dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vidonda vya tumbo kwa wale wanaosumbuliwa.

    Hii dawa ni ya kienyeji! Hii dawa imesaidia watu wengi na vidonda vya tumbo kwao imebaki historia. Ni dawa ya maji kwa mgonjwa ambae vidonda vina muda mrefu atapaswa kupata doz 2 mpaka 3 na kwa mgonjwa ambae vidonda havina muda mrefu mwaka mmoja kushuka chini atatumi dozi 2 tu. Bei ya dozi...
  2. Bueno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba Wivu ni Kidonda Kisichopona na wala hakisikii Dawa?

    Wakuu, ninajaribu kuwaza hapa sasa kwenye kuwaza kwangu ningependa niwashirikishe na nyinyi mpate kuwaza na tujiulize kwa pamoja kwenye kuwaza huku nipo sahihi au sipo sahihi au nimetafasiri vibaya hiki kitabu?. IPo hivi, nimejaribu kuwaza pale bustanini Edeni ndugu yetu Adamu alimchukua Eva...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Takribani 20% ya Dawa za Saratani Afrika ni bandia

    Barani Afrika, dawa za saratani zimegundulika kuwa duni au bandia, hali inayomaanisha kuwa wagonjwa wanapewa dawa ambazo ama hazifanyi kazi au zinaweza hata kuwadhuru. Takwimu mpya zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya watu huenda wanatumia dawa ambazo hazina viambato muhimu vinavyohitajika kuzuia au...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa wabunge wote kabla ya kuelekea majimboni mnakumbushwa kuja kuoga dawa kuondoa nuksi na kukatwa jina mwezi huu ni mgumu sana sana

    Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya mwanamke akianza ujeuri katika ndoa

    Baada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3 Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa watu usema kuwa mke na mtii mume wake ukiingia katika ndoa inawezekana utii uo ukauona miezi miwili...
  6. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Panya wamenishinda, kuna dawa kiboko ya kumaliza changamoto hii ya panya?

    Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani. Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado...
  7. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni. Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yazinduliwa USA

    Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha dawa mpya iitwayo Lenacapavir ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, ambayo imeelezwa kupunguza hatari ya maambukizi kwa asilimia 99.9. Dawa hiyo inayotolewa kwa sindano mara mbili kwa mwaka, itazinduliwa karibuni nchini humo na...
  9. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Dawa ya UTI Sugu

    Natoa Sadaka kwa maexpert wangu,mwenye kusumbuliwa na UTI Sugu achukue mahindi mabichi akatekate achanganye na limao lililo katwa katwa kisha achemshe Ukipoa huo mchanganyiko aweke kwenye chupa kisha anywe,kwa siku kama mara mbili au tatu kwa masiku kadhaa,kwa uwezo wa Allah, shida itakuwa...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Dawa ya ukimwi; Njia za kutengeneza dawa ya ukimwi huu ni mtizamo wangu

    Nikiwa Rais ntaanzisha mchakato wa kutengeneza dawa ya ukimwi 👇👇👇👇👇 How potential HIV drug will work it engulf viral RNA genome which is essential for viral life and eliminate it. HIV viral structure Desired therapeutics method;- engulf viral RNA genome and eliminated it Method of...
  11. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Zifahamu njia zitumikazo kutengeneza hizi dawa zinazouzwa pharmacy

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutakua na mpango wa kuzalisha dawa hapa Tanzania, je wajua njia za kutengeneza dawa??? Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa Kama nchi tutategeneze library kubwa itakayokuwa na chemical or compound zinazopatika kwenye nature na zinaposes unique features kama;- ENGULF...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo atavunjika na kamwe hatapata dawa! Mithali 29:1-14

    Huku kwetu Katonto mkoani Rukwa, kila aliyekuwa anapuuza chochote sasa ameanza kuzinduka usingizini! Mamia wamejitokeza kuhudhuria ibada ya Jumatano jioni, wakiwemo wanachama wa CCM ambao kwao Ufufuo na Uzima ndilo kanisa lao, wazee wasiojua chochote, akina mama ambao hawaelewi kabisa masuala ya...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mbunge Thea Ntara: Dawa za P2 zinatumika vibaya, Serikali ichukue hatua

    Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo. Amesema hayo...
  14. excel

    JamiiForums Tanzania Ongeza Juhudi itafute hii DAWA.. inatibu matatizo mengi sana

  15. InchargePharmacist

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kuhifadhi dawa majumbani

    Health.
  16. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Umasikini Kwa lugha nyengine ni Ujinga - Maarifa ni Dawa ya Umasikini

    Umaskini hauanzi kwenye mfukoni, unaanzia kichwani. Ni hali ya kifikra kabla haijawa hali ya maisha. Mtu maskini si yule asiye na pesa, bali ni yule anayekataa kujifunza, anayepuuza maarifa, na kuamini kuwa hali yake haiwezi kubadilika. Huu ni ujinga wa hali ya juu. Sehemu ambapo ujinga ni...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na dawa inaitwa TRAMADOL. Shauri yenu

    I suggest hii dawa isiwe OTC, iwe tu under doctor's prescription. Kama ilivyo cocaine na bangi hii kitu ndivyo utaenda nayo hivyo hivyo maana inakufanya uhusi na kujionan kuwa hauwezi ishi bila hio. Ni dawa ya maumivu ila pia inaweza kufanya utulivu wa anxiety. Inakupa pumziko fulani hivi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema inatekeleza mikakati ya msamaha ya Dawa kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Akili

    Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5, sehemu ya 4, ibara ya 1 hadi 3, inayotoa mwongozo wa utoaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa ya muda...
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama unaogopa kulala nyumba zenye uchawi au ushirikina, dawa hii hapa

    Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa nywele, kujikuta umelala nje ya nyumba na kitanda chako nk nk. Ukilala katika nyumba zenye uchawi au...
  20. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

    Hawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu. Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma? ******🤧🤧🙃********* Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea...
Back
Top Bottom