Hivi tunaziaminije bei za dawa kwenye Pharmacies?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
34,553
Reaction score
100,684
Tukiandikiwa dawa mfano na Daktari, tunavoenda kununua pharmacy za nje ya hospital zile bei tunaziaminije?

Maana hakunaga bei elekezi ya madawa, au reference ya bei, just kumpa kikaratasi cha madawa na muuzaji anakuambia jumla elfu kadhaa.

Vipi kama kila dawa anaongeza bei flani? Ilitakiwa kuwe na bei ya reference somewhere maana unaweza kuta wenye maduka au wauzaji wanajiongezea bei kiholela.
 
Afu yale maduka ya nje me huwa nahisi ni ya madokta na manesi, sio ya hospital. Na uwezekano wa kuibiwa upo.
 
Kama zile phamacy za nyegezi mwanza.bei ziko juu sana kuliko sehemu nyigine
Kama hakuna uharaka, jaribu kwenda maduka ya jumla ya wahindi hususani pale nyerere round about mkabala na nyerere plaza au nenda karibu na mataa ya nyerere road jirani na akshari stationary au kule opposite na u turn..bei ni poa sana

Sasa jione gsm uende kayonza pharmacy
 
Back
Top Bottom