1. Utapeli (The 40-Year Scam)
Tumeaminishwa tufanye kazi miaka 40, tuweke akiba kidogo kidogo, ili tuje tuanze kufurahia maisha tukiwa na miaka 65. Huu ni wazimu wa kiwango cha lami! Yaani usubiri mpaka viungo vyako vimechoka, magoti yanauma, na huwezi hata kula nyama choma bila daktari...