dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. camily

    JamiiForums Tanzania Dawa ya hizi rashes (upele)

    Msaada vipele ivo vinawasha sana, sijajua shida ni nini
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Khun Sa, kingpin wa dawa za kulevya kutoka Burma aliyemiliki jeshi lake binafsi

    Khun Sa (aliyejulikana pia kama Chang Chi-fu au Sao Mong Kwan) alikuwa kingpin wa biashara ya madawa ya kulevya na mwanaharakati wa kivita kutoka Myanmar (zamani Burma). Alizaliwa tarehe 17 Februari 1934 katika kijiji cha Loi Maw, wilaya ya Mongyai, Jimbo la Kaskazini la Shan. Alikufa tarehe 26...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkiwakuta wale wanyama waambieni dawa yenu ipo jikoni

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 jimbo la Ruangwa MKoani Lindi, Mgombea urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi kumimaliza kero inayowakabiri ya wanyama pori kuingilia makazi ya watu na kuharibu mazao kwenye mashamba yao. Kauli...
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  5. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Siri hadharani: Dawa ya jino linalouma na lililotoboka

    C
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

    Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
  7. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Usipuuze Ukwaju – Dawa Asilia Inayofuta Maradhi Kimya Kimya!

    Usipuuze Ukwaju – Dawa Asilia Inayofuta Maradhi Kimya Kimya! 💊 Ukwaju siyo tu kitamu kwenye juisi au mboga… ni hazina ya tiba ya asili iliyothibitishwa na sayansi. Wakati mwingine tunapuuza matunda yaliyo mbele yetu, kumbe ndiyo dawa bora kuliko vidonge tunavyokimbilia. ✅ Faida kuu za ukwaju...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kilo 33,077 za Dawa za kulevya zakamatwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika kipindi cha Mwezi Julai na Septemba 7/ 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata kilogramu 33,077.613 za dawa za kulevya aina mbalimbali, kilogramu 4,553 za mbegu za bangi pamoja na...
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kama Kuna Dawa Inachoma Mafuta Mwilini Basi Usiache Kuyala

    Katika ulimwengu wa sasa, ambapo uzito wa mwili unachukuliwa kuwa changamoto kubwa kwa wengi, ni kawaida kuona matangazo mengi ya dawa au virutubisho vinavyodai kuchoma mafuta mwilini kwa haraka. Hata hivyo, ukweli wa kisayansi ni kwamba hakuna dawa yoyote ya kienyeji au ya viwandani inaweza...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

    Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa ndevu (Hair removal)

    Nahitaji hii dawa kwa kuondolea ndevu (Nair Hair Removal). Nimeitafuta kwenye maduka mengi sana ila nimeikosa. Mara ya mwisho niliipata supermarket moja ila kwa sasa nimerudi kuinunua sijaikuta. Nimepita supermarket za posta, napo huko nimeikosa. Kariakoo kwenye maduka makubwa na madogo ya...
  12. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Chango la Uzazi

    Chango la uzazi ni tatizo kubwa linaloshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke. Tatizo hili humsababishia maumivu makali ya tumbo, kushindwa kubeba ujauzito, au mimba kuharibika mara kwa mara muda mfupi baada ya kutungwa. Mara nyingi chango la uzazi husababishwa na vifuko vya mayai ya uzazi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pump ndogo za kupulizia dawa mabandani na mashambani bei 10,000/=tu lita 4

    ✅ CHUPA ZA KUPULIZIA DAWA MABANDANI BEI 10,000/=Tsh Lita 4.5. (Offer) Tunauza sprayer bora na imara kwa ajili ya: ✔ Kupulizia dawa za kuua wadudu na kuzuia magonjwa ✔ Kunyunyizia maji mabandani ✔ Kutumika kwenye bustani na shambani pia Call 0656 446 991 0774 608 608 Dar es salaam tegeta kwa...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Yaahidi kuwashughulikia walioua viwanda, kuondoa kodi kwenye dawa

    Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi kwamba Serikali ya chama hicho ikichaguliwa itaanza kwa kuondoa kodi zote zinazotozwa kwenye dawa ili wananchi wapate huduma za afya kwa gharama nafuu huku ikisema itawashughulikia waliouwa...
  15. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

    Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM. Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni...
  16. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi yako

    Dawa ya Kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi ✨ Michirizi kwenye ngozi (stretch marks) ni tatizo linalowasumbua watu wengi. Mara nyingi husababishwa na: Unene uliopitiliza 🏋️ Kupungua uzito ghafla Baada ya kujifungua 🤱 Matumizi ya vipodozi vyenye kemikali Mabadiliko ya homoni na urithi wa kimaumbile...
  17. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Chid Benz aruhusiwa kutoka Sober House

    Msanii Mkongwe Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro maarufu kama Chidi Benzi ameruhusiwa kurejea uraiani na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya wakishirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa walioshiriki kumpeleka katika Nyumba ya Matibabu kwa walioathirika na Madawa ya Kulevya (Sober...
  19. GuDume

    JamiiForums Tanzania Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Dogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie. Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri...
  20. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidie tiba ya kienyeji za sikio kuziba , dawa za kizungu zimedoda

    Nasikia presha kwenye sikio, kelele sikioni na pia kama niko majj hivi, hali ya sikio kuwa kama kuba kitu kimeziba. Nisaidieni wakuj
Back
Top Bottom