...
  8. MtuHabari

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari na Waandishi ndiyo kaburi la Demokrasia

    Katika kipindi hiki ambacho tunakiita cha ukombozi kutoka katika udikteta wa miaka 7 tunachokiona ni Vyombo vya habari na waandishi wa habari kutuangusha kwa kujikita kwenye habari za kijinga na mizaha badala ya kutoa nafasi za kusikia hoja za msingi na kuwapa nafasi wananchi kuipata elimu ya...
  9. Mkwawa mnyalukoro

    JamiiForums Tanzania Je, CCM itachagua demokrasia ama utaratibu kumpitisha Samia?

    Baada ya kifo cha Rais Magufuli Chama cha Mapinduzi kimeingia katika Mtego mzito sana katika Siasa yake. Mtego huu unatokana na Kifo cha Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano akiwa Madarakani na kumpata Rais aliyetokana na Katiba. Kisheria na taratibu za vyama...
  10. plagiarism

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tafuta pesa

    Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili, 1: WATU WENYE AJIRA 2: WATU WASIO NA AJIRA 1: WATU WENYE AJIRA. Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili...
  11. voicer

    JamiiForums Tanzania Kama demokrasia imerudishwa nchini, kulikoni ACT- Wazalendo kuzuiwa Maandamano?

    Kwamba Mheshimiwa Rais anapongezwa kwa kuifungua Demokrasia nchini. Lakini maandamano ya kupinga Ufisadi, Ubadhirifu na hujuma zilizotajwa na CAG yakipigwa marufuku? Kwamba Serikali inayopinga ubadhirifu,ndio hiyohiyo inayozuia maandamano ya wananchi kuipongeza kwa kuyaibua hayo madudu kupitia...
  12. Lituye

    JamiiForums Tanzania Wanastahili kupewa nishani ya Demokrasia

    Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine kupotezwa. Wapo wenzetu kutokana na nafasi zao pamoja na hali ya kuogofya bila kutanguliza maslahi...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya ujio wa Tundu Lissu, CHADEMA yatangaza kuvurumisha Mikutano ya hadhara Kanda ya Kusini

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuanza ziara kabambe ya Kikazi kwenye Kanda ya Kusini. Katibu wa Kanda hiyo Governor Kaduma amewaambia waandishi wa habari Mjini Masasi kwamba kwenye Mikutano hiyo ya hadhara , Kikosi kazi cha Chadema kitaongozwa na yule yule Mwamba wa...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbunge CHADEMA amlipua Hayati Magufuli bungeni, asema aliua demokrasia

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo. Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Demokrasia sahihi ni kufanya siasa ndani ya bunge na mabaraza ya uwakilishi baada ya uchaguzi siyo maandamano

  17. 2019

    JamiiForums Tanzania Demokrasia kwa mtu mweusi bado sana labda miaka 100 ijayo, ni fujo tu na uporaji

    Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu) Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu. Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇 Waporaji na wezi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Walambisha asali na walamba asali wakimzuga Kamala Harris kuwa Tanzania kuna Demokrasia ili atoe msaada wa tri 1.3

  19. M

    JamiiForums Tanzania Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

    Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwenye viwango vya Siasa na Demokrasia tumeshuka!

    Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini Source TBC ======= Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU 2021/2022, Rais Samia amesema: "Kwenye uchaguzi na Demokrasia tumeshuka. Tulikuwa na pointi 51, sasa tuna...
Back
Top Bottom