Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, imefanya operesheni maalum katika mkoa wa Iringa na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 276 za dawa za kulevya aina heroin na bangi na kuwakamata jumla ya watu 12 wakihusishwa na dawa...
Naona kwa sasa ile hali ya wateja wa dawa za kulevya imeanza kurudi kwa kasi, kukutana na mteja sugu yupo sehemu anaskilizia stimu ni kawaida.
kile kipindi Magu alipofariki baada ya mwezi hivi kuna boti kubwa sana ya madawa ilikamatwa ile wiki ambayo kulitabiriwa kuwepo kimbunga huko Mtwara...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu, maofisa watatu wa ulinzi wa Shirika la Posta Tanzania, wanaokabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine na bangi.
Maofisa hao ni George Mwamgabe, Sima Ngaiza na dereva wa Shirika hilo Abdulrahman Msimu.
Washtakiwa...
Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert...
Wizara ya Sheria ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kuzishtaki kampuni na raia kadhaa wa China kwa madai ya kuzalisha na kuuza malighafi za dawa za kulevya. Hii si mara ya kwanza kwa Marekani kuihusisha China na suala la dawa za kulevya nchini humo. Lakini swali ni kwamba, je, tatizo la...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini.
Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya kimataifa ya siku ya kupiga vita dawa za kulevya duniani.
Kamishna Jenerali wa Tume ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, Aretas Lyimo ameeleza hayo alipokuwa akizungumza...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesoma ripoti ya Operesheni iliyofanywa na mamlaka hiyo kuanzia Machi 25, 2023 hadi Juni 19, 2023 ikiwa ni takribani miezi miwili na wiki tatu ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uhalifu wa dawa za...
Mwili wa mwanadamu una viungo mbalimbali muhimu baadhi ya viungo muhimu zaidi ni Ubongo, moyo, mapafu, ini na figo.
Kila kiungo kinafanya kazi kutokana na ufasihi wa kiungo kingine cha mwili ndo vile kusema ukiuma moyo na mwili wote utauma.. kulingana na kichwa cha stori hii kikihusiana na...
WAZIRI JENISTER MHAGAMA - SERIKALI KUJENGA VITUO VYA MAFUNZO KWA WARAIBU DAWA ZA KULEVYA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amesema Serikali imejenga vituo maalum vya urekebu na ufundi stadi ili kuwasadia vijana na wale wote...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wamesaini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizi hususan katika kuzuia vitendo vya rushwa na dawa za kulevya hapa nchini kupitia vilabu...
Abiria mmoja Mtanzania amekamatwa juzi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi nchini India, baada ya kukutwa akiwa amebeba dawa za kulevya aina ya cocaine.
Msafiri huyo aliwasili akitokea Addis Ababa, Ethiopia na dawa hizo zilikuwa zimewekwa kwenye chupa tatu za pombe kali aina ya...
Askari wa moja ya vikosi vya Ulinzi na usalama vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Juma Abdalla Khamis (34) amekamatwa akiwa na vifuko 31 vikiwa na kete 3,198 zinazodhaniwa kuwa dawa za kulevya aina ya Heroin.
Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya...
Madhara ya sigara:
Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba wengine wamechomolewa makoo wanaongea kwa kuwekewa mashine, sauti inatoka kwenye spika
Watu zaidi...
KAMISHINA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA),Aretas James Lyimo ametaja malengo yake ambayo ameingia nayo ili kuhakikisha mamlaka hiyo inadhibiti kabisa biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini.
Ameyasema hayo leo Aprili Mosi, 2023 mkoani Mtwara wakati...
Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi.
Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya.
Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mjini Magharibi Amina Ali Mzee alikuwa mgeni rasmi katika kufungua mafunzo ya vijana dhidi ya dawa za kulevya yaliyoandaliwa na taasisi ya vijana Mwembetanga Youth Organization (MYO)
Amina Mzee amewapongeza sana taasisi ya vijana ya Mwembetanga Youth Organization...
Raia wa Marekani, Brandon Summerlin (31) ameieleza Mahakama kuwa anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ya kukiri na kuomba kupunguziwa adhabu ili aweze kulimaliza shauri lake.
Summerlin ambaye ni mwalimu wa mafunzo kwa njia ya mtandao, anakabiliwa na shtaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.