dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah;) is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. KAGAMEE

    Ni sahihi kunywa dawa na maziwa mgando (mtindi)?

    Wakuu kwema? Ni sahihi mtu kunywa dawa (Vidonge)na akatumia maziwa mgando? Asanteni
  2. Mganguzi

    NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

    Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hizikkw
  3. Roving Journalist

    Taasisi ya Moyo (JKCI) yafafanuzi madai ya kuchezea mifumo ya NHIF ili baadhi ya Dawa ionekane hazipo

    Awali Member wa JamiiForums.com anadai baadhi ya Maafisa wa Afya wamekuwa wakichezea mifumo ili ionekane baadhi ya Dawa na Huduma hazipo kwenye vituo vyao wakati Wanufaika wa Bima ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wanapohitaji, akitoa mfano hali hiyo imetokea katika Taasisi ya Moyo Jakaya...
  4. C

    Matumizi ya dawa za palizi!

    Habarini Wanajf Naomba kuelekezwa namna ya matumizi ya dawa za kuangamiza magugu sinazofahamika kama palizi. Nimelima alizeti maeneo ya Dodoma. Mimea ya Alizeti ilikuwa na magugu, nikaelekezwa kuwa nikipiga dawa mimea inabaki halafu magugu yanakauka. Hivyo nikapuliza dawa hiyo shambani lakini...
  5. S

    Dawa ya Bawasili

    Habari! Leo nimeona niwasaidie kuwatajia dawa ya asili ya Bawasili ya uhakika, nimewahi kuwasaidia wagonjwa wengi tatizo la Bawasili na wakapona. DAWA 1. Mizizi ya mmea unaoitwa 9 disemba (unavyoitwa huku Pwani) 2.Mizizi ya miti ya mifenesi. MATUMIZI 1. Kata vipande vidogo vidogo vya mzizi...
  6. BARD AI

    KERO Maji ya DAWASA yana harufu na ladha ya Dawa kali sana, ni salama kweli?

    DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji yenu yanakuja harufu kali sana ya Dawa za kutibu maji kiasi kwamba hata ladha ya maji imepotea. Sasa...
  7. D

    NHIF wanataka kutuua na dawa za bei chee

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa Tanzania hivi karibuni umefanya marekebisho katika kifurushi chake kinachohusisha pia dawa, yakiwemo madawa ya antibiotic, ambapo imepunguza sana bei. Anaye command soko la dawa Tanzania ni NHIF. Na sasa hii ni RASMI kwamba soko la dawa litatawaliwa na...
  8. JanguKamaJangu

    Paul Pogba afungiwa kujihusisha na soka kwa mika minne kwa kutumia Dawa za kusisimua Misuli

    Paul Pogba 'afungiwa kujihusisha na soka kwa MIAKA MINNE kwa kutumia dawa za kusisimua misuli' - inaonekana kukatisha maisha ya nyota wa Juventus, ambaye wakati mmoja alikuwa mwanasoka ghali zaidi duniani katika klabu ya Man United. === === Former Manchester United midfielder Paul Pogba has...
  9. Papaa Mobimba

    Je, ndio mwisho wa Paul Pogba kisoka? Afungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 4 kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga. Mchezaji huyo mwenye...
  10. F

    Dawa ni kuendelea kuwaunga mkono CHADEMA hii italeta heshima na adabu kwa chama tawala

    Kwanini viongozi wa nchi yetu wanakuwa na dharau kwa wananchi wakati mwingine? Ni kwasababu wanajua hata kama hawafanyi vizuri majukumu yao wataendelea kuwa madarakani tu. Kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea ni nadra kwa chama kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi viwili. Hata chama kikiongoza...
  11. Sildenafil Citrate

    UZUSHI Maziwa fresh ni tiba ya sumu ya vumbi linaloingia kwenye mfumo wa upumuaji

    Umewahi kunywa sumu yoyote ile kimakosa kisha baadhi ya watu wakakushauri utumie maziwa fresh kama sehemu ya tiba? Madai ya maziwa fresh kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini yamekuwepo wa muda mrefu. Katika kujadili ufanisi wake, mdau mmoja wa JamiiForums amekosoa vikali tiba hii kwa kusema...
  12. Mkalukungone mwamba

    Hivi majani ya mpera ni dawa ya ngozi?

    Hivi majani ya mpera ni dawa ya ngozi? Maana nimewasikia watu wakisema ni dawa ya ngozi.
  13. chilumendo

    Nimeshauriwa na daktari kuanza kutumia dawa za kushusha pressure

    Habari wataalamu wa tiba katika forums hii. Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze kutumia dawa za kushusha. niombe kwenu wadau kama kuna yeyote hali hii ilishawahi mkuta na kutumia dawa...
  14. Pfizer

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yatoa mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa (TAKUKURU) wa Wilaya zote Nchini

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imehitimisha mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kutoka katika mkoa na wilaya zote nchini, yaliyofanyika kwa lengo la kujengeana uwezo na kupeana mbinu zaidi za uelimishaji Umma katika...
  15. Kiboko ya Jiwe

    Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

    Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo. Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa? Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na...
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Mwaka 2023 Watuhumiwa 10,522 wa Dawa za Kulevya Wamekamatwa

    WAZIRI MHAGAMA: MWAKA 2023 WATUHUMIWA 10,522 WA DAWA ZA KULEVYA WAMEKAMATWA Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe.Jenista Mhagama amesema kwa mwaka 2023, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kuwakamatat watuhumiwa 10,522 ambao kati yao...
  17. BARD AI

    DCEA: Zaidi ya Kilo Milioni za Dawa za Kulevya zilikamatwa Twnzania mwaka 2023

    Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya ambapo kuanzia mwezi January hadi December 2023 kilogramu zaidi ya milioni moja za aina mbalimbali za dawa za kulevya zimekamatwa katika maeneo...
  18. Pfizer

    DCEA: Zaidi ya kilo Milioni za Dawa za Kulevya zilikamatwa Tanzania mwaka 2023

    Na Mwandishi wetu Dodoma Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya ambapo kuanzia mwezi Januari hadi Disemba 2023 kilogramu zaidi ya milioni moja za aina mbalimbali za dawa za kulevya...
Back
Top Bottom